92.5 Dar Bado wanachambua michezo hadi mchana huu saa saba kasorobo. TZ tunasafari ndefu sana

Hawana content za Madaktari tena kuelimisha afya, hawana Taarifa za kilimo wala Uzinduzi wa mambo mbali mbali ya kitaalam au yenye fursa za kazi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Redio zinakera sana mara wametangaza kidogo unasikia mchongopesa, pakua mkwanja, weka pesa, pakuapakua, mabati ya simbadumu, rungu max goodygoody, matangazo mpaka kero yani ni kero hawajui tu ni vile hatuna namna.
 
My country TZ
 
kitafuata kipindi cha umbea
 
Simba na yanga zinatumika kisiasa.sema watu wa nchi hii kuna namna fulani wamekuwa kama mazombi Ivi. Yani hamasa wanayopata watu wa nchi hii kwenye kufatilia mambo ya simba na yanga, kama wangeamishia kwenye kufatilia madunduka yanayofanywa na wanasiasa wa CCM kwenye mambo ambayo yamebeba hatima nzima ya maisha yao inchi hii watu wake ilikuwa sio wakupata shida hata kwenye mambo madogo tu kama umeme na matibabu au eti matundu ya vyoo mashuleni .
 
Redio ni Biashara, vipindi vya michezo ndiyo vinapendwa na wafanyabiashara kutangaziwa biashara zao!, mambo ya kilimo yana wasikilizaji wachache.
 
Redio zinakera sana mara wametangaza kidogo unasikia mchongopesa, pakua mkwanja, weka pesa, pakuapakua, mabati ya simbadumu, rungu max goodygoody, matangazo mpaka kero yani ni kero hawajui tu ni vile hatuna namna.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€bet pawa mara Makonde bet
 
Hivyo ulovyotaja havina wachambuzi wabobevu. Michezo mtu yoyote tu anaweza kusema Sema.
Matangazo ya bahati nasibu huko ndio nyumbani
 
Afadhali hao wanachambua michezo.... Naskia daslam chawa bado wanachambua mchele wa mama....🀣
 
Mipira....miziki umbea udaku
Mipira miziki umbea udaku
Mapenzi watu mnafundishwa,mnahamasishwa muwaaendee chumvin wk na madem zen ikiwezekan hata mndkkk muwqnyonye
Hahaha πŸ˜†

Ova
 
Nakumbuka nilitoa wazo humu kuwa, kipindi chochote Cha michezo kinachozidi robo saa kiwe kinaanza kuanzia saa moja jioni..yaani hata wakeshe sawa TU..lakini Kwa muda wa mchana taifa letu linahitaji kuelimisha wananchi kwenye sekta mbalimbali zitakazo wasaidia kujikwamua kiuchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…