kwa faida ya walio ishia kidato cha nne na kuenda michepuko ya sanaa,factor namba 2 ,ukisha zungumzia alelles unazungumzia specific codes katika inheritence,hizi codes huwa zinaweza kuathiriwa na environmental factors particularly some chemicals ambazo ni lethal ,
Unatakiwa uelewe kuhusu DNA,Gene na allele ndio utadadavua vema hili na kukubaliana na mimi kwamba ulichoandika possibility yake ni 0.1%,no scientific researches has ever proved that.
Gene ni taarifa ndani ya DNA na Allele ni mgawanyiko wa hizo taarifa ndani ya DNA,sasa taarifa ni taarifa tu itoke nusu (recessive)au full(dominant) outcomes ndio itathibitisha,ndio hapo unapata kilaza,kilaza kidogo,akili mingi,akili kidogo na akili mingi.