A God can be a mere theory, nothing more

A God can be a mere theory, nothing more

So basically we are supposed to believe this pineal gland thing as the absolute and final truth? That you are going to explain everything using a pineal gland??!! That these prophets magically appeared to know how to activate the pineal gland but no one else? That those places where you claim have no prophets either people don't have a pineal gland or no one whatsoever has ever been able to activate theirs.

Now that you know how to activate your pineal gland, I bet you are a new prophet of pineal gland. I mean you are accusing the prophets of the same thing you end up doing and that is you KNOW the absolute TRUTH!!!

You sound logically, tatizo nnaloliona hapa ni kwamba umekuwa blocked na imani in a sense that you ignore some truth. actually logic hiyo hiyo ukiitumia vizuri utaelewa nini namanisha hapa.

Ok. unauliza hao mitume walijuaje kuactivate hiyo pineal gland. Labda nikuulize, jee knowledge zote tunazotumia tumefundishwa na Mungu?
Na jee hutambui kunamtoto anaezaliwa anakua na kipaji chake?
Then hujasoma ktk kitabu cha imani yako kwamba ilitokea mtume/nabii babu yake alikua mtume, baba yake pia and then na yeye akazaa mtume? Jee haikutokea kipindi kimoja kukawa na mtume zaidi ya mmoja?

Then umeuliza ni mitume tu ndio waliweza kuactivate hiyo.

Ni wengi waliweza ila hakukua na njia mzuri ya kuhifadhi kumbukumbu za mababu zao. Ivi unajua kwanini mitume yote tunaambiwa imetoka middle east na si sehemu nyengine?
 
Hebu kuwa mkweli umeangalia kila dini au umeangalia uislamu na ukristo?
Mkuu soma utangulizi wa mada tu, nimeliweka wazi hilo.
Halafu manabii unaowazungumzia hawajatoka mashariki ya mbali (far east) kwa mfano, Muhammad na Yesu wametoka mashariki ya kati. Halafu mkuu wewe umefikia vipi hitimisho kuwa manabii wote wametoka mashariki ya mbali? Unajuaje hakuna manabii Afrika na Amerika?

Yaa hapo nimekosea. ni middle east na sio far east kama inavyosomeka, kuna mdau aliliongelea hilo.

Mkuu kwanini hakukuwa na manabii sehemu nyengine isipokuwa middle east ni nyinyi wenye dini hizo mbili ndio wakujibu. tumejua manabii wametoka middle east kwa sababu vitabu vyenu vimeelezea hivyo.

Sasa ikiwa kuna nabii alikuepo na hakutoka hapo middle east ni wewe wa kuprove.
 
Mashaxizo kutokuwepo kwa kitabu ndio ushahidi wako hakuwahi kuwa na mitume sehemu nyingine duniani? Labda nikuulize swali rahisi tu, Wewe unajua jina la babu yako wa kizazi cha 20 nyuma? Kama hujui au halijaandikwa mahali popote inamaanisha kuwa huyu babu yako hakuwepo?

Kila mtu aandike mababu zake kwa kitabu wewe unahisi kutakua na vitabu vingapi na kwa faida gani?

Then mfumo wa uzazi unajulikana.

Sema wewe ikiwa Mungu alipeleka Manabii sehem nyengine. Haya madini yameletwa na wakoloni kuwafanya watu wawe watiifu ili dhumuni lao litimie. Narudia tena uislamu na ukiristo ni tamaduni za watu wa middle east zisizo na mahusiano yoyote na Mungu. Mungu hawezi kuwa muongo.
 
Kwa sisi wakristo kama nilivyokueleza hapo mwanzo, imani yetu imejikita kwenye kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo, dini zilikuwepo hata kabla ya ujio wake! Imani ya kumwamini Yesu Kristo kua ni mpatanishi kati ya wanadamu na Mungu ndio chimbuko la Ukristo.

Mkuu jamaa amesema ukiristo sio dini kwa mtazamo wake.

Unaliongeleaje hilo?
 
Hivi vigezo wewe umevitoa wapi? Au unataka kujiumbia Mungu wako?

Hivyo unataka kusema Mungu hawezi kuwa na sifa zile? then ukumbuke niliweka wazi ule ni mtazamo wangu. ungetrace mjadala ungejua kwanini nimeweka zile sifa.

Labla nikuulize wewe. Ni zipi sifa za Mungu or dini ya kweli?
 
Kijana,

God is not theoretically explained..., Is something unique, special, Amazing no one can be able to lift up eyes and look at HIM, most powerful, Brave, God of gods, Creator of Universe and its contents including YOU very Little one.

Kijana zishushe akili zako, act like mtoto mdogo asiyejua chchote, kuwa na nia ya kumjua MUNGU MWENYEZI I believe that you could know him better. Once you will get to know him everything in your mind will change.

Just think about wabashiri, watafsiri ndoto, wenye maono, waganga, wachawi, wanga, wanamazingaombwe achilia mbali wachungaji...., unataka kuniambia hakuna something special, unseen, unique that some people depend to?

