Uchaguzi 2020 A coincidence or a highly calculated move? Bernard Membe kupeperusha bendera ya upinzani kwenye uchaguzi

Uchaguzi 2020 A coincidence or a highly calculated move? Bernard Membe kupeperusha bendera ya upinzani kwenye uchaguzi

Unajaribu kudictate matokeo, ikiwa vyama viwili vipo kwenye mazungumzo jibu lolote likitokea ndiyo makubaliano.
Lissu
or
Membe
 
No, everybody thinks but not everybody thinks right!
And it's very dangerous to think but not to think right!
Better not to think at all, if you can't think right.
Unfortunately there are people who think they gotta monopoly or copyright to right thinking over others, hope you aren't one of them brother
 
Unfortunately there are people who think they gotta monopoly or copyright to right thinking over others, hope you aren't one of them brother
What's good for the goose is good for the gander, Isn't it ???
Who told you that CHADEMA and ACT had a gentleman agreement ???
Why do want us to believe things which you haven't substantiated with tangible facts ???
 
Unajaribu kudictate matokeo, ikiwa vyama viwili vipo kwenye mazungumzo jibu lolote likitokea ndiyo makubaliano.
Lissu
or
Membe
Tatizo mmoja wao hapo hatoboikwenye uteuzi wa mwisho wa NEC na wenyewe wameshajua. Bahati nzuri wamejipanga kwa competent substitute
 
Lets agree to disagree, I do admire the way you argue though, thanks
We may be entitled to our opinions but not facts, no body owns facts.
Give the facts, we analyse them and at the end of the tether we get an astounding inference.
I believe this is the best way to go around things, so No hard feelings and;
Vaya con dios amigo!
 
Wasaidieni mawazo chanya wapinzani na si kuwapa moyo hewa. Uchaguzi huu inaweza kuwa aibu isiyo mfano toka upinzani kuanza. Kuna makosa mengi sana ikiwemo kuchelewa kufikia uamuzi wa kugawana majimbo.
 
Tumieni tu Kiswahili achana na kiingereza cha Ugoko.

Gentlemens' Agreement ndo nini?


Hakuna grand coalition ya wapinzani, hakuna makubaliano rasmi kwa maana ya MOU kwa sababu sheria na kanuni mpya za uchaguzi zimeshawapiga stop kua wamechelewa

Lakini kuna Gentlemens' Agreement miongoni mwa vyama vikuu viwili vikubwa vya upinzani. Haisemwi, haiandikwi, haiwekwi wazi lakini ndio itakavyokua huku ikionekana kama ni sudfa tu (coincidence)

Tundu Lisu kashapitishwa na CHADEMA kuwania Urais kwa tiketi yao, Bernard Membe hatimaye atapitishwa na ACT Wazalendo. Na hapo ndio mchezo unaanza

Kwa vikwazo atakavyowekewa Lisu, viwe vya halali au kinyume chake, hatoboi!!! Vinaonekana ni viunzi vyepesi kisheria lakini wenye maamuzi wakishasema ndio ishatoka hiyo tena! Dhana ya kwamba ni calculated move inajionyesha hata kwenye kauli za hivi karibuni za Bwana Tindu Lisu mwenyewe

Ameanza kutumia lugha za ku provoke mamlaka! Kutamka uwezekano wa kuingiza watu barabarani au hata hilo la ku temper na wimbo wa taifa. Yote hayo ni katika kuwapatia sababu wenye mamlaka ya kuteuwa wagombea wa vyama wafanye maamuzi dhidi yake kisha lawama ziwaangukie wao hali ya kua kiuhalisia upinzani ulishakubaliana Membe ndio mpeperusha bendera. Kimya kimya na ili isionekane kua Chadema wali compromise kwenye hilo. Kwa hali hiyo tutaendelea kusikia kauli tata na kuwachokaza wahusika kutoka kwa Lisu ili asipitishwe kugombea iwe kwa kuwekewa pingamizi au kwa kuadhibiwa na msajili au NEC au hata mahakama

Muda ni muamuzi mzuri, basi na tusubiri kuyaona haya katika kipindi kifupi kijacho. Yetu macho hasa sisi tusio na vyama
 
Back
Top Bottom