Hahaha duh unaionaje jazba kwenye maandishi?!Duh mkuu punguza jazba
Hata USA wenye high health technology walizani ni Chinese Virus wakaapuuzia maagizo. See what is happening here now. Waafrika tunspenda kujifariji na kuona wacha wafe tuu, Sisi no.kuna ebola yenye death rate ya 50% haijatumaliza tuje tuishe kwa ugonjwa wenye death rate ya 5%???? gerarahiaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Corona is overrated, ingetokea kwetu huku wala isingekua issue, the thing is imewagonga waoHata USA wenye high health technology walizani ni Chinese Virus wakaapuuzia maagizo. See what is happening here now. Waafrika tunspenda kujifariji na kuona wacha wafe tuu, Sisi no.
Bichwa lako la habari ukijumlisha hizo asilimia unapata 89.7% tu. Asilimia 10.3 iko wapi?
Halafu utumbo wako wa habari ni tofauti na bichwa lako la habari.
Halafu unajidai kuiongelea "science"!
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Wewe punguani, huwezi andika takwimu ukapotwza Saudi ya asilimia ya takwimu.
Hiyo shule uliyoenda ni ya kijinga na imekufundisha ujinga halafu bado unabishana kijinga badala ya kushukuru umefunfishwa kuwa huo ni ujinga.
You are simply an ignorant fool.
Wewe punguani, huwezi andika takwimu ukapoteza zaidi ya asilimiakumi ya takwimu.
Hiyo shule uliyoenda ni ya kijinga na imekufundisha ujinga halafu bado unabishana kijinga badala ya kushukuru umefunfishwa kuwa huo ni ujinga.
You are simply an ignorant fool.
Andika za kwako mlamba wazungu wewe nahisi wewe hata darasani ulikuwa unapata zero kama huelewi hata hesabu ya kujumlisha na kutoa integration na differentiation utazimia kilaza wewe uelewa wako haufiki ha ta kwenye sole ya kiatu changuWacha ubwege wewe. Hizo "data" zako ambazo hazifahamu 10.3% ya wqliokufw walipo ndilio za kijinga. Eti "sayansi"! "Sayansi" ya kibwege hiyo.
Takwimu za Afrika ni za kudanganya totoUkifuatilia kwa umakini epidemiology ya ugonjwa huu haiziathiri ngozi nyeusi zilizokulia Africa zinazopambana na Virus wengi walioko kwenye Vumbi tunalokutana nalo pengine Vumbi hili lina particles ndogondgo ambazo hazitakiwi na mwili na hivyo basi kinga za miili yetu ziko stressed kuingia vitani kila siku yaani ni kinga korofi zilizo tayari kwa Vita kila dakika kuulinda mwili maana tunazikorofisha kila kukicha na zenyewe hazichoki
Kwa lugha rahisi ya kisayansi ni kwamba Virus ni single celled organism prokaryotes, ambaye hawezi kuishi nje ya host
Kosa walilolifanya wazungu ni kuliondoa vumbi ambalo lina mahusiano ya moja kwa moja na maisha yet u
Sayansi inasema hawa Virus huwa wako katika hali ya kujitafutia chakula ambapo basi virus hawa huona mwili wa binadamu au viumbe wengine Kama sehemu ya kutafuta chakula kukuua huwa si kusudio Lao
Kwa hiyo viongozi wa Afrika ruhusuni tu watoto waende shule na watu waendelee na maisha yao
Wazungu wafikirie upya uhifadhi wa Mazingira yao
Kiingereza chenyeweWewe punguani, huwezi andika takwimu ukapoteza zaidi ya asilimiakumi ya takwimu.
Hiyo shule uliyoenda ni ya kijinga na imekufundisha ujinga halafu bado unabishana kijinga badala ya kushukuru umefunfishwa kuwa huo ni ujinga.
You are simply an ignorant fool.
Vipi wewe mbona mshamba Sana? Tafuta basi na wewe data zako nimekulazimisha kufuatilia za kwangu?! A cha basi uzuzu sayansi ni dynamic inayohitaji maswali utafiti ubunifu na uthubutu sasa ww hujielewi utabakia hvy hvyWewe punguani, huwezi andika takwimu ukapoteza zaidi ya asilimiakumi ya takwimu.