Ikiwa watu wanaamini kazi za shetani na kweli zipo na tunaziona basi kazi za MWENYEZI MUNGU zipo ni za kweli na tunaziona pia.

Its matter of your choice buddy to select either to believe or not, But I would like to advice you to believe on HIM.

Hayo mazingaombe na vikorombezo ulivyojumlisha hapo naamini vipo but hiyo sio sababu kwamba Mungu yupo unless unipe connection.

Then unaniambia niamini tu siku moja nitajua. Ok naomba mwongozo nimuamini Mungu yupi?
 
Miongozo imeshatolewa ikiwemo Biblia takatifu, Msaafu na Hata tamaduni nyingine za Kuabudu ukiachana na hizo nilizozitaja mwanzoni.

Kumbuka, Kwanza wewe uamue kutoka ndani ya moyo wako kutaka kumjua MWENYEZI MUNGU Muweza wa Yote,

Pili jishushe acha kujiamini kutokana na elimu duni ya kimapokeo uliyofundishwa darasani... Kubali wewe si kitu na ni kiumbe mdogo na dhaifu sana.

Tatu, wewe ndo mwamuzi wa mwisho kuchagua umwamini mungu yupi, either MUNGU MWENYEZI au mungu/miungu mingine.
 
Connection kati ya wewe na MWNYEZI MUNGU ni Imani yako kijana. Hakuna jambo jingine.
 
Hata nikijibu hilo itasaidia nini?
Does it sound unreasonable?

It is very reasonable but in research people are also interested in methods so that they can understand better the findings esp. a conclusion and be in a good position to give a critique or support it.
 
Mkuu jamaa amesema ukiristo sio dini kwa mtazamo wake.

Unaliongeleaje hilo?

Kwa mtazamo wangu mfumo au utaratibu wowote ule wenye lengo la kuwaleta watu karibu na mungu yeyote yule ni dini, huo ni mtazamo wangu binafsi.

Na hapo hapo mtazamo wangu tena kwamba hizi dini kwa upande mmoja zimechangia sana kuwapotosha watu kuhusu kumjua Mungu, ni kama vile kitu kimekaa katikati kuunganisha kati ya mtu na Mungu, sasa usahihi au ubaya wa dini utategemea sana na aliyeanzisha anauelewa gani kuhusu huyo Mungu anayemhubiri au kuwafundisha watu na kutafuta wafuasi wamwamini huyo Mungu. Ndio maana tuna matoleo mengi sana ya Mungu kutokana na mitazamo tofauti ya hao waanzilishi.

Ukristo ni dini iliyojengwa kwenye kuamini mafundisho ya Yesu Kristo.
 
Kwa sababu umejaza mawazo yanayopinga mamlaka ya Mungu, hata ukiletewa hapa majibu kwa maswali uliyouliza,itakuwa kazi bure.
Mimi ngoja nijibu moja ya maswali yako. Katika Biblia hasa kitabu cha Waefeso 4:5-7 anaposema 5 tena kuna Bwana mmoja, imani moja, ubatizo mmoja, 6Mungu mmoja ambaye ni Baba wa wote, aliye juu ya yote, katika yote na ndani ya yote. 7Lakini kila mmoja wetu amepewa neema kwa kadiri ya kipimo cha kipawa cha Kristo. Hapo red, ilitakiwa duniani mwote imani iwe moja, lakini shida ni kwamba shetani naye kupitia wakala wake aliyeanzisha imani ya uongo(imani ya kupinga Mungu), mtu huyo akiitwa Nimrod, amefanikiwa kudanganya ulimwengu kwa kiasi kikubwa.

And Cush the son of Ham, the son of Noah, took a wife in those days in his old
age, and she bare a son, and they called his name Nimrod, saying, At that time
the sons of men again began to rebel and transgress against God, and the child
grew up, and his father loved him exceedingly, for he was the son of his old age.
24. And the garments of skin which God made for Adam and his wife, when they
went out of the garden, were given to Cush.

For after the death of Adam and his wife, the garments were given to Enoch,
the son of Jared, and when Enoch was taken up to God, he gave them to
Methuselah, his son.
26. And at the death of Methuselah, Noah took them and brought them to the ark,
and they were with him until he went out of the ark.
27. And in their going out, Ham stole those garments from Noah his father, and he
took them and hid them from his brothers.

And when Ham begat his first born Cush, he gave him the garments in secret,
and they were with Cush many days.
29. And Cush also concealed them from his sons and brothers, and when Cush had begotten Nimrod, he gave him those garments through his love for him,
and Nimrod grew up, and when he was twenty years old he put on those
garments.
30. And Nimrod became strong when he put on the garments, and God gave him
might and strength, and he was a mighty hunter in the earth, yea, he was a
mighty hunter in the field, and he hunted the animals and he built altars, and he
offered upon them the animals before the Lord. Jasher 7: 23-30
 
Kijana,

Miongozo imeshatolewa ikiwemo Biblia takatifu, Msaafu na Hata tamaduni nyingine za Kuabudu ukiachana na hizo nilizozitaja mwanzoni.

