A BITTER TRUTH: Kwanini watu weusi walishindwa kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu (Whites) kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?

Vp kuhusu industrial revolution? Wakati sisi tunawinda na kula matunda porini, wao walikuwa na viwanda vikubwa vikubwa

Heavy industries hazina muda mrefu sana duniani na ukifuatilia Africa katika kipindi hicho tayari jamii nyingi zilikuwa zinajizalishia vitu vingi tu kama zana za kilimo na baadhi ya vitu vingine. Hivyo hadi wazungu wanakuja tayari tulikuwa tumeendelea kiasi tofauti na hiyo stage ya mizizi na matunda
 
Sawa mkuu. I do understand now
 
Haswaa... umejibu vizuri mkuu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama sio jibu sahihi lakini una pointi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chini ya carpet zinasema "every genius has little voice inside their heads, leading them to invention"

Sie wengine tunadharau sana hata vipaji vyetu.

The only antidote to pain is honest.
 
Huu uzi umejaa watu wasiojua historia ya watu weusi hadi naona uvivu kuanza kuandika. Mkuu wape elimu upo sahihi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Just indication ya kuwa wewe ni superior

Sent using Jamii Forums mobile app
Moja ya kitu kinachomtenganisha mtu na mnyama ni uwezo wa kumhudumia mwingine.

Kumhudumia mtoto, mzee, kumhudumia mgonjwa. Kuzikana.

Wanyama wengi wanaacha watoto, wanaacha wagonjwa, wanaacha wazee. Hawazikani.

Kifupi, uwezo wa ku take care of another ni alama ya utu. Ndiyo unaomtenganisha mtu na mnyama. Tukipoteza uwezo huu tunakaribia kuwa sawa na wanyama wengine.

Anayemfanya mwingine mtumwa anaonesha unyama, si utu.

That is inferior, not superior.

Ndiyo maana watu wenye akili zao wamepiga marufuku utumwa dunia nzima.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
@wamepiga marufuku utumwa baada ya kuwa wamenufaika na biashara hiyo kwa kiwango cha juu sana
Kwani walishindwa kufaidika zaidi?

Halafu mbona sehemu nyingine ya post yangu umeiruka?

Umekubaliana nayo?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Mkuu umenichekesha sana, kuwa tulihitajiana kufanyana misukule [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umenichekesha sana, kuwa tulihitajiana kufanyana misukule [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
ndio mkuu😂 mu Africa kuna muda ni mtu wa ajabu,umewahi kusikia wale ma explorers au Slave traders walirogwa ? hapana lakini tunakaa kulogana sisi kwa sisi tu
 
Mkuu sasa hao misukule kwanini tusingechuka misukule ya kizungu?

Sent using Jamii Forums mobile app
huwa najiuliza hilo swali sipati jibu mkuu,tunawafanya misukule watu wasio na hatia lakini tulishindwa kuwafanya misukule wazungu walio tutesa, yani ulaya na uarabuni yote ilipaswa ma babu zetu waigeuze ijae misukule tu leo hii tungekuwa matajiri sana
 
Slavery bana ilukua ni mode of business kwa kipindi kile, nothing personal ubaguzi wa rangi uliotokea baada ya slavery ni matokeo ya mwafrika kuonekana inferior kwakua alikua mtumwa. Mzungu alijua mwafrika ni binadamu wa kawaida toka mwanzo tu, sio kwamba alidhani sisi ni nyani au kenge sema wakawafundisha watu na waafrika wenyewe kwamba negros are created by God to serve hii mentality ilikuepo marekani kwa kiasi kikubwa hadi in 1970's. Na tukumbuke kwamba mwafrika sio mtumwa wa kwanza enzi izo kwenye tawala zilistaarabika Kama Uingereza kulikua na ubaguzi mkubwa wa kiuchumi, kiutawala na kijamii hapo kulikua na madaraja ya wazungu watumwa na wale watawala na matajiri wafanya biashara. Hata kipindi wazungu wengi wanahamia "New world" marekani, wazungu wenyewe na native Americans ndo walichapa kazi kwenye plantations za wadosi kabla ya kupatikana altanative, cheap kama sio free labour kutoka West Africa. Kwaio mtazamo wangu ni biashara tu jamaa walituwahi mbona sisi tualiwawahi waisraeli kule misri na walichapa kazii kweli 😂😅. Ni kama sisi tunavowakandamiza mbwa, nyani, artificial intelligence, computers na robots kwa wale wanaomini katika evolution theory vipi na hawa viumbe siku wakapata ufahamu na kuanza kutulaumu kwa kuwakandamiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…