A God can be a mere theory, nothing more

Mweeeeeeeeeeee!!! Mume wangu kaingiliwa jamani.............kama si mtu kahack acc yako bas itakuwa laana ya yule Pastor wa JF imeanza kufanya kazi.........lol

Weee huna jeuri hiyo ya kusema ni kitu gani endelea kujifagarua tu hapa mbele ya kibod......!!!!! Na utaona dawa yako nakukodia tu......lol
Hahahahaah laana yake ilikuwa nitapoteza kitu chenye thamani.... au ndo hizi nguvu za kiume? Shemeji inabidi ufanye kazi ya ziada kabla hawajantangaza....
 
Hakyamama mi nimeona hapo tu baaasi!

Huyu Mungu wa kwenye vitabu ana masharti Mugabe anasingiziwa.

Wengine wamepewa AMRI KUMI ZA MUNGU.... Lakini pamoja na amri hizo, wakatokea sijui ndo mitume na manabii.... sijui wameonana wapi na Mungu akawatuma viamri vingine vya kibweeeeege... Basi shida tupu. Ndo kama hivi sasa Amri za Mungu mkuu hakuna sehemu aliposema usipige ulabu... sijui wakatokea wapi watu waleeeee.... sijui wanakula maharage ya wapi waleeeee.... Basi tu wakaamua kutuambia Mungu kawaambia Kilauri ni dhambi... Nyambaf zao na robo... huyo Mungu walimwona wapi mpaka akawapa maagizo mapya? Alishindwaje kuyatoa wakati anatoa amri zake? Alisahau?.... Mungu ni msahaulifu?

Damnnnnnnnnnnnnn!!

Hahahahaaaaa! Alafu mkuu nnamashaka na hawa watu walioandika bible! nahisi waliwezwa sana na wake zao thus why wakaleta ile sheria ya m'me mmoja mke mmoja. Hata hawatambui duniani w'me ni wachache na w'ke ni wengi. ivi walitaka hao ke waliobaki waolewe na nani? @verlenk naomba jibu.

Wakati huo huo wanatuambia Suleiman na Daudi walioa zaidi ya ke mia? sasa hapa sijaelewa ikiwa mitume hao ikiwa waliumbwa na gegedo zaidi ya moja!!!!! Tena kuna na skendo za uzinifu kwa baadhi ya mitume hao eg Daudi.

Also mitume hao walitafuna hata back tatu (by that time vijakazi)

Ivi everlenk mtume wa Mungu anafanyaje uzinifu?

Eve. nimekuuliza maswali mawili.
 
Last edited by a moderator:
Mbingu ni nini?
Jee Mungu wenu anaongeleaje suala la sayari nyengine na galaxies zinazotuzunguka?

Cc: Ntuzu.

Nakumbuka nimewahi kukujibu labda kwa kuwa na impaired reasoning unashindwa kupambanua jibu.
Mungu sio professor wa Quantum physics wala chochote na biblia haikuandikwa ili itumike kwenye kufundisha cosmology.
Do you believe in multiverse ?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaa! Alafu mkuu nnamashaka na hawa watu walioandika bible! nahisi waliwezwa sana na wake zao thus why wakaleta ile sheria ya m'me mmoja mke mmoja. Hata hawatambui duniani w'me ni wachache na w'ke ni wengi. ivi walitaka hao ke waliobaki waolewe na nani? @verlenk naomba jibu.

Wakati huo huo wanatuambia Suleiman na Daudi walioa zaidi ya ke mia? sasa hapa sijaelewa ikiwa mitume hao ikiwa waliumbwa na gegedo zaidi ya moja!!!!! Tena kuna na skendo za uzinifu kwa baadhi ya mitume hao eg Daudi.

Also mitume hao walitafuna hata back tatu (by that time vijakazi)

Ivi everlenk mtume wa Mungu anafanyaje uzinifu?

Eve. nimekuuliza maswali mawili.

Yaleyale nlokwambia. Amri kumi za Mungu hajakataza kuoa mke zaidi ya mmoja. Amesema tu usizini. Lakini ndo kama nlivyosema, kuna vimjamaa vilijifanya vina ushkaji na Mungu ndo wakaleta hivi visheria vyao vipya kuongezea ukali wa maisha.

