Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
😀😀😀Huku nilipo redio zinashika 7 tu! 5 ni muziki mchana huu, moja habari, moja siasa.
😀😀😀Huku nilipo redio zinashika 7 tu! 5 ni muziki mchana huu, moja habari, moja siasa.
Hawana content za Madaktari tena kuelimisha afya, hawana Taarifa za kilimo wala Uzinduzi wa mambo mbali mbali ya kitaalam au yenye fursa za kazi 😀😀😀asubuhi hadi saa 7 ni mpira, saa 7 hadi saa 12 ni umbea tu, saa 12 hadi saa 6 usiku ni mpira tena, saa 6 usiku hadi asubhi ni mapenzi.. radio za tanzania wanaona contents ni mpira, umbea na mapenzi.. Kwa hali hii CCM inaweza kutawala hadi mwisho wadunia
GT.
Ila Tanzania ujinga umetamalaki aisee imagine masaa kama haya radio bado inachambua michezo .game ya Simba na yanga.
Hizi radio nadhani vijiwe vya kahawa aisee ina maana hawana ajenda zingine kama
1. Afya
2. Kilimo
3. Uchumi
4. Elimu
5. Utalii
6..usafiri
7.ufundi
8.Mapishi.
9..siasa
Hapa Tanzania kuna Tatizo kubwa siyo bure tukiendeleea hivi taifa linaenda kuwa na mbumbumbu wengi sana
kitafuata kipindi cha umbeaGT.

na ndiyo watu wenye raha kuliko wote tanzania unakaaje na kitu moyoni kama kumshabikia mdude au lissu? sikutafuta pressure tu hukoWatu wa Dar wanajua maisha ni Simba na Yanga tu
😀😀😀bet pawa mara Makonde betRedio zinakera sana mara wametangaza kidogo unasikia mchongopesa, pakua mkwanja, weka pesa, pakuapakua, mabati ya simbadumu, rungu max goodygoody, matangazo mpaka kero yani ni kero hawajui tu ni vile hatuna namna.
vurugu unakuta game inaendelea "inapigwa kona pale anagonga kichwa nje, aaya tumia wembe wa rungumax goodygoody "bet pawa mara Makonde bet
Hivyo ulovyotaja havina wachambuzi wabobevu. Michezo mtu yoyote tu anaweza kusema Sema.GT.
Ila Tanzania ujinga umetamalaki aisee imagine masaa kama haya radio bado inachambua michezo .game ya Simba na yanga.
Hizi radio nadhani vijiwe vya kahawa aisee ina maana hawana ajenda zingine kama
1. Afya
2. Kilimo
3. Uchumi
4. Elimu
5. Utalii
6..usafiri
7.ufundi
8.Mapishi.
9..siasa
Hapa Tanzania kuna Tatizo kubwa siyo bure tukiendeleea hivi taifa linaenda kuwa na mbumbumbu wengi sana
😀😀😀vurugu unakuta game inaendelea "inapigwa kona pale anagonga kichwa nje, aaya tumia wembe wa rungumax goodygoody "
Ghafla unasikia nendeni mkajiunge Amazon collage 😂vurugu unakuta game inaendelea "inapigwa kona pale anagonga kichwa nje, aaya tumia wembe wa rungumax goodygoody "
kabisa.na ndiyo watu wenye raha kuliko wote tanzania unakaaje na kitu moyoni kama kumshabikia mdude au lissu? sikutafuta pressure tu huko