A God can be a mere theory, nothing more


Huo ni ukweli mtupu na ndio mana wanasma dini ni imani, na definition ya imani ni kuamini kuwa jambo fulani ni la kweli kweli kabisa bila ushahidi
 

Mkuu when i was Muslim niliuliza swali hilo kwa mashehe wakaanza kunipa siasa kwamba Mungu alituma mitume jamii zote! teh teh, nilipouliza ni Mtume gani alietumwa nje ya far east wakaniambia Mungu hakutaka tu kuwataja kwenye kitabu kitakatifu! But unaweza kujiuliza mbona hakuna historia yoyote au kitabu cha historia kinachoonesha nje na far east kulikua na hayo mafundisho? Hapo unaambiwa Mungu ndie ajuae!!!!

Swali hilo hilo nililileta hapa jf atleast kuskia na mawazo ya wakiristo bu ile mada ilifika page tano bila jibu.
 

Mkuu kwanini Mungu wa Israel? kwanini asiwe Mungu wa watu wote? Ivi kunauhusiano kati ya Mungu na Waizrael?
 
Ila matumizi ya android na simu yameibukia kisarawe kwenu. Au uvumbuzi wa vitu Vingi mnavyovitumia waafrika vimetokea mzenga ndiyo sababu mnapata shida na hsbari za dini kutokea far east ?

Hahahahaaaaa! we mjamaa sijui unatumia kiungo gani kufikiri? Ivi ulitaka kusema nini hapo?
 

Mkuu unalichukuliaje suala la mitume wote kutokea far east?

Na jee unauchukuliaje uongo na unreasonable teachings zilizomo kwenye vitabu vitakatifu?
 

Mkuu wanyama na miti vinathibitishaje uwepo wa Mungu ikiwa binadamu aliepewa akili anashindwa kuthibitisha?

Hapo kuhusu kuogopa kifo huoni ni kwa wale wanaoamini Mungu lakini wakashindwa kufuata yale walioaminishwa?
 
Some topics are hard to comprehend!!!

Hahahahaaa! hapana jerry mbona inaeleweka tu! kinakuchofanya usielewe ni sumu ya kiimani uliomezeshwa. Just be free, relax and reread it.
 
Well, Mashaxizo!
Inaweza kuwa ni maziwa ya kiimani na wala si sumu! Kiukweli linapokuja swala la kujadili kitu kilichojuu ya uwezo wako wa kuelewa huwa kazi sana.

Niweke hili wazi neno mungu (god) ni cheo na sio jina, hivyo tunajadili mungu yupi hapa, maana wahindi wana miungu yao na watu mbalimbali wana mungu ama miungu yao!

Kiimani katika muktadha wa kikristo Mungu amejifunua kwetu kwa namna aliyotaka yeye. Hivyo hiyo haitoi nafasi ya kumtaka huyu Mungu athibitishe aidha Uungu(mamlaka) wake au uwepo wake.

Japo nina imani inayoambatana na reasoning ni ngumu kuanza kujadili hili mpaka nijiweke kwenye nafasi ya kuwa neutral. Katika hili siwezi ku-contrast uwepo ama kutokuwepo kwake kwa kuwa sina ushahidi wa kutokuwepo kwake.



Hahahahaaa! hapana jerry mbona inaeleweka tu! kinakuchofanya usielewe ni sumu ya kiimani uliomezeshwa. Just be free, relax and reread it.
 
Kwanini wewe ni mkiristo na sio muislamu?


Kiranga alishawauliza kama mungu yupo kweli je iweje mtu anazaliwa bila kumjuwa?
na ili amjuwe basi ni lazima akatandikwe viboko madrasa au mafundisho kanisani?

but wakaingia chini ya meza na hawakurudi na jibu...
 
Hahahahaaaaa! we mjamaa sijui unatumia kiungo gani kufikiri? Ivi ulitaka kusema nini hapo?

Nataka kukyonyesha jinsi ulivyo mvivu wa kutafakari.
Mambo ya tech yameanzia na yanaendelezwa na hao hao ambao walianza kuamini Mungu ambaye kwako unauliza kwa njnj iwe far east tu.
Niambie kiluchoanzia Africa ukiacha ebora , kipindupindu na maradhi mengine.
Twende kazi...
 
Mkuu wanyama na miti vinathibitishaje uwepo wa Mungu ikiwa binadamu aliepewa akili anashindwa kuthibitisha?

Hapo kuhusu kuogopa kifo huoni ni kwa wale wanaoamini Mungu lakini wakashindwa kufuata yale walioaminishwa?

Vinathibitisha kwa kuwa vyenyewe sio infinity kwa kuwa sio inglfinity Ina maana kuna kilichosababisha viwepo
Aliyesababisha viwepo ni Mungu aliyeumba ulimwengu na vilivyomo na ambaye ndiye chanzo cha Uhai.
 
Kiranga alishawauliza kama mungu yupo kweli je iweje mtu anazaliwa bila kumjuwa?
na ili amjuwe basi ni lazima akatandikwe viboko madrasa au mafundisho kanisani?

but wakaingia chini ya meza na hawakurudi na jibu...

Ungejibidisha kufikiri usingehoji kwanini azaliwe pasipo kumjua. Ungejua kwamba hata picha hamjui mchoraji wake.
Kama ungekuwa thinker kweli ungehoji chanzo cha huo uhai ni nini au kwa akili yako unaamini lap top unayotumia au simu aliyekuuzia alivua baharini na bahari ndiyo inafanya simu zievolve ?
 