Tuseme tu ukweli.... Kama tutalazimika kufuata Amri kumi za Mungu, pamoja na viamri vingine vya nyongeza... Hakuna atakayeweza kwenda mbinguni. Kwanza viamri vingine vinapingana vyenyewe kwa vyenyewe mpaka mtu unajiuliza ufuate ipi?

Mi naamini njia bora na sahihi ya kwenda mbinguni, bila kujali imani sijui ya dini/dhehebu gani..... Ni kutenda wema! Yani ni kuwa na upendo tu baaasi. Vingine vyote ni mikwala tu.

Uzuri wetu wapiga ulabu huwa hatuna maneno na watu. Unapiga ulabu wako kwa upendo unarudi kitandani kwa amani...
 
Hahahahaah laana yake ilikuwa nitapoteza kitu chenye thamani.... au ndo hizi nguvu za kiume? Shemeji inabidi ufanye kazi ya ziada kabla hawajantangaza....

Hahahahaha!!! Halafu naona wewe umekuwa kama Adam ushafanya kijiji chote cha wanaume wale wapokee laana hiyo...... Ooooh!!! Sasa sitaenda Kenya tena itabidi nifunge na kuomba kwa ajili yenu ninusuru hili jahazi.....
 
Naenda kukusemelea kwa braza....
 
Nakumbuka nimewahi kukujibu labda kwa kuwa na impaired reasoning unashindwa kupambanua jibu.
Mungu sio professor wa Quantum physics wala chochote na biblia haikuandikwa ili itumike kwenye kufundisha cosmology.
Do you believe in multiverse ?

Hahahahaaaa! sasa wewe si ulisema Mungu wenu ameumba kila kitu?

Unajua nini bible Quran na matabu mengine ya Mungu hayakuandikwa na Mungu thus why wanachemka sana kuhusu mambo ya dunia na sayari, by that time ilijulikana dunia ni flati, jua linatembembea na ule ubluu wa juu ilijulikana ni mbingu wakiamini ule ni kama uzio wakati ule ubluu unaouona ni mwisho wa upeo wa macho yako thus why ukienda popote unajiona wewe upo kati kati.

Unasa Mungu si profesa wa hayo mambo!!!! kweli? Wakati yeye ndio muumbaji wa kila kitu!!!! Au unataka kuniambia yeye kaumba dunia tu hayo mengine hakuumba? (Sayari nyengine na galaxies)
everlenk unaliongeleaje hili?
 
Last edited by a moderator:
yaleyale nlokwambia. Amri kumi za mungu hajakataza kuoa mke zaidi ya mmoja. Amesema tu usizini. Lakini ndo kama nlivyosema, kuna vimjamaa vilijifanya vina ushkaji na mungu ndo wakaleta hivi visheria vyao vipya kuongezea ukali wa maisha.

Tuseme tu ukweli.... Kama tutalazimika kufuata amri kumi za mungu, pamoja na viamri vingine vya nyongeza... Hakuna atakayeweza kwenda mbinguni. Kwanza viamri vingine vinapingana vyenyewe kwa vyenyewe mpaka mtu unajiuliza ufuate ipi?

mi naamini njia bora na sahihi ya kwenda mbinguni, bila kujali imani sijui ya dini/dhehebu gani..... Ni kutenda wema! Yani ni kuwa na upendo tu baaasi. Vingine vyote ni mikwala tu.

Uzuri wetu wapiga ulabu huwa hatuna maneno na watu. Unapiga ulabu wako kwa upendo unarudi kitandani kwa amani...
exactly.
 
Mtoa mada naweza sema wewe ni liberal thinker same as me....but utofauti wetu ni mdogo i believe on God but not Religious.Abraham lincoln once said "a man can not just look up into the sky and say there is no God" cha muhimu ni sisi kuwa upande wake also He said"My concern is not wether God is on our side but to be on God's side for he is alwayz right" kwahiyo nashaur Uamin yupo uende umkose kuliko usiamin alafu umkute...maana utalia na kusaga meno
 
Hahahahaaaa! Mkuu tupo sawa i believe on by 'Super natural power' Huyu Mungu aliendika biblia na quran ndie nnaemselea hayupo.

