MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Tumeisoma hadi kidato Cha sita.Kidato cha nne kuna topic ya GENETICS,mle ndani mlijifunza masuala ya inheritance particulary mendelian inheritence,imeeleza kuhusu character segregation kwa kina ndio maana utakuta baba anavina saba vya seli mundu na mama pia ila hawana seli mundu wanakuja kuzaa watoto wenye seli,mundu,wasio na seli mundu na carrier wa seli mundu.ni darasa pana.
Kama ndivyo wote tukubali recessive allele na dominant alleles za akili na ujinga anaweza pia kuwa nazo mtu mwele akili nyingi.
Ikiwa ndivyo, basi sio suala la kulaumu parent kama mtoa mada anavyodokeza.
Halafu kingine huwa tunasema ni 60% tunarithi, kingine mazingira yanatushape