90% ya ukilaza wa mtoto chanzo ni wazazi

90% ya ukilaza wa mtoto chanzo ni wazazi

Hii inanikumbusha dada mmoja wa kizungu, nilisoma siku chache zilizopita akisema kuwa Elon Musk alimpa ''offer'' ya kuzaa naye. Yaani jamaa ameshajiona ni dume la mbegu bora. Ukweli ni kwamba watoto kuwa na uwezo inategemea vitu vingi sana na huwezi ku-conclude kuwa wazazi wakiwa bright, basi na watoto ni lazima wawe hivyo. Nimeshuhudia famia zenye baba na mama waliokuwa wanaitwa wajinga wa kijiji, wamekaa kama ma-zombi tu wakizaa watoto wenye akili sana. Na nimeshuhudia wazazi wasomi na vipanga kweli kweli wakizaa watoto wasio na akili.
Halafu unajua si kila mjinga basi hana akili mkuu?,au labda mimi sijui tafsiri ya mkijnga ni gani?
 
Sema wewe mkuu,tupo busy kutokomeza ujinga,watu wako busy kuleta fresh retards,

I wouldn't Fvck a woman who can't spell right coz she probably entertains niggaz who can't even spell, and I don't commune with Vilaza.,vipi kama atapata mimba ya bahati mbaya??mimi sina akili,mama nae awe hana akili??

It goes without saying,but everybody should be very careful about who they fvck..

Elitism for sexual selection
 
Mimi baba hajasoma mama hajasoma lakini mimi na mdogo wangu tulitikisa shule enzi zetu kwahyo embu fafanua vzuri mkuu
 
Kuna wazazi wengi wanalalamika watoto hawana akili,ukifuatilia kwa ukaribu utagundua kwamba wazazi wa mtoto wote ni sufuri kwa kila kitu wanachojua ni kubanduana tu.

Huwa nawasisitiza wanafunzi wangu kufanya machaguo sahihi kwa wenza wao kwa tutazama kila kitu hasa thinking capacity,kuna viumbe wao wana vichwa na ubongo kutimiza kusudi la uumbaji tu,ni sufuri,halafu wanaoana,wanataka huyu mtoto atazaliwa akili atoe wapi?,wanataka miujiza isiyowezekana?

Fanyeni right selection msije sumbua watoto kwa mboko.





Cc: Mahondaw
 
Ukichukuliwa wewe au Mbwana Samatta mkapewa mazingira yote aliyopewa Messi kuna uwezekano msifike hata 20% yake ya sasa.

Kuna watoto wengi wamepewa mazingira mazuri kuliko hata Messi lakini hawajafikia hata nusu ya Messi.
Kila mtu na uwanja wake tukiwekwa darasani na Messi then tufundishwe hesabu Nina asilimia 100 hawezi nishinda katika hesabu nitamshinda hata tukifumdishwa miaka 10 hawezi nipita
 
Back
Top Bottom