89% ya waliofariki na Corona wametoka bara la Ulaya, Marekani, China na Iran, huku 0.5% vikitoka Afrika na 0.2% weusi tii! Then why lockdown in Africa

89% ya waliofariki na Corona wametoka bara la Ulaya, Marekani, China na Iran, huku 0.5% vikitoka Afrika na 0.2% weusi tii! Then why lockdown in Africa

Kijana wewe baki na ujanja wako na kutafuta pakutokea. "Weusi tii" umeitoa wapi? Sudan ya Kusini?

Unataka nikufundishe maana ya "pathogenesis"? Au unataka nikufundishe maana ya "covid-19? Usione haya, sema tu ntakupa darsa. Anza na hiyo...

Pathogenesis is the process by which an infection leads to disease. Pathogenic mechanisms of viral disease include (1) implantation of virus at the portal of entry, (2) local replication, (3) spread to target organs (disease sites), and (4) spread to sites of shedding of virus into the environment.

Dunia ya leo ya IT unauliza swali la kijinga hilo? Hata mjukuu wangu wa darasa la nne atakujibu huku anacheza game. Pambaf.
Una 05%
 
Hata USA wenye high health technology walizani ni Chinese Virus wakaapuuzia maagizo. See what is happening here now. Waafrika tunspenda kujifariji na kuona wacha wafe tuu, Sisi no.
We nawe hujielewa , kwahiyo Death rate ime cross 50%?

wako below 5%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hakika TWAWEZA hawakukosea. Bahatika kufahamu elimu za watanzania hawa wenye mawazo kama yako ndipo mtu utakapochoka.

TWAWEZA hoyee!
 
Kiingereza chenyewe

Vipi wewe mbona mshamba Sana? Tafuta basi na wewe data zako nimekulazimisha kufuatilia za kwangu?! A cha basi uzuzu sayansi ni dynamic inayohitaji maswali utafiti ubunifu na uthubutu sasa ww hujielewi utabakia hvy hvy

TWAWEZA hoyee!
 
Wafe kama milioni ngapi hivi ili lockdown iwe inaswihi kwako?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu wanasema wajinga ndiyo waliwao. Kuhangaika nao kuwaelewesha mbona shughuli?

70% ya raia Kenya wanataka total lockdown kuondokana na kuenea kwa huu ugonjwa. What a contrast?
 
Ukifuatilia kwa umakini epidemiology ya ugonjwa huu haiziathiri ngozi nyeusi zilizokulia Africa zinazopambana na Virus wengi walioko kwenye Vumbi tunalokutana nalo pengine Vumbi hili lina particles ndogondgo ambazo hazitakiwi na mwili na hivyo basi kinga za miili yetu ziko stressed kuingia vitani kila siku yaani ni kinga korofi zilizo tayari kwa Vita kila dakika kuulinda mwili maana tunazikorofisha kila kukicha na zenyewe hazichoki

Kwa lugha rahisi ya kisayansi ni kwamba Virus ni single celled organism prokaryotes, ambaye hawezi kuishi nje ya host

Kosa walilolifanya wazungu ni kuliondoa vumbi ambalo lina mahusiano ya moja kwa moja na maisha yet u

Sayansi inasema hawa Virus huwa wako katika hali ya kujitafutia chakula ambapo basi virus hawa huona mwili wa binadamu au viumbe wengine Kama sehemu ya kutafuta chakula kukuua huwa si kusudio Lao

Kwa hiyo viongozi wa Afrika ruhusuni tu watoto waende shule na watu waendelee na maisha yao

Wazungu wafikirie upya uhifadhi wa Mazingira yao
Kuwa makini, kasome BBC, 80% ya vifo ni black tii, na unakuta wakaazi weusi eneo hilo ni 30% lakini.waliokufa weusi ni 80% ya wagonjwa wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Black Chicagoans account for half of all coronavirus cases in the city and more than 70% of deaths, despite making up 30% of the population source BBC.
So acheni blah blah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe punguani, huwezi andika takwimu ukapoteza zaidi ya asilimiakumi ya takwimu.

Hiyo shule uliyoenda ni ya kijinga na imekufundisha ujinga halafu bado unabishana kijinga badala ya kushukuru umefunfishwa kuwa huo ni ujinga.

You are simply an ignorant fool.
mama siku hizi umekuwa mkali,mpaka nashindea kukuomba unyumba[emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukifuatilia kwa umakini epidemiology ya ugonjwa huu haiziathiri ngozi nyeusi zilizokulia Africa zinazopambana na Virus wengi walioko kwenye Vumbi tunalokutana nalo pengine Vumbi hili lina particles ndogondgo ambazo hazitakiwi na mwili na hivyo basi kinga za miili yetu ziko stressed kuingia vitani kila siku yaani ni kinga korofi zilizo tayari kwa Vita kila dakika kuulinda mwili maana tunazikorofisha kila kukicha na zenyewe hazichoki

Kwa lugha rahisi ya kisayansi ni kwamba Virus ni single celled organism prokaryotes, ambaye hawezi kuishi nje ya host

Kosa walilolifanya wazungu ni kuliondoa vumbi ambalo lina mahusiano ya moja kwa moja na maisha yet u

Sayansi inasema hawa Virus huwa wako katika hali ya kujitafutia chakula ambapo basi virus hawa huona mwili wa binadamu au viumbe wengine Kama sehemu ya kutafuta chakula kukuua huwa si kusudio Lao

Kwa hiyo viongozi wa Afrika ruhusuni tu watoto waende shule na watu waendelee na maisha yao

Wazungu wafikirie upya uhifadhi wa Mazingira yao
Wacha uongo, jasome post namba 81 uijibu.
 
Back
Top Bottom