89% ya waliofariki na Corona wametoka bara la Ulaya, Marekani, China na Iran, huku 0.5% vikitoka Afrika na 0.2% weusi tii! Then why lockdown in Africa

Una 05%
 
Hata USA wenye high health technology walizani ni Chinese Virus wakaapuuzia maagizo. See what is happening here now. Waafrika tunspenda kujifariji na kuona wacha wafe tuu, Sisi no.
We nawe hujielewa , kwahiyo Death rate ime cross 50%?

wako below 5%

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwa hakika TWAWEZA hawakukosea. Bahatika kufahamu elimu za watanzania hawa wenye mawazo kama yako ndipo mtu utakapochoka.

TWAWEZA hoyee!
 
Kiingereza chenyewe

Vipi wewe mbona mshamba Sana? Tafuta basi na wewe data zako nimekulazimisha kufuatilia za kwangu?! A cha basi uzuzu sayansi ni dynamic inayohitaji maswali utafiti ubunifu na uthubutu sasa ww hujielewi utabakia hvy hvy

TWAWEZA hoyee!
 
Wafe kama milioni ngapi hivi ili lockdown iwe inaswihi kwako?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu wanasema wajinga ndiyo waliwao. Kuhangaika nao kuwaelewesha mbona shughuli?

70% ya raia Kenya wanataka total lockdown kuondokana na kuenea kwa huu ugonjwa. What a contrast?
 
Kuwa makini, kasome BBC, 80% ya vifo ni black tii, na unakuta wakaazi weusi eneo hilo ni 30% lakini.waliokufa weusi ni 80% ya wagonjwa wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Black Chicagoans account for half of all coronavirus cases in the city and more than 70% of deaths, despite making up 30% of the population source BBC.
So acheni blah blah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mama siku hizi umekuwa mkali,mpaka nashindea kukuomba unyumba[emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha uongo, jasome post namba 81 uijibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…