Mungu si muandishi na hata akiandika hawezi kujikoroga na kuonge pumba!!! teh teh teh! Waumini mniache nipumue.
 
Hahahahaaaaa! everlenk hatishwi mtu hapa. wee hapa unaongea kama mkiristo na unajiona ukosahihi kabisa, na mwengine Muislamu akiongea ya kwake anajihisi kama unavyohisi wewe tu, na wenye imani nyengine ni hivyo hivyo. sipati picha tungetawaliwa na wachina leo hii best ungekua unanipa swaga za kibudha sijui kijuda na reference kibao! mara uniambie karma. ili mradi vurugu! vulugu, vulugu, vulugu!!! Hahahahahaaaa! nimemkumbuka miss chagga.

Anyway. ni mara ya pili unasema hata wewe ulikua hivi (mean ulikua huamini na ulipenda uwe huru) hem niambie ni nini kilikufanya urudi kwenye imani ya kikristo?

Hahahhaah!! Mashaxizo nimekutisha wapi? Mimi nataka ujifunze na ndo maana sizielez hasa habari za kidini, ila wewe hutaki umeng'ang'ania yako ili ufaudu tu mautamu ya dunia bila stress za the so called God.........lol.

Shortly maana nikieleza yote tutajaza page humu na katika hali nilizozipitia utaniona muongo, kifupi nilizaliwa katika familia ya waitwao Wakristo tena Daddy wangu alikuwa Pastor(RIP Daddy) kiukweli tulilelewa maadili ya kidini haswa kila Siku jioni lazima tuwe na ibada as family ila baba alikuwa fair kiasi fulani alikuwa hatulazimishi sana ila alitutaka tuelewe zaidi hasa ule umri wa balehe tulipofikia, na ujuavyo watoto wa mapostor wanavyokuwa micharuko usiseme.

Nilifikia mahali nilitamani kuwa huru, nikaanza kujitafutia amani ya moyo kwa kuanza kupingana kuhusu Mungu,sikuona Dini iliyo sahihi katika hizi tuzijuazo ,niliona nashindwa kufaudu mautamu ya dunia nikajichanganya na dunia haswaa. Lakini kuna kipindi huko katika kujichanganya na dunia nikiwa pekeyangu mimi kama mimi sioni yeyote wa karibu nami nilipata yaliyonipata ndipo nilipojua kuna Mungu na nikaanza kuzitafuta habari zake yuko vipi,nafurahi nimezifahamu kwa kiasi chake nafurahia uwepo wake kwangu,nimepata kujua mengi sana yaliyonitatiza kabla kuhusu hayo maandiko matakatifu au wapi sijui ni sahihi na bado naendelea na darasa, siwezi sema tena hakuna Mungu na hata nikijichanganya sbb mwanadamu ni mbinafsi najichanganya at my own risk...........
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaa! Alafu mkuu nnamashaka na hawa watu walioandika bible! nahisi waliwezwa sana na wake zao thus why wakaleta ile sheria ya m'me mmoja mke mmoja. Hata hawatambui duniani w'me ni wachache na w'ke ni wengi. ivi walitaka hao ke waliobaki waolewe na nani? @verlenk naomba jibu.

Wakati huo huo wanatuambia Suleiman na Daudi walioa zaidi ya ke mia? sasa hapa sijaelewa ikiwa mitume hao ikiwa waliumbwa na gegedo zaidi ya moja!!!!! Tena kuna na skendo za uzinifu kwa baadhi ya mitume hao eg Daudi.

Also mitume hao walitafuna hata back tatu (by that time vijakazi)

Ivi everlenk mtume wa Mungu anafanyaje uzinifu?

Eve. nimekuuliza maswal mawili.

Hahahaha!! Wewe jitahidi kujenga hoja tu ili ujione uko sahihi,hii yote ni kujifariji tu ....ukiamua kujifunza utapata ukweli.......

Kwanza sisi wanadamu ndo tunaona ke ni wengi kuliko me, na hata ukiangalia hapo zamani(Bible)me ndo walikuwa wengi kuliko ke ndo maana hata walikuwa hawaesabiwi ila manabii waliona hilo la wanawake wengi ndo maana Isaya akasema akatabiri siku zaja ambapo wanawake 7 wataenda kwa mwanaume mmoja na kusema tuoe tu angalau tuitwe kwa jina lako tu.