Namba 2. Waarabu walifanya utumwa East Africa tu, na watumwa wao wengi waliuzwa Uarabuni na Ulaya tu. Kule Afrika Magharibi (Ghana, Senegal, Mali, Nigeria, n.k) ambako ndiko utumwa wa kutisha ulifanyika biashara hiyo ilifanywa na wazungu hasa wareno na wahispania na watumwa wao walipelekwa Amerika zaidi. Hivyo biashara ya utumwa afrika haikufanywa na waarabu tu. Pili, biashara ya utumwa ni biashara ya kale sana wazungu na waarabu walianza kufanyiana biasha hii kabla hawajakuja kuifanya Afrika, hata bibilia na misahafu inaitaja biashara hii kuwa ni halali. Tatu, watawala wetu wa Kiafrika ndo waliokuwa wanauza watu wao kwa wageni kama watumwa na kupewa nguo, shanga, vioo, bunduki, visu, vikombe, n.k.

Namba 4. Mitume iko kila sehemu na ilikuwa ikitumika kufanikisha mambo ndani ya jamii husika ila mitume yetu iliitwa ya kishenzi na watawala wa kigeni. Yesu na Mohamed SAW ni watu maarufu kwa wakati wao waliotumika kutatua matatizo fulani ndani ya jamii sawa na wale waliotatua shida ya usafiri, umeme, mawasiliano, n.k. Wao walitatua shida ya ukosefu wa amani ndani ya jamii na wengine walitatua shida za maji, usafiri, mwanga, joto, umeme, n.k. Hivyo MUNGU ni kweli yupo bila kumung'unya maneno na akina Yesu, Mohamed, Mussa, Yakob, Ibrahim ni baba wa Amani duniani wanaopaswa kuheshimiwa pia sawa na akina Galileo, Estens, Boys, Archemedes, n,k
 


Umenikumbusha Mkuu,jamaa yangu mmoja wa Kibongo alitembelewa na rafiki yake kijana wa kizungu maskani akamkuta jamaa anasoma Bible.Hakika yule mzungu alishangaa sana kuona jamaa yupo bize na bible ambayo yeye mzungu anaiita novel
 
alafu haya mambo yametokea miaka 2000 na kidogo tu iliyopita. wakati dunia imekuwepo milions of years. evidence ni formation of oil and gas ambayo ni mlindikano wa masalia ya viumbe hai chini ya ardhi miaka mamilion huko. ukimleta mtu anayeamini uumbwaji wa adam na hawa mkapiga mahesabu haiwez kufika hata miaka 3000 BC. haya mambo ya kiiman yanakufanya unahamisha taaluma yako kias kwamba unaweza kukuta profesa analowa mvua pale tanganyika parkers anamsubiri gwajima amfufulie misukule au dr amekaa mahali anahubiriwa mambo ya mbinguni na ustaz aliyeishia darasa la 7. hiyo ni mifano tu
 
Mkuu kwanini Mungu wa Israel? kwanini asiwe Mungu wa watu wote? Ivi kunauhusiano kati ya Mungu na Waizrael?

Hiyo ni Lugha yenye maana pana. Kaa Muda Mrefu na Bibilia utaelewa. Wote waliompokea Mungu kwa Imani wanafananishwa na uzao wa ibrahimu ambao kupitia izrael ujumbe ulipangwa kuwafikia watu wote. Hiyo ni mipango ya Mungu. Lakini baada ya Yesu, hakuna cha muisrael wala myunini, wala yoyote. Injili ni kwa watu wote.

Uhusiano: Baada ya Mwanadamu kutenda dhambi edeni na kifo kikatangazwa kwa mara ya kwanza. Lakini Mungu aliandaa mpango wa kuwakomboa wanadamu wote watakao kubali ili Turudie katika hali ya zamani kabla ya dhambi na kumuangamiza shetani kabisa. Njia aliyoamua ni kuwa kupitia israel Mwokozi wa ulimwengu azaliwe, Ili kila atakayemuamini apate uzima ule wa milele. Ndio maana Kwa Mungu sasa hakuna cha Muisrael wana msukuma wala nani, bali ni wanaomwamini Mwokozi wa ulimwengu na waliokataa. Hata waisrael waliomkataa wataangamia wote. Muda sio mrefu huyu mwokozi atakuja na kila jicho litamuona kuwapa wote sawasawa na uchaguzi waliuchagua. kama ni uzima wa milele au upotee milele. Hakuna tukio la kiulimwengu lililobakia kutokea hadi sasa ni kuja kwa yesu tu ndio kunasubiriwa dalili zote tayari.

Kuchagua kujiunga na imani hii ya kumsubiri yesu na Kumuamini yesu ndio uchaguzi wa thamani kuliko zote ktk muda huu tunaoishi ktk ukingo wa historia ya dunia.

Acha kupoteza Muda, Mungu yupo (finite mind cannot understand fully the Infinity GOd). ukiimarika katika majibu ya mashaka yako mkuu imarisha na watu wote wanaokuzunguka.
 

Yah! Got you well jerry, i see how you are reasoning!

Umesema god ni cheo na sio jina, you can be right by your reasoning, but ukumbuke hata cheo ni sifa but sifa inaweza kuwa noun too. hope hapo ni issue ya lugha so let us skip on that.

Hapo underline. always tunaproof existence, we cant proof non existence in a sense that you cant find a thing which doesnt exist, he who allege the existence of something the burden to proof lies to him.

Also it seems umestic na imani ulionayo bila kujiuliza maswali ambayo unasema ni mpaka uwe neutral kitu ambachohisi si kizuri. But ukumbuke kuwa neutral sometimes ni bora coz hapo utakua free kuchanganua na kugain new knowledge.

Sometimes ni bora hata kusoma na imani za wengine ili kufanya critical analysis ukihusisha na imani yako. Ni mbaya sana mkuu jerry kufunga kichwa chako kutoruhusu other knowledge kuingia kichwani kwako IKIWA UKO INTERESTED KUUTAFUTA UKWELI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…