92.5 Dar Bado wanachambua michezo hadi mchana huu saa saba kasorobo. TZ tunasafari ndefu sana

Exactly 💯
 
Ndugu mleta mada hayo mambo unayotaka yajadiliwe nje ya michezo utaishia kutekwa tu.

Mfano masaa yanayotumika kujadili mpira uyatumie kujadili Elimu yetu Tz, Uchumi wetu au siasa soon tutaambiwa ulichukuliwa na wasio julikana.

Nani anachukuliwa na wasio julikana kwa kujadili mpira?
 
Natamani watz wote waijue jf/jA, kwamaana humu unachagua unachopenda, na unakipata kwa 100%. Hii forum inanijenga kila siku,inanikutanisha na watu ambao kwa mazingira ya kawaida ni ngumu kukaa nao meza moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…