Hakuna Ke ambaye hana me wake,kila mmoja ana wake peke yake, pia katika hao tuliopo ndoa siyo lazima kwao, Wapo wasiotaka kuolewa na kuoa,sababu ya ubinafsi wetu wanadamu(hasa nyie wanaume) tulipelekea kuona jambo hilo la Wake wengi ni sahihi, hujajiuliza kwanini isiwe wanaume wengi mke mmoja (usingizie eti me mko wengi).

Ukitafuta ukamilifu kwa mwanadamu hutaupata hata kidogo hata angekuwa ni Mtakatifu kiasi gani bado ana madhaifu yake, ndo maana Daudi katika toba yake Zaburi 51 akasema nalichukuliwa mimba hatiani, akimaanisha hata kabla hajazaliwa asili ya dhambi ilikuwepo kwake......hapa ndo Mungu anaponiacha hoi akimaanisha yeye si kama wanadamu tumfikiriavyo anasema Daudi mpendwa wangu rafiki yangu.........sisi twaona Daudi mdhambi hafai tena, kiongozi gani,Daudi mwenyewe anajiona hafai kesha mkosea Mungu wake lakini Mungu anaona Daudi ni mtumishi wake,chombo chake kitakatifu bado kifaacho kwa kazi yake anasema huyu ni rafiki yangu......kuna somo kubwa hapo.

Suleimani kama Mashaxizo katika kile kipaji cha hekima na busara aliyopewa wengi walimpenda wakaenda kutafuta hekima kwake, wake kwa waume wakajaa,halafu Biblia inatuambia alikuwa HB kweli kweli akaona ajitafutie fursa hapo ya kugegeda sana tu kwa raha zake akala mema ya nchi haswaa hadi kina malkia Bathsheba akaenda kujilengesha kwake unafikiri mchezo na Suleiman akafanya yake!!!! Basi nini hatma ya Suleiman anatuambia mambo yote ni ubatili mtupu na kujilisha upepo halafu akasema hakuna jipya chini ya jua........manake hakuna faida yoyote aliyoiona zaid ya hasara tu......
 
Last edited by a moderator:
Hapo Mwanzo Mungu aliumba Mbingu na Nchi.
Mwanzo 1:1

Huyo ndiye Mungu anayeongelewa na Wakristo labda unifundishe vigezo sahihi vya huyo Supernatural being wako.
Baada ya kuumba mbingu na nchi alifanya vituko hivi.

1. Mungu aliumba watu wawili bustani ya edeni

2. Walikuwa hawajui jema na baya

3. Akawaacha waishi na nyoka anayeongea mwenye uwezo wa kudanganya

4. Akawawekea mti wa mtego ili wakila awalaani

5. Badaye watu wakaongezaka na kutenda ambayo hayataki

6. Akawa drown wote kasoro familia moja na wanyama tu ambao aliagiza wakusanywe kutoka dunia nzima.

7. Akalichagua kabila moja randomly na kulipa exclusive right ya kuua watu wengine.

8. Aliogopa watu wanaojenga mnara wa babeli akawachanganya lugha (lakini haogopi mnara wa burj khalifa)

9. Badaye akaja mwenyewe kufa msalabani ili awaokoe watu.

10. Ameahidi kuwachoma moto milele wale wasiomkubali.

lakini usisahau huyo ni Mungu wa upendo na anakupenda sana.
 
Hahahhaah!! Mashaxizo nimekutisha wapi? Mimi nataka ujifunze na ndo maana sizielez hasa habari za kidini, ila wewe hutaki umeng'ang'ania yako ili ufaudu tu mautamu ya dunia bila stress za the so called God.........lol.

Shortly maana nikieleza yote tutajaza page humu na katika hali nilizozipitia utaniona muongo, kifupi nilizaliwa katika familia ya waitwao Wakristo tena Daddy wangu alikuwa Pastor(RIP Daddy) kiukweli tulilelewa maadili ya kidini haswa kila Siku jioni lazima tuwe na ibada as family ila baba alikuwa fair kiasi fulani alikuwa hatulazimishi sana ila alitutaka tuelewe zaidi hasa ule umri wa balehe tulipofikia, na ujuavyo watoto wa mapostor wanavyokuwa micharuko usiseme.

