90% ya ukilaza wa mtoto chanzo ni wazazi

Kuna wazazi wengi wanalalamika watoto hawana akili,ukifuatilia kwa ukaribu utagundua kwamba wazazi wa mtoto wote ni sufuri kwa kila kitu wanachojua ni kubanduana tu.

Huwa nawasisitiza wanafunzi wangu kufanya machaguo sahihi kwa wenza wao kwa tutazama kila kitu hasa thinking capacity,kuna viumbe wao wana vichwa na ubongo kutimiza kusudi la uumbaji tu,ni sufuri,halafu wanaoana,wanataka huyu mtoto atazaliwa akili atoe wapi?,wanataka miujiza isiyowezekana?

Fanyeni right selection msije sumbua watoto kwa mboko.
Unakuta mtoto ana IQ kubwa ila wazazi ni 0 IQ. Hapo imekaaje?
 
Mkuu watu waangalia hisia zao zaidi swala la kuangalia mengine ni wachache sana wanafanya hivo....
Swala la ukilaza nakubaliana na wewe coz siku zote ndege wafananao huruka pamoja, ni ngumu mtu mwenye akili akamuoa au kukubali kuolewa na kilaza
inabidi wa mix
 
Mbona kuna watoto wa waheshimiwa lakn kichwani empty set
 
kuna character za aina mbili inherited na acquired characters,brightness ni inherited sio acquired

Sio kweli; "brightness" sio inherited; Brightness kama ambavyo wewe unaichukulia ni matokeo ya mazingira yanayomzunguka mtu. Wapo wazazi walikuwa "bright" na watoto kinyume chake. Na wapo waliokuwa sio "bright" na watoto wakawa kinyume chake.
 
Unakuta mtoto ana IQ kubwa ila wazazi ni 0 IQ. Hapo imekaaje?
wengi tuna wapima watu kwa elimu zao,kuna watu wanaakili sana ila hawana elimu,mazingira yanawafanya waonekane si kitu,brain lazima itumike ipasavyo ili ijidhihirishe umahiri wake,,shule inasaidia kutrain mind that way
 
Hamna MTU kilaza

Africa watu hawajui kuvumbua potential zao na kuzitumia kupata pesa na kuwa na maisha mazuri.

Kwahiyo Kila MTU anajiona smart kwa kuwa na Elimu ya chuo diploma au degree n.k

Ila hakuna MTU kilaza

Ukigundua potential yako mapema ukailea unaweza Fanya mambo marvelous in ur life
 
Sio kweli; "brightness" sio inherited; Brightness kama ambavyo wewe unaichukulia ni matokeo ya mazingira yanayomzunguka mtu. Wapo wazazi walikuwa "bright" na watoto kinyume chake. Na wapo waliokuwa sio "bright" na watoto wakawa kinyume chake.

100%

Mfano Messi angezaliwa TANZANIA je angeweza kuwa GOAT wa football jibu ni HAPANA

Angeishia kucheza Yanga au Simba au Majimaji

Mazingira anayokutana nayo MTU na aina ya watu Yana mchango wa yeye kuwa smart au kuwa kilaza .
 
Hamna MTU kilaza

Africa watu hawajui kuvumbua potential zao na kuzitumia kupata pesa na kuwa na maisha mazuri.

Kwahiyo Kila MTU anajiona smart kwa kuwa na Elimu ya chuo diploma au degree n.k

Ila hakuna MTU kilaza

Ukigundua potential yako mapema ukailea unaweza Fanya mambo marvelous in ur life
Wapo watu vilaza wasioweza kufanya jambo lolote kwa viwango vya juu.
 
Hamna MTU kilaza

Africa watu hawajui kuvumbua potential zao na kuzitumia kupata pesa na kuwa na maisha mazuri.

Kwahiyo Kila MTU anajiona smart kwa kuwa na Elimu ya chuo diploma au degree n.k

Ila hakuna MTU kilaza

Ukigundua potential yako mapema ukailea unaweza Fanya mambo marvelous in ur life
wewe una motivate,mimi nazungumzia scientific facts that have been proved, unachotaka kutuaminisha mtu akigundua pontetiality yake basi si kilaza?,bi msumi ni mfano wa kilaza ila yupo sehemu ambayo anapaswa kukaa mtu ambaye ni smart.
 
100%

Mfano Messi angezaliwa TANZANIA je angeweza kuwa GOAT wa football jibu ni HAPANA

Angeishia kucheza Yanga au Simba au Majimaji

Mazingira anayokutana nayo MTU na aina ya watu Yana mchango wa yeye kuwa smart au kuwa kilaza .

Intelligence inachagizwa, inachochewa na inakua kufuatia mazingira (Lishe, elimu, maarifa n.k). Napoleon Hill, ameshasema kwenye kitanu chake "Think and grow rich"; kila mtu ni genius/talented anapokutana na mazingira sahihi ya kumwezesha kukua.
 
100%

Mfano Messi angezaliwa TANZANIA je angeweza kuwa GOAT wa football jibu ni HAPANA

Angeishia kucheza Yanga au Simba au Majimaji

Mazingira anayokutana nayo MTU na aina ya watu Yana mchango wa yeye kuwa smart au kuwa kilaza .
Ukichukuliwa wewe au Mbwana Samatta mkapewa mazingira yote aliyopewa Messi kuna uwezekano msifike hata 20% yake ya sasa.

Kuna watoto wengi wamepewa mazingira mazuri kuliko hata Messi lakini hawajafikia hata nusu ya Messi.
 
Back
Top Bottom