Hiyo shule uliyoenda ni ya kijinga na imekufundisha ujinga halafu bado unabishana kijinga badala ya kushukuru umefunfishwa kuwa huo ni ujinga.
You are simply an ignorant fool.
Una akili nyingi SNA hongeraI got your point, kwamba africans wapo continuously exposed to a lot of different pathogens from the air, including physical antigens such as dust. To the contrary wazungu wapo exposed to less environmental pathogens kutokana na high standard of life ambayo inawafanya waishi kwenye neat environment, unahitaji tochi kutafuta vumbi ulaya. Continuous exposure will make the lungs to develop sort of immunity (pulmonary immunity) ambayo ipo standby to immediately respond to any extraneous antigens. Unaweza kugundua hili kwamba wazungu wengi huwa wanachukua chanjo ya kuzuia mafua, which is rare in Africa.
Naam, Mimi nitabaki Hivi hivi, hilo lisikutie wasi wasi.Kiingereza chenyewe
Vipi wewe mbona mshamba Sana? Tafuta basi na wewe data zako nimekulazimisha kufuatilia za kwangu?! A cha basi uzuzu sayansi ni dynamic inayohitaji maswali utafiti ubunifu na uthubutu sasa ww hujielewi utabakia hvy hvy
Wewe punguani 10.3% umewapotezea wapi kwenye uongo wako juu huko?Andika za kwako mlamba wazungu wewe nahisi wewe hata darasani ulikuwa unapata zero kama huelewi hata hesabu ya kujumlisha na kutoa integration na differentiation utazimia kilaza wewe uelewa wako haufiki ha ta kwenye sole ya kiatu changu
Wewe punguani 10.3% umewapotezea wapi kwenye uongo wako juu huko?
Kumbe bado unasoma! Sasa nenda kawaulize Walimu wako 10.3% iko wapi kwenye hesabu zako? I assure you, they won't be able to help you, simply because they are uneducated fools as you are.
[/QUOTE
Haya bwana Miss Faizafoxy mrembo ww Leo wamekuudhi
Mrembo Faiza Foxy Leo wamekuudhiWewe punguani 10.3% umewapotezea wapi kwenye uongo wako juu huko?
Kumbe bado unasoma! Sasa nenda kawaulize Walimu wako 10.3% iko wapi kwenye hesabu zako? I assure you, they won't be able to help you, simply because they are uneducated fools as you are.
Hivi Tanzania wanakufa watu wangapi kwa siku kwa magonjwa mengine? Tukijua hiyo Rekodi huenda Corona ikawa SI kituSijasoma ila lockdown is pointless na upuuuzi wa hali ya juu hasa Africa. Dunia nzima kusimama kisa watu laki1 wamekufa ni ujinga.
Nisamehe bure Faizafoxy nilijua na mm ungeheshimu kautafiti kangu kadogo lakn umenikejeli tu sawa bwana ndivyo tulivyo wabongoNaam, Mimi nitabaki Hivi hivi, hilo lisikutie wasi wasi.
Unaongelea Kingereza? Aah akili za kijinga hizo kudhani kuwa Kingereza ndiyo kinakufanya uwe mbora sana. lugha na makabila ili tufahamiane tu.
Kama.hunielewi kwa Kiswahili sema tu tuanze kuwasiliana Kingereza. Utanielewa kweli? Just remember,I dream in English.
Kuna mwenzako mmoja anaetoa data za uongo kama wewe kashikwa kwenu Kilimanjaro huko,mwengine kashikwa Morogoro huko na wewe endelea tu. Usije kujuta.
Watu wanakufa kwa TB wanasingizia CoronaMkuu chukua tahadhali. Nawa mikono mpaka kwenye viwiko angalau kwa sekunde 20, usichokonoe pua kwa vidole, usiguse macho kwa vidole( kutoa tongotongo uchafu), usiguse mdomo kwa vidole ni hatari. Punguza msongamano usio wa lazima. Covid 19 inaua.
Watu kama wewe mnaokuja na data za kupika huwa mnauudhi sana.Mrembo Faiza Foxy Leo wamekuudhi