Jee unamanisha dini/zote zinazomuamini Mungu/miungu ni za kweli? ikiwa jibu ni ndio, inawezekana vipi ukizingatia hayo makundi yanaamini Miungu tofauti?

Ikiwa jibu ni sio. Ni ipi dini ya kweli?
Kumbuka, Kwanza wewe uamue kutoka ndani ya moyo wako kutaka kumjua MWENYEZI MUNGU Muweza wa Yote,

Pili jishushe acha kujiamini kutokana na elimu duni ya kimapokeo uliyofundishwa darasani... Kubali wewe si kitu na ni kiumbe mdogo na dhaifu sana.
Sasa mkuu elimu ya kimapokeo ni ipi na ya kimamboleo ni ipi?
Tatu, wewe ndo mwamuzi wa mwisho kuchagua umwamini mungu yupi, either MUNGU MWENYEZI au mungu/miungu mingine.
 
It is very reasonable but in research people are also interested in methods so that they can understand better the findings esp. a conclusion and be in a good position to give a critique or support it.

If it sound reasonable, what is issue then?

Naamini ukiangalia kila hoja ktk hoja tisa hapo utagundua methodology iliyotumika. nahisi ungeongelea content mkuu.
 
Kwa mtazamo wangu mfumo au utaratibu wowote ule wenye lengo la kuwaleta watu karibu na mungu yeyote yule ni dini, huo ni mtazamo wangu binafsi.

Na hapo hapo mtazamo wangu tena kwamba hizi dini kwa upande mmoja zimechangia sana kuwapotosha watu kuhusu kumjua Mungu, ni kama vile kitu kimekaa katikati kuunganisha kati ya mtu na Mungu, sasa usahihi au ubaya wa dini utategemea sana na aliyeanzisha anauelewa gani kuhusu huyo Mungu anayemhubiri au kuwafundisha watu na kutafuta wafuasi wamwamini huyo Mungu. Ndio maana tuna matoleo mengi sana ya Mungu kutokana na mitazamo tofauti ya hao waanzilishi.

Ukristo ni dini iliyojengwa kwenye kuamini mafundisho ya Yesu Kristo.

Nimekusoma mkuu labla tumsubiri Nkwesa Makambo huenda atatoa ufafanuzi kwanini anaamini ukiristo sio dini.
 
Last edited by a moderator:
Nimekusoma mkuu labla tumsubiri Nkwesa Makambo huenda atatoa ufafanuzi kwanini anaamini ukiristo sio dini.

Dini zinakuwa na prescription juu ya matendo ya kufanya kutofanya na hukumu zake za kibinadamu. Wakristo ni wafuasi wa Mungu ambapo moral values zipo moyoni mwao zikiwashuhudia kweli na Neema ya maisha yao huku wakiwa na Uhuru wa kuamua kutenda au kutotenda ...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu soma utangulizi wa mada tu, nimeliweka wazi hilo.

Yaa hapo nimekosea. ni middle east na sio far east kama inavyosomeka, kuna mdau aliliongelea hilo.

Mkuu kwanini hakukuwa na manabii sehemu nyengine isipokuwa middle east ni nyinyi wenye dini hizo mbili ndio wakujibu. tumejua manabii wametoka middle east kwa sababu vitabu vyenu vimeelezea hivyo.

Sasa ikiwa kuna nabii alikuepo na hakutoka hapo middle east ni wewe wa kuprove.
Kwani hivyo unavyoviita vitabu vyetu kuna sehemu vimesema manabii wote wametokea mashariki ya kati? Hebu toa aya ya Qur'an inayosema mitume wote wametokea mashariki ya kati? Labda nikuulize swali wewe unatakaje labda kwa sababu shida nayoiona ni kwamba hukubaliani na maamuzi ya Mungu. Kwamba umeamua si sahihi kwa Mungu kumtuma mwarabu kwa dunia nzima au sio?
 
Kila mtu aandike mababu zake kwa kitabu wewe unahisi kutakua na vitabu vingapi na kwa faida gani?

Then mfumo wa uzazi unajulikana.

Sema wewe ikiwa Mungu alipeleka Manabii sehem nyengine. Haya madini yameletwa na wakoloni kuwafanya watu wawe watiifu ili dhumuni lao litimie. Narudia tena uislamu na ukiristo ni tamaduni za watu wa middle east zisizo na mahusiano yoyote na Mungu. Mungu hawezi kuwa muongo.
Kumbe umeanzisha mada ili kubishana!! Haya kila la heri.
 
Hivyo unataka kusema Mungu hawezi kuwa na sifa zile? then ukumbuke niliweka wazi ule ni mtazamo wangu. ungetrace mjadala ungejua kwanini nimeweka zile sifa.

Labla nikuulize wewe. Ni zipi sifa za Mungu or dini ya kweli?
The question is, hizi sifa unadhani ni nani anastahili kuzitoa? mimi na wewe? By the way kwa kuwa uko interested zaidi kubishana kuliko kujifunza I am officially done!
 
Back
Top Bottom