89% ya waliofariki na Corona wametoka bara la Ulaya, Marekani, China na Iran, huku 0.5% vikitoka Afrika na 0.2% weusi tii! Then why lockdown in Africa

89% ya waliofariki na Corona wametoka bara la Ulaya, Marekani, China na Iran, huku 0.5% vikitoka Afrika na 0.2% weusi tii! Then why lockdown in Africa

kuna ebola yenye death rate ya 50% haijatumaliza tuje tuishe kwa ugonjwa wenye death rate ya 5%???? gerarahiaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata USA wenye high health technology walizani ni Chinese Virus wakaapuuzia maagizo. See what is happening here now. Waafrika tunspenda kujifariji na kuona wacha wafe tuu, Sisi no.
 
Hata USA wenye high health technology walizani ni Chinese Virus wakaapuuzia maagizo. See what is happening here now. Waafrika tunspenda kujifariji na kuona wacha wafe tuu, Sisi no.
Corona is overrated, ingetokea kwetu huku wala isingekua issue, the thing is imewagonga wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waafrika na waarabu haijawaathiri sana...ngozi zao zimefanana 😀
 
Astah...
Wewe punguani, huwezi andika takwimu ukapotwza Saudi ya asilimia ya takwimu.

Hiyo shule uliyoenda ni ya kijinga na imekufundisha ujinga halafu bado unabishana kijinga badala ya kushukuru umefunfishwa kuwa huo ni ujinga.

You are simply an ignorant fool.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe punguani, huwezi andika takwimu ukapoteza zaidi ya asilimiakumi ya takwimu.

Hiyo shule uliyoenda ni ya kijinga na imekufundisha ujinga halafu bado unabishana kijinga badala ya kushukuru umefunfishwa kuwa huo ni ujinga.

You are simply an ignorant fool.

nyongo imejaa kisirani

na unapumulia sumu chafu
 
Corticopontine,
I got your point, kwamba africans wapo continuously exposed to a lot of different pathogens from the air, including physical antigens such as dust. To the contrary wazungu wapo exposed to less environmental pathogens kutokana na high standard of life ambayo inawafanya waishi kwenye neat environment, unahitaji tochi kutafuta vumbi ulaya.

Continuous exposure will make the lungs to develop sort of immunity (pulmonary immunity) ambayo ipo standby to immediately respond to any extraneous antigens. Unaweza kugundua hili kwamba wazungu wengi huwa wanachukua chanjo ya kuzuia mafua, which is rare in Africa.
 
Wacha ubwege wewe. Hizo "data" zako ambazo hazifahamu 10.3% ya wqliokufw walipo ndilio za kijinga. Eti "sayansi"! "Sayansi" ya kibwege hiyo.
Andika za kwako mlamba wazungu wewe nahisi wewe hata darasani ulikuwa unapata zero kama huelewi hata hesabu ya kujumlisha na kutoa integration na differentiation utazimia kilaza wewe uelewa wako haufiki ha ta kwenye sole ya kiatu changu
 
Ukifuatilia kwa umakini epidemiology ya ugonjwa huu haiziathiri ngozi nyeusi zilizokulia Africa zinazopambana na Virus wengi walioko kwenye Vumbi tunalokutana nalo pengine Vumbi hili lina particles ndogondgo ambazo hazitakiwi na mwili na hivyo basi kinga za miili yetu ziko stressed kuingia vitani kila siku yaani ni kinga korofi zilizo tayari kwa Vita kila dakika kuulinda mwili maana tunazikorofisha kila kukicha na zenyewe hazichoki

Kwa lugha rahisi ya kisayansi ni kwamba Virus ni single celled organism prokaryotes, ambaye hawezi kuishi nje ya host

Kosa walilolifanya wazungu ni kuliondoa vumbi ambalo lina mahusiano ya moja kwa moja na maisha yet u

Sayansi inasema hawa Virus huwa wako katika hali ya kujitafutia chakula ambapo basi virus hawa huona mwili wa binadamu au viumbe wengine Kama sehemu ya kutafuta chakula kukuua huwa si kusudio Lao

Kwa hiyo viongozi wa Afrika ruhusuni tu watoto waende shule na watu waendelee na maisha yao

Wazungu wafikirie upya uhifadhi wa Mazingira yao
Takwimu za Afrika ni za kudanganya toto
 
Wewe punguani, huwezi andika takwimu ukapoteza zaidi ya asilimiakumi ya takwimu.

