Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
2% tu ya wanaume wakipigwa na maisha huwaza kuuza sehemu zao za siri kujipatia kipato huku wanawake zaidi ya 98% wakipigwa na maisha ipasavyo wako tayari kuuza sehemu zao za siri ili kupata kipato na kutatua shida zao .
Mwanaume jitahidi umpe mke wako mahitaji yake muhimu na tuhela kidogo ili asiwaze kutumia mwili wake kupata kipato cha kutatua shida yake.
Wake za watu wanaliwa kwasababu ya pesa, wachache huliwa kwasababu ya tamaa ya ngono hasa wale ambao waume zao hawana nguvu za kiume au hawatulii nyumbani.