TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
wakitaka waje waniulize mimi niwape lecturing ya DNA with HERITANCE,MOLECULAR BIOLOGY IPO HAPA.
Anazungumzia kurithi hii huwezi kuonesha kwa fomula mkuu kama unavodhani DNA inheritance. Yaani wazazi wote kama uwezo wao wa kiakili upo chini sio rahisi kupata kid mwenye uwezo zaidi yao maana atakuwa amerithi kutoka kwao!👍Ulichoa andika hapa wewe ni kilaz pro max maana hujaonyesha kwa namna gan mzazi au mlez anavyochangia mtoto kuwa kilaza badala yake umeonyesha wewe ubongo wako ulivyo
nimeangazia 90% tu ambayo ni DNA,magongwa mengi yanayosababisha ukilaza chanzo ni Genes pia,Sahihi,
Ukilaza wa mtoto unatokana na genes za wazazi pamoja na lishe anayopata utotoni.
Pia na magonjwa ya utotoni
Kwa level ya shule kuna akili za kuzaliwa na akili zinazotokana na mtu kufanya jitihada kubwa sana kusoma, kukariri na kuelewa.Sasa inakuwaje ndani ya familia Moja.
Mtoto mmoja au wawili wanakuwa bright sana na uwezo mkubwa.
Halafu wengine kawaida na wengine vilaza?
Hata magonjwa yasiyo ya genes kama Malaria kali n.k yakimuathiri mtoto wakati ubongo wake haujakomaa ni tatizo.nimeangazia 90% tu ambayo ni DNA,magongwa mengi yanayosababisha ukilaza chanzo ni Genes pia,
SIJAZUNGUMZIA MLEZI WALA MALEZI MKUU,RUDIA KUSOMA TENA,ELEWA NDIO UJIBU,KILA MZAZI NI MZAZI ILA SI MLEZI NA SI KILA MLEZI NI MZAZI,NAZUNGUMZIA MZAZI AMBAYE NI MZAZI,SIJUI NAELEWEKA AMA UELEWA WAKO NI WA BI MSUMI?Ulichoa andika hapa wewe ni kilaz pro max maana hujaonyesha kwa namna gan mzazi au mlez anavyochangia mtoto kuwa kilaza badala yake umeonyesha wewe ubongo wako ulivyo
kuchapiwa hakuepukikiSasa inakuwaje ndani ya familia Moja.
Mtoto mmoja au wawili wanakuwa bright sana na uwezo mkubwa.
Halafu wengine kawaida na wengine vilaza?
Sahihi,
Ukilaza wa mtoto unatokana na genes za wazazi pamoja na lishe anayopata utotoni.
Pia na magonjwa ya utotoni
Kidato cha nne kuna topic ya GENETICS,mle ndani mlijifunza masuala ya inheritance particulary mendelian inheritence,imeeleza kuhusu character segregation kwa kina ndio maana utakuta baba anavina saba vya seli mundu na mama pia ila hawana seli mundu wanakuja kuzaa watoto wenye seli,mundu,wasio na seli mundu na carrier wa seli mundu.ni darasa pana.Sasa inakuwaje ndani ya familia Moja.
Mtoto mmoja au wawili wanakuwa bright sana na uwezo mkubwa.
Halafu wengine kawaida na wengine vilaza?