Hiyo shule uliyoenda ni ya kijinga na imekufundisha ujinga halafu bado unabishana kijinga badala ya kushukuru umefunfishwa kuwa huo ni ujinga.

You are simply an ignorant fool.
Kiingereza chenyewe

Vipi wewe mbona mshamba Sana? Tafuta basi na wewe data zako nimekulazimisha kufuatilia za kwangu?! A cha basi uzuzu sayansi ni dynamic inayohitaji maswali utafiti ubunifu na uthubutu sasa ww hujielewi utabakia hvy hvy
 
I got your point, kwamba africans wapo continuously exposed to a lot of different pathogens from the air, including physical antigens such as dust. To the contrary wazungu wapo exposed to less environmental pathogens kutokana na high standard of life ambayo inawafanya waishi kwenye neat environment, unahitaji tochi kutafuta vumbi ulaya. Continuous exposure will make the lungs to develop sort of immunity (pulmonary immunity) ambayo ipo standby to immediately respond to any extraneous antigens. Unaweza kugundua hili kwamba wazungu wengi huwa wanachukua chanjo ya kuzuia mafua, which is rare in Africa.
Una akili nyingi SNA hongera
 
Kiingereza chenyewe

Vipi wewe mbona mshamba Sana? Tafuta basi na wewe data zako nimekulazimisha kufuatilia za kwangu?! A cha basi uzuzu sayansi ni dynamic inayohitaji maswali utafiti ubunifu na uthubutu sasa ww hujielewi utabakia hvy hvy
Naam, Mimi nitabaki Hivi hivi, hilo lisikutie wasi wasi.

Unaongelea Kingereza? Aah akili za kijinga hizo kudhani kuwa Kingereza ndiyo kinakufanya uwe mbora sana. lugha na makabila ili tufahamiane tu.

Kama.hunielewi kwa Kiswahili sema tu tuanze kuwasiliana Kingereza. Utanielewa kweli? Just remember,I dream in English.

Kuna mwenzako mmoja anaetoa data za uongo kama wewe kashikwa kwenu Kilimanjaro huko,mwengine kashikwa Morogoro huko na wewe endelea tu. Usije kujuta.
 
Andika za kwako mlamba wazungu wewe nahisi wewe hata darasani ulikuwa unapata zero kama huelewi hata hesabu ya kujumlisha na kutoa integration na differentiation utazimia kilaza wewe uelewa wako haufiki ha ta kwenye sole ya kiatu changu
Wewe punguani 10.3% umewapotezea wapi kwenye uongo wako juu huko?

Kumbe bado unasoma! Sasa nenda kawaulize Walimu wako 10.3% iko wapi kwenye hesabu zako? I assure you, they won't be able to help you, simply because definitely, they are as uneducated fools as you are.
 
Wewe punguani 10.3% umewapotezea wapi kwenye uongo wako juu huko?

Kumbe bado unasoma! Sasa nenda kawaulize Walimu wako 10.3% iko wapi kwenye hesabu zako? I assure you, they won't be able to help you, simply because they are uneducated fools as you are.
[/QUOTE
Haya bwana Miss Faizafoxy mrembo ww Leo wamekuudhi
 
Wewe punguani 10.3% umewapotezea wapi kwenye uongo wako juu huko?

Kumbe bado unasoma! Sasa nenda kawaulize Walimu wako 10.3% iko wapi kwenye hesabu zako? I assure you, they won't be able to help you, simply because they are uneducated fools as you are.
Mrembo Faiza Foxy Leo wamekuudhi
 
Naam, Mimi nitabaki Hivi hivi, hilo lisikutie wasi wasi.

Unaongelea Kingereza? Aah akili za kijinga hizo kudhani kuwa Kingereza ndiyo kinakufanya uwe mbora sana. lugha na makabila ili tufahamiane tu.

Kama.hunielewi kwa Kiswahili sema tu tuanze kuwasiliana Kingereza. Utanielewa kweli? Just remember,I dream in English.

Kuna mwenzako mmoja anaetoa data za uongo kama wewe kashikwa kwenu Kilimanjaro huko,mwengine kashikwa Morogoro huko na wewe endelea tu. Usije kujuta.
Nisamehe bure Faizafoxy nilijua na mm ungeheshimu kautafiti kangu kadogo lakn umenikejeli tu sawa bwana ndivyo tulivyo wabongo
 
Back
Top Bottom