Nilifikia mahali nilitamani kuwa huru, nikaanza kujitafutia amani ya moyo kwa kuanza kupingana kuhusu Mungu,sikuona Dini iliyo sahihi katika hizi tuzijuazo ,niliona nashindwa kufaudu mautamu ya dunia nikajichanganya na dunia haswaa. Lakini kuna kipindi huko katika kujichanganya na dunia nikiwa pekeyangu mimi kama mimi sioni yeyote wa karibu nami nilipata yaliyonipata ndipo nilipojua kuna Mungu na nikaanza kuzitafuta habari zake yuko vipi,nafurahi nimezifahamu kwa kiasi chake nafurahia uwepo wake kwangu,nimepata kujua mengi sana yaliyonitatiza kabla kuhusu hayo maandiko matakatifu au wapi sijui ni sahihi na bado naendelea na darasa, siwezi sema tena hakuna Mungu na hata nikijichanganya sbb mwanadamu ni mbinafsi najichanganya at my own risk...........

Hahahahaaaaaa! eve we ulifanya tu manyago. na ukifanya manyago lazima ulipie, hapa nakubaliana na ile theory ya karma. sema wewe kwa uoga wako na ulivyotishwaukajua Mungu alikuadhibu but believe me imani yako ilikudhuru coz hukua na uhakika na uliyoyafanya as a result ukaamua kujikabidhisha kwa Mungu na kupata ahueni na hiyo iko wazi kwamba ulijisamehe na kusonga mbele na hicho nsicho kilichokusaidia huku wewe ukihisi Mungu amekunyoshea kidole! Stori kama hizo haziapply kwa wakiriato peke yao hali hata wanadini wengine na wasioamini dini but wenye utambuzi. Ukisoma kitabu cha 'Joseph muphy - the power of your subconscious mind' utanielewa kiurahisi hapo. You know Eve, the law of earth is a law to belief, everything that you see or experience is a result of certain belief. it is recommended that, so as to be in safe side 'believe something which is true' alieandika kitabu ni mkiristo but mle ukiristo wake aliuweka pembeni na kuongolea ukweli kama ulivyo. yaani jamaa amamwaga point kama babu yake kirikuu vile!!!! ikiwa hujakipata kitabu hiko nichek pm. Kile kitabu nikisema ni kizuri nahisi sikitendei haki!! kile kitabu ni KIZURI SANA!!! nakumbuka kilisistiza to be in safe side ktk kutafuta ukweli ni kuzingatia scientific prooves

So, hizi dini ni kudangamyana kitoto toto tu. thus why umeandika "GOD IS LOVE" Naamini kabisa kuandika "GOD IS JESUS" unajua. teh teh teh.

Afu watoto wa paster wanakuaga watam kweli!!! Uwiiiii (tasafali usisome para ya mwisho)

Afu
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha!! Wewe jitahidi kujenga hoja tu ili ujione uko sahihi,hii yote ni kujifariji tu ....ukiamua kujifunza utapata ukweli.......

Kwanza sisi wanadamu ndo tunaona ke ni wengi kuliko me, na hata ukiangalia hapo zamani(Bible)me ndo walikuwa wengi kuliko ke ndo maana hata walikuwa hawaesabiwi ila manabii waliona hilo la wanawake wengi ndo maana Isaya akasema akatabiri siku zaja ambapo wanawake 7 wataenda kwa mwanaume mmoja na kusema tuoe tu angalau tuitwe kwa jina lako tu.

Hakuna Ke ambaye hana me wake,kila mmoja ana wake peke yake, pia katika hao tuliopo ndoa siyo lazima kwao, Wapo wasiotaka kuolewa na kuoa,sababu ya ubinafsi wetu wanadamu(hasa nyie wanaume) tulipelekea kuona jambo hilo la Wake wengi ni sahihi, hujajiuliza kwanini isiwe wanaume wengi mke mmoja (usingizie eti me mko wengi).

