92.5 Dar Bado wanachambua michezo hadi mchana huu saa saba kasorobo. TZ tunasafari ndefu sana

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
GT.

Ila Tanzania ujinga umetamalaki aisee imagine masaa kama haya radio bado inachambua michezo .game ya Simba na yanga.

Hizi radio nadhani vijiwe vya kahawa aisee ina maana hawana ajenda zingine kama
1. Afya
2. Kilimo
3. Uchumi
4. Elimu
5. Utalii
6..usafiri
7.ufundi
8.Mapishi.
9..siasa

Hapa Tanzania kuna Tatizo kubwa siyo bure tukiendeleea hivi taifa linaenda kuwa na mbumbumbu wengi sana
 
Acha tu ndg yangu hii nchi haiko hai huku mtaani kuna vitoto vimekondeana wazazi hawajui vile nini ili vikue lkn hata vyombo vya hbr hwapromoti vitu km vya afya n.k
 
Kuna zingine mpaka leo siku ya tatu,unakuta kipindi kina masaa mawili zinachambuliwa za hamonize na kajala tu,mara mario na amara uko sijui hamo ni babu kwa amara. Upuuzi
Bongo udwanzi mwingi sana
 
Juzi kati nilikuwa nasikiliza redio nikamsikia mtangazaji anasema Babu tale ni mbunge wa Morogoro mjini hata hakushtuka.
 
Bongo redio ni ujinga mtupu.. Watangazaji wanaigiziana sauti hata hujui yupi ndo yupi..Muda wa vipindi vyote unalingana kwa redio zote kama saa tatu hadi saa saba ni michezo basi redio zote muda huo ni michezo..Watangazaji wao sio wabobevu wewe ukiwa maarufu tu hata kama ni kichwa maji kama baba levo wanakuajiri
 
GT.

Ila Tanzania ujinga umetamalaki aisee imagine masaa kama haya radio bado inachambua michezo .game ya Simba na yanga.

Hizi radio nadhani vijiwe vya kahawa aisee ina maana hawana ajenda zingine kama
1. Afya
2. Kilimo
3. Uchumi
4. Elimu
5. Utalii
6..usafiri
7.ufundi
8.Mapishi.
9..siasa

Hapa Tanzania kuna Tatizo kubwa siyo bure tukiendeleea hivi taifa linaenda kuwa na mbumbumbu wengi sana
Ndio mpangomkakati huo
 
asubuhi hadi saa 7 ni mpira, saa 7 hadi saa 12 ni umbea tu, saa 12 hadi saa 6 usiku ni mpira tena, saa 6 usiku hadi asubhi ni mapenzi.. radio za tanzania wanaona contents ni mpira, umbea na mapenzi.. Kwa hali hii CCM inaweza kutawala hadi mwisho wadunia
 
GT.

Ila Tanzania ujinga umetamalaki aisee imagine masaa kama haya radio bado inachambua michezo .game ya Simba na yanga.

Hizi radio nadhani vijiwe vya kahawa aisee ina maana hawana ajenda zingine kama
1. Afya
2. Kilimo
3. Uchumi
4. Elimu
5. Utalii
6..usafiri
7.ufundi
8.Mapishi.
9..siasa

Hapa Tanzania kuna Tatizo kubwa siyo bure tukiendeleea hivi taifa linaenda kuwa na mbumbumbu wengi sana
Radio stations za Bongo zimekuwa kitu cha ajabu! Hawana vipindi ambavyo vinaelimisha. Ni porojo, mziki, udaku, na habari ambazo hazijafanyiwa utafiti.
 
GT.

Ila Tanzania ujinga umetamalaki aisee imagine masaa kama haya radio bado inachambua michezo .game ya Simba na yanga.

Hizi radio nadhani vijiwe vya kahawa aisee ina maana hawana ajenda zingine kama
1. Afya
2. Kilimo
3. Uchumi
4. Elimu
5. Utalii
6..usafiri
7.ufundi
8.Mapishi.
9..siasa

Hapa Tanzania kuna Tatizo kubwa siyo bure tukiendeleea hivi taifa linaenda kuwa na mbumbumbu wengi sana

Vituo vingi Sana vya Matangazo ya Redio na Televisheni, vimefunguliwa ili vifanye Propaganda za kupotosha makusudi kwa lengo la kuwatoa kwenye reli Wananchi ili wasipate nafasi ya kujadili au kujikita kwenye masuala muhimu zaidi ya maisha yao, masuala ambayo Watawala wa nchi wanaona kwamba yatagusa moja kwa moja maslahi yao binafsi ya kisiasa. Hii ni Diversionary Tactics ili kudhibiti Fikra za Watu/Umma.

It is like a Mind Control Tactics. Watu badala ya kujadili Mambo ya Msingi katika maisha yao, badala yake wataishia kujadili masuala ya Yanga na Simba, mchana kutwa na usiku kucha!
 
GT.

Ila Tanzania ujinga umetamalaki aisee imagine masaa kama haya radio bado inachambua michezo .game ya Simba na yanga.

Hizi radio nadhani vijiwe vya kahawa aisee ina maana hawana ajenda zingine kama
1. Afya
2. Kilimo
3. Uchumi
4. Elimu
5. Utalii
6..usafiri
7.ufundi
8.Mapishi.
9..siasa

Hapa Tanzania kuna Tatizo kubwa siyo bure tukiendeleea hivi taifa linaenda kuwa na mbumbumbu wengi sana
aliyekwambia tanzania kuna redio nani? watu kutwaaaa shimbwaaaaaaaaaaaaaaa yangaaaaaaaaaa sijui nini ukiwaangalia maisha magumuuuuuuuuuuuuu, nadhani kuna haja ile sheria ya wenye taaluma tu ndio wawepo redioni iharakishwe content redioni tanzania ni 0 zero.
 
Huku nilipo redio zinashika 7 tu! 5 ni muziki mchana huu, moja habari, moja siasa.
 
GT.

Ila Tanzania ujinga umetamalaki aisee imagine masaa kama haya radio bado inachambua michezo .game ya Simba na yanga.

Hizi radio nadhani vijiwe vya kahawa aisee ina maana hawana ajenda zingine kama
1. Afya
2. Kilimo
3. Uchumi
4. Elimu
5. Utalii
6..usafiri
7.ufundi
8.Mapishi.
9..siasa

Hapa Tanzania kuna Tatizo kubwa siyo bure tukiendeleea hivi taifa linaenda kuwa na mbumbumbu wengi sana
Hawajatoa tangazo la kubeti?
 
Back
Top Bottom