The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
- Thread starter
- #41
Journalists wetu akili kisodaHivyo ulovyotaja havina wachambuzi wabobevu. Michezo mtu yoyote tu anaweza kusema Sema.
Matangazo ya bahati nasibu huko ndio nyumbani
Journalists wetu akili kisodaHivyo ulovyotaja havina wachambuzi wabobevu. Michezo mtu yoyote tu anaweza kusema Sema.
Matangazo ya bahati nasibu huko ndio nyumbani
Exactly 💯Nakumbuka nilitoa wazo humu kuwa, kipindi chochote Cha michezo kinachozidi robo saa kiwe kinaanza kuanzia saa moja jioni..yaani hata wakeshe sawa TU..lakini Kwa muda wa mchana taifa letu linahitaji kuelimisha wananchi kwenye sekta mbalimbali zitakazo wasaidia kujikwamua kiuchumi
hahah mara SAKO KWA BAKOGhafla unasikia nendeni mkajiunge Amazon collage
Wenye sifa ya jina Hilo la 'Journalist' wapo miaka hii?Journalists wetu akili kisoda
Wenye pesa hawana ufala huo wa kukaa kusikiloza radio programs za kipumbavu kama michezoNa ndio wanaoongoza kuwa na pesa nyingi.