90% ya ukilaza wa mtoto chanzo ni wazazi

90% ya ukilaza wa mtoto chanzo ni wazazi

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,853
Reaction score
4,503
Kuna wazazi wengi wanalalamika watoto hawana akili,ukifuatilia kwa ukaribu utagundua kwamba wazazi wa mtoto wote ni sufuri kwa kila kitu wanachojua ni kubanduana tu.

Huwa nawasisitiza wanafunzi wangu kufanya machaguo sahihi kwa wenza wao kwa tutazama kila kitu hasa thinking capacity,kuna viumbe wao wana vichwa na ubongo kutimiza kusudi la uumbaji tu,ni sufuri,halafu wanaoana,wanataka huyu mtoto atazaliwa akili atoe wapi?,wanataka miujiza isiyowezekana?

Fanyeni right selection msije sumbua watoto kwa mboko.
 
Ulichoa andika hapa wewe ni kilaz pro max maana hujaonyesha kwa namna gan mzazi au mlez anavyochangia mtoto kuwa kilaza badala yake umeonyesha wewe ubongo wako ulivyo
 
Ulichoa andika hapa wewe ni kilaz pro max maana hujaonyesha kwa namna gan mzazi au mlez anavyochangia mtoto kuwa kilaza badala yake umeonyesha wewe ubongo wako ulivyo
Anazungumzia kurithi hii huwezi kuonesha kwa fomula mkuu kama unavodhani DNA inheritance. Yaani wazazi wote kama uwezo wao wa kiakili upo chini sio rahisi kupata kid mwenye uwezo zaidi yao maana atakuwa amerithi kutoka kwao!👍
 
Sahihi,
Ukilaza wa mtoto unatokana na genes za wazazi pamoja na lishe anayopata utotoni.
Pia na magonjwa ya utotoni
nimeangazia 90% tu ambayo ni DNA,magongwa mengi yanayosababisha ukilaza chanzo ni Genes pia,
 
Sasa inakuwaje ndani ya familia Moja.
Mtoto mmoja au wawili wanakuwa bright sana na uwezo mkubwa.

Halafu wengine kawaida na wengine vilaza?
Kwa level ya shule kuna akili za kuzaliwa na akili zinazotokana na mtu kufanya jitihada kubwa sana kusoma, kukariri na kuelewa.

Jambo lingine, Africa kwa sehemu kubwa bado kipimo cha akili ni cha darasani zaidi kujibu mtihani tofauti na sehemu nyingine ambapo kuna vitu vingi vya kuonyesha smartness/ intelligence ya mtu.
 
Ulichoa andika hapa wewe ni kilaz pro max maana hujaonyesha kwa namna gan mzazi au mlez anavyochangia mtoto kuwa kilaza badala yake umeonyesha wewe ubongo wako ulivyo
SIJAZUNGUMZIA MLEZI WALA MALEZI MKUU,RUDIA KUSOMA TENA,ELEWA NDIO UJIBU,KILA MZAZI NI MZAZI ILA SI MLEZI NA SI KILA MLEZI NI MZAZI,NAZUNGUMZIA MZAZI AMBAYE NI MZAZI,SIJUI NAELEWEKA AMA UELEWA WAKO NI WA BI MSUMI?
 
Sahihi,
Ukilaza wa mtoto unatokana na genes za wazazi pamoja na lishe anayopata utotoni.
Pia na magonjwa ya utotoni

Sio kweli; kwenye genes hapana. Mtoto ni mazingira yanayomzunguka ndio yanaweza chagiza au ibua akili yake.
 
Sasa inakuwaje ndani ya familia Moja.
Mtoto mmoja au wawili wanakuwa bright sana na uwezo mkubwa.

Halafu wengine kawaida na wengine vilaza?
Kidato cha nne kuna topic ya GENETICS,mle ndani mlijifunza masuala ya inheritance particulary mendelian inheritence,imeeleza kuhusu character segregation kwa kina ndio maana utakuta baba anavina saba vya seli mundu na mama pia ila hawana seli mundu wanakuja kuzaa watoto wenye seli,mundu,wasio na seli mundu na carrier wa seli mundu.ni darasa pana.
 
Back
Top Bottom