Ukitafuta ukamilifu kwa mwanadamu hutaupata hata kidogo hata angekuwa ni Mtakatifu kiasi gani bado ana madhaifu yake, ndo maana Daudi katika toba yake Zaburi 51 akasema nalichukuliwa mimba hatiani, akimaanisha hata kabla hajazaliwa asili ya dhambi ilikuwepo kwake......hapa ndo Mungu anaponiacha hoi akimaanisha yeye si kama wanadamu tumfikiriavyo anasema Daudi mpendwa wangu rafiki yangu.........sisi twaona Daudi mdhambi hafai tena, kiongozi gani,Daudi mwenyewe anajiona hafai kesha mkosea Mungu wake lakini Mungu anaona Daudi ni mtumishi wake,chombo chake kitakatifu bado kifaacho kwa kazi yake anasema huyu ni rafiki yangu......kuna somo kubwa hapo.

Suleimani kama Mashaxizo katika kile kipaji cha hekima na busara aliyopewa wengi walimpenda wakaenda kutafuta hekima kwake, wake kwa waume wakajaa,halafu Biblia inatuambia alikuwa HB kweli kweli akaona ajitafutie fursa hapo ya kugegeda sana tu kwa raha zake akala mema ya nchi haswaa hadi kina malkia Bathsheba akaenda kujilengesha kwake unafikiri mchezo na Suleiman akafanya yake!!!! Basi nini hatma ya Suleiman anatuambia mambo yote ni ubatili mtupu na kujilisha upepo halafu akasema hakuna jipya chini ya jua........manake hakuna faida yoyote aliyoiona zaid ya hasara tu......

Hahahahaaaa! Hasara gani bhana wakati kafaudu mautamu afu analeta swaga za kututisha! wakati anafanya hakujua ni hasara?

Mbona mambo mengine yako wazi sama sema hayamatabu yanajofanya kutuchkulia poa poa sana.

ke ni wengi eve. mwanamke asietaka kuolewa anawalakini huyo! coz anajifanya hataki kuolewa but akiwashwa pichu anavua!!! sasa ndio nini.wakati kale kamchezo ndio kanaconclude ndoa. ukiacha kale kamchezo mambo yote yanaweza kufanywa na back tatu!! hata hao back tatu wa leo wajanja wajanja sana coz hutoa huduma zotee!!!! (hahahaaaa tasafali umuache back tatu wako apumue)

In nature ke hawezi kuhudumia me zaidi ya mmoja. hilo ni tofautina me unless me hao wawe na walakin!!! hope hili limeshajadiliwa sana MMU.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaaa! eve we ulifanya tu manyago. na ukifanya manyago lazima ulipie, hapa nakubaliana na ile theory ya karma. sema wewe kwa uoga wako na ulivyotishwaukajua Mungu alikuadhibu but believe me imani yako ilikudhuru coz hukua na uhakika na uliyoyafanya as a result ukaamua kujikabidhisha kwa Mungu na kupata ahueni na hiyo iko wazi kwamba ulijisamehe na kusonga mbele na hicho nsicho kilichokusaidia huku wewe ukihisi Mungu amekunyoshea kidole! Stori kama hizo haziapply kwa wakiriato peke yao hali hata wanadini wengine na wasioamini dini but wenye utambuzi. Ukisoma kitabu cha 'Joseph muphy - the power of your subconscious mind' utanielewa kiurahisi hapo. You know Eve, the law of earth is a law to belief, everything that you see or experience is a result of certain belief. it is recommended that, so as to be in safe side 'believe something which is true' alieandika kitabu ni mkiristo but mle ukiristo wake aliuweka pembeni na kuongolea ukweli kama ulivyo. yaani jamaa amamwaga point kama babu yake kirikuu vile!!!! ikiwa hujakipata kitabu hiko nichek pm. Kile kitabu nikisema ni kizuri nahisi sikitendei haki!! kile kitabu ni KIZURI SANA!!! nakumbuka kilisistiza to be in safe side ktk kutafuta ukweli ni kuzingatia scientific prooves

So, hizi dini ni kudangamyana kitoto toto tu. thus why umeandika "GOD IS LOVE" Naamini kabisa kuandika "GOD IS JESUS" unajua. teh teh teh.

