The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Na ndio wanaoongoza kuwa na pesa nyingi.Watu wa Dar wanajua maisha ni Simba na Yanga tu
Acha tu ndg yangu hii nchi haiko hai huku mtaani kuna vitoto vimekondeana wazazi hawajui vile nini ili vikue lkn hata vyombo vya hbr hwapromoti vitu km vya afya n.kGT.
Ila Tanzania ujinga umetamalaki aisee imagine masaa kama haya radio bado inachambua michezo .game ya Simba na yanga.
Hizi radio nadhani vijiwe vya kahawa aisee ina maana hawana ajenda zingine kama
1. Afya
2. Kilimo
3. Uchumi
4. Elimu
5. Utalii
6..usafiri
7.ufundi
8.Mapishi.
9..siasa
Hapa Tanzania kuna Tatizo kubwa siyo bure tukiendeleea hivi taifa linaenda kuwa na mbumbumbu wengi sana
Bongo udwanzi mwingi sanaKuna zingine mpaka leo siku ya tatu,unakuta kipindi kina masaa mawili zinachambuliwa za hamonize na kajala tu,mara mario na amara uko sijui hamo ni babu kwa amara. Upuuzi
Wahindi na Waarabu ni watanzania sasa?Na ndio wanaoongoza kuwa na pesa nyingi.
Ndio mpangomkakati huoGT.
Ila Tanzania ujinga umetamalaki aisee imagine masaa kama haya radio bado inachambua michezo .game ya Simba na yanga.
Hizi radio nadhani vijiwe vya kahawa aisee ina maana hawana ajenda zingine kama
1. Afya
2. Kilimo
3. Uchumi
4. Elimu
5. Utalii
6..usafiri
7.ufundi
8.Mapishi.
9..siasa
Hapa Tanzania kuna Tatizo kubwa siyo bure tukiendeleea hivi taifa linaenda kuwa na mbumbumbu wengi sana
Radio stations za Bongo zimekuwa kitu cha ajabu! Hawana vipindi ambavyo vinaelimisha. Ni porojo, mziki, udaku, na habari ambazo hazijafanyiwa utafiti.GT.
Ila Tanzania ujinga umetamalaki aisee imagine masaa kama haya radio bado inachambua michezo .game ya Simba na yanga.
Hizi radio nadhani vijiwe vya kahawa aisee ina maana hawana ajenda zingine kama
1. Afya
2. Kilimo
3. Uchumi
4. Elimu
5. Utalii
6..usafiri
7.ufundi
8.Mapishi.
9..siasa
Hapa Tanzania kuna Tatizo kubwa siyo bure tukiendeleea hivi taifa linaenda kuwa na mbumbumbu wengi sana
GT.

aliyekwambia tanzania kuna redio nani? watu kutwaaaa shimbwaaaaaaaaaaaaaaa yangaaaaaaaaaa sijui nini ukiwaangalia maisha magumuuuuuuuuuuuuu, nadhani kuna haja ile sheria ya wenye taaluma tu ndio wawepo redioni iharakishwe content redioni tanzania ni 0 zero.GT.
Ila Tanzania ujinga umetamalaki aisee imagine masaa kama haya radio bado inachambua michezo .game ya Simba na yanga.
Hizi radio nadhani vijiwe vya kahawa aisee ina maana hawana ajenda zingine kama
1. Afya
2. Kilimo
3. Uchumi
4. Elimu
5. Utalii
6..usafiri
7.ufundi
8.Mapishi.
9..siasa
Hapa Tanzania kuna Tatizo kubwa siyo bure tukiendeleea hivi taifa linaenda kuwa na mbumbumbu wengi sana
Hawajatoa tangazo la kubeti?GT.