Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ahahahahh 🤣 🤣 🤣 🤣Sasa akitumia K yake kupata riziki na akaiosha vizuri wewe unapata shida gani,mkuu.Ni ya kwake achana nayo.
Ulishawahi kujiuliza swali, kwanini simba dume anakuwa anaunguruma usiku na kumpelekea kutokuishi miaka mingi?Yani siku hizi ukiingia tu jf unapokelewa na nyuzi za malalamiko kuhusu wanawake zimepangana na zote zimeanzishwa na wanaume, ila kukuta uzi wa malalamiko kwa wanaume ulioanzishwa na wanawake ni nadra sana, tukisema dunia ya leo wanaume wanaumia na kuteseka na mapenzi wanajitutumua oo mwanaume atabaki kuwa mwanaume tu..pathetic!!
Ukijiuliza wewe hilo swali inatosha, ila hapa tunaongelea uhalisia siyo hizo ngonjera zenu, za kutolea mifano isiyohusianaUlishawahi kujiuliza swali, kwanini simba dume anakuwa anaunguruma usiku na kumpelekea kutokuishi miaka mingi?
Vijana wa sikuhizi wanasema, kama huna D mbili hutoweza kuelewa.Ukijiuliza wewe hilo swali inatosha, ila hapa tunaongelea uhalisia siyo hizo ngonjera zenu, za kutolea mifano isiyohusiana
Hizo D mbili ukiwa nazo wewe inatosha, siku wanaume mkiacha kulialia mitandaoni kuhusu wanawake ndio tutajua Kweli hamuumii, ila kwa sasa endeleeni kujifarijiVijana wa sikuhizi wanasema, kama huna D mbili hutoweza kuelewa.
Wote ni hivyo hivyo na lazima wawe hivyo maana Wana kizibo wanachotumia2% tu ya wanaume wakipigwa na maisha huwaza kuuza sehemu zao za siri kujipatia kipato huku wanawake zaidi ya 98% wakipigwa na maisha ipasavyo wako tayari kuuza sehemu zao za siri ili kupata kipato na kutatua shida zao .
Mwanaume jitahidi umpe mke wako mahitaji yake muhimu na tuhela kidogo ili asiwaze kutumia mwili wake kupata kipato cha kutatua shida yake.
Wake za watu wanaliwa kwasababu ya pesa, wachache huliwa kwasababu ya tamaa ya ngono hasa wale ambao waume zao hawana nguvu za kiume au hawatulii nyumbani.
Tatizo mmezidiYani siku hizi ukiingia tu jf unapokelewa na nyuzi za malalamiko kuhusu wanawake zimepangana na zote zimeanzishwa na wanaume, ila kukuta uzi wa malalamiko kwa wanaume ulioanzishwa na wanawake ni nadra sana, tukisema dunia ya leo wanaume wanaumia na kuteseka na mapenzi wanajitutumua oo mwanaume atabaki kuwa mwanaume tu..pathetic!!
Sasa si mnatupiga na majabali ya utosi, vichwa haviwezi kuwa sawa.Yani siku hizi ukiingia tu jf unapokelewa na nyuzi za malalamiko kuhusu wanawake zimepangana na zote zimeanzishwa na wanaume, ila kukuta uzi wa malalamiko kwa wanaume ulioanzishwa na wanawake ni nadra sana, tukisema dunia ya leo wanaume wanaumia na kuteseka na mapenzi wanajitutumua oo mwanaume atabaki kuwa mwanaume tu..pathetic!!
Mkuu, ni lazima kupendwa? Si upige bao ulale ukiwaza mambo engine?Wanawake wote wanajiuza sema kwa style tofauti na ukielewa hilo hautokuja kusumbuka , wanawake wako na wewe kwa maslahi yao wanyime maslahi hata kidogo uone rangi zao halisi
Jadda Chujio sisi wanaume tuna mapungufu yetu mengi tu, ila mmh siku hizi wanawake wengi ni shida aisee, mtaani wanaume wengi tuko hoi, wadada wengi wapo kimaslahi tu (wanaangalia pesa tu) hata rafiki zangu wa kike wanakiri hilo, Yani no loveYani siku hizi ukiingia tu jf unapokelewa na nyuzi za malalamiko kuhusu wanawake zimepangana na zote zimeanzishwa na wanaume, ila kukuta uzi wa malalamiko kwa wanaume ulioanzishwa na wanawake ni nadra sana, tukisema dunia ya leo wanaume wanaumia na kuteseka na mapenzi wanajitutumua oo mwanaume atabaki kuwa mwanaume tu..pathetic!!
Sio kwamba wanawake hawateseki. Bali wameamua kupuuza kero wanazopata kutoka kwa wanaume wao. Kulialia haisaidii. Binadamu habadiliki kama ameamua kufanya mambo yake.Yani siku hizi ukiingia tu jf unapokelewa na nyuzi za malalamiko kuhusu wanawake zimepangana na zote zimeanzishwa na wanaume, ila kukuta uzi wa malalamiko kwa wanaume ulioanzishwa na wanawake ni nadra sana, tukisema dunia ya leo wanaume wanaumia na kuteseka na mapenzi wanajitutumua oo mwanaume atabaki kuwa mwanaume tu..pathetic!!