Afu watoto wa paster wanakuaga watam kweli!!! Uwiiiii (tasafali usisome para ya mwisho)

Afu

Kwendraaaaaaaaaa!!!! Ushindwe na ulegee hapo hapo hahahahahha!!!

Wala hata sikufanya manyago best ,wala sikufikiria kwamba ni adhabu kwamba Mungu amenipa basi tu tuishie hapa maana utaniona muongo.

Mpaka kusema GOD is Love ina historia yake,mm siendeshwi na udini kabisaa na kuna mambo natofautiana na hao wenye dini ,ukiwa na uhusiano na Mungu wako yeye mwenyewe atakupa do na don't zake sheria zake ataziweka moyoni mwako, sababu ya ubinafsi wangu kuna wakati najivuruga at my own risk...........lol.....na wala haimaanishi hakuna Mungu...... Na wall usinihukumu eti hadi huyu anafanya hivi?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa! Hasara gani bhana wakati kafaudu mautamu afu analeta swaga za kututisha! wakati anafanya hakujua ni hasara?

Mbona mambo mengine yako wazi sama sema hayamatabu yanajofanya kutuchkulia poa poa sana.

ke ni wengi eve. mwanamke asietaka kuolewa anawalakini huyo! coz anajifanya hataki kuolewa but akiwashwa pichu anavua!!! sasa ndio nini.wakati kale kamchezo ndio kanaconclude ndoa. ukiacha kale kamchezo mambo yote yanaweza kufanywa na back tatu!! hata hao back tatu wa leo wajanja wajanja sana coz hutoa huduma zotee!!!! (hahahaaaa tasafali umuache back tatu wako apumue)

In nature ke hawezi kuhudumia me zaidi ya mmoja. hilo ni tofautina me unless me hao wawe na walakin!!! hope hili limeshajadiliwa sana MMU.

Weeeee!!! Nani kasema ke hawezi kuhudumia me zaidi ya moja? Kumbe wale wanaume wanaoenda kwa dada poa kupata huduma hiyo wana walakini eeh? Mwanamke msamaria alikuwa ana wanaume watano kwa wakati mmoja hahahahahahaha Biblia haijaacha kitu......

Wewe jivuruge tu for your own risk lakini usitafute excuses yoyote kwamba hakuna Mungu....
 
Hahahahaaaa! sasa wewe si ulisema Mungu wenu ameumba kila kitu?

Unajua nini bible Quran na matabu mengine ya Mungu hayakuandikwa na Mungu thus why wanachemka sana kuhusu mambo ya dunia na sayari, by that time ilijulikana dunia ni flati, jua linatembembea na ule ubluu wa juu ilijulikana ni mbingu wakiamini ule ni kama uzio wakati ule ubluu unaouona ni mwisho wa upeo wa macho yako thus why ukienda popote unajiona wewe upo kati kati.

Unasa Mungu si profesa wa hayo mambo!!!! kweli? Wakati yeye ndio muumbaji wa kila kitu!!!! Au unataka kuniambia yeye kaumba dunia tu hayo mengine hakuumba? (Sayari nyengine na galaxies)
everlenk unaliongeleaje hili?

Wewe jamaa utakuwa underage Kama sio kwamba umevurugwa !

Ndiyo Mungu ndiye aliyeumba kila kitu.

Biblia sio kwa ajili ya mataala wa Jografia ficha upumbavu wako.
Ukininukuu Mimi elewa wazi Mimi ni Mkristo lete hoja zako ikijua hilo. Hizo habari za mavitabu sijui na manini gani usiniwekee Mimi .

Sasa kwa ujuha wako ulita horizon ielezewe kwenye biblia ili kiwe nini ?

Wewe ni binadamu au ni msukule ?
Hapo Mwanzo Mungu aliumba Mbingu na Nchi
Mbingu haimaanishi anga pekee wala nchi haimaanishi dunia pekee.
Wewe unataka awe professor wa physics at quantum level ili uhangaike kusoma nondo zake kwenye Biblia. Hujui kufikiri na wewe sio critical thinker ndio sababu unaandika pumba hivi.

Kalale ukuwe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom