Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Vp kuhusu industrial revolution? Wakati sisi tunawinda na kula matunda porini, wao walikuwa na viwanda vikubwa vikubwa
Heavy industries hazina muda mrefu sana duniani na ukifuatilia Africa katika kipindi hicho tayari jamii nyingi zilikuwa zinajizalishia vitu vingi tu kama zana za kilimo na baadhi ya vitu vingine. Hivyo hadi wazungu wanakuja tayari tulikuwa tumeendelea kiasi tofauti na hiyo stage ya mizizi na matunda