98% ya wanawake wanaweza kuwa makahaba kama option ya mwisho kujipatia kipato. Kwahiyo hakuna mwanamke aliyetulia. Dhiki hazijampata huyo

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
2% tu ya wanaume wakipigwa na maisha huwaza kuuza sehemu zao za siri kujipatia kipato huku wanawake zaidi ya 98% wakipigwa na maisha ipasavyo wako tayari kuuza sehemu zao za siri ili kupata kipato na kutatua shida zao .

Mwanaume jitahidi umpe mke wako mahitaji yake muhimu na tuhela kidogo ili asiwaze kutumia mwili wake kupata kipato cha kutatua shida yake.

Wake za watu wanaliwa kwasababu ya pesa, wachache huliwa kwasababu ya tamaa ya ngono hasa wale ambao waume zao hawana nguvu za kiume au hawatulii nyumbani.
 
Yani siku hizi ukiingia tu jf unapokelewa na nyuzi za malalamiko kuhusu wanawake zimepangana na zote zimeanzishwa na wanaume, ila kukuta uzi wa malalamiko kwa wanaume ulioanzishwa na wanawake ni nadra sana, tukisema dunia ya leo wanaume wanaumia na kuteseka na mapenzi wanajitutumua oo mwanaume atabaki kuwa mwanaume tu..pathetic!!
 
Siku moja mada Saba😳
Ila upo sahihi mkuu
 
Yani siku hizi ukiingia tu jf unapokelewa na nyuzi za malalamiko kuhusu wanawake zimepangana na zote zimeanzishwa na wanaume, ila kukuta uzi wa malalamiko kwa wanaume ulioanzishwa na wanawake ni nadra sana, tukisema dunia ya leo wanaume wanaumia na kuteseka na mapenzi wanajitutumua oo mwanaume atabaki kuwa mwanaume tu..pathetic!!
Ulishawahi kujiuliza swali, kwanini simba dume anakuwa anaunguruma usiku na kumpelekea kutokuishi miaka mingi?
 
Ukijiuliza wewe hilo swali inatosha, ila hapa tunaongelea uhalisia siyo hizo ngonjera zenu, za kutolea mifano isiyohusiana
Vijana wa sikuhizi wanasema, kama huna D mbili hutoweza kuelewa.
 
2% tu ya wanaume wakipigwa na maisha huwaza kuuza sehemu zao za siri kujipatia kipato huku wanawake zaidi ya 98% wakipigwa na maisha ipasavyo wako tayari kuuza sehemu zao za siri ili kupata kipato na kutatua shida zao .

Mwanaume jitahidi umpe mke wako mahitaji yake muhimu na tuhela kidogo ili asiwaze kutumia mwili wake kupata kipato cha kutatua shida yake.

Wake za watu wanaliwa kwasababu ya pesa, wachache huliwa kwasababu ya tamaa ya ngono hasa wale ambao waume zao hawana nguvu za kiume au hawatulii nyumbani.
Wote ni hivyo hivyo na lazima wawe hivyo maana Wana kizibo wanachotumia
 
Naunga mkono hoja, ila kikubwa ni tujitahidi tusioe malaya. Anayetumia sehemu zake za siri ili kujipatia pesa kwa namna yoyote ile huyo ni malaya
 
Yani siku hizi ukiingia tu jf unapokelewa na nyuzi za malalamiko kuhusu wanawake zimepangana na zote zimeanzishwa na wanaume, ila kukuta uzi wa malalamiko kwa wanaume ulioanzishwa na wanawake ni nadra sana, tukisema dunia ya leo wanaume wanaumia na kuteseka na mapenzi wanajitutumua oo mwanaume atabaki kuwa mwanaume tu..pathetic!!
Tatizo mmezidi
 
Sasa si mnatupiga na majabali ya utosi, vichwa haviwezi kuwa sawa.
 
Wanawake wote wanajiuza sema kwa style tofauti na ukielewa hilo hautokuja kusumbuka , wanawake wako na wewe kwa maslahi yao wanyime maslahi hata kidogo uone rangi zao halisi
Mkuu, ni lazima kupendwa? Si upige bao ulale ukiwaza mambo engine?
 
Yani siku hizi ukiingia tu jf unapokelewa na nyuzi za malalamiko kuhusu wanawake zimepangana na zote zimeanzishwa na wanaume, ila kukuta uzi wa malalamiko kwa wanaume ulioanzishwa na wanawake ni nadra sana, tukisema dunia ya leo wanaume wanaumia na kuteseka na mapenzi wanajitutumua oo mwanaume atabaki kuwa mwanaume tu..pathetic!!
Jadda Chujio sisi wanaume tuna mapungufu yetu mengi tu, ila mmh siku hizi wanawake wengi ni shida aisee, mtaani wanaume wengi tuko hoi, wadada wengi wapo kimaslahi tu (wanaangalia pesa tu) hata rafiki zangu wa kike wanakiri hilo, Yani no love
 
Yani siku hizi ukiingia tu jf unapokelewa na nyuzi za malalamiko kuhusu wanawake zimepangana na zote zimeanzishwa na wanaume, ila kukuta uzi wa malalamiko kwa wanaume ulioanzishwa na wanawake ni nadra sana, tukisema dunia ya leo wanaume wanaumia na kuteseka na mapenzi wanajitutumua oo mwanaume atabaki kuwa mwanaume tu..pathetic!!
Sio kwamba wanawake hawateseki. Bali wameamua kupuuza kero wanazopata kutoka kwa wanaume wao. Kulialia haisaidii. Binadamu habadiliki kama ameamua kufanya mambo yake.
 
Back
Top Bottom