Hahahaha!! Wewe jitahidi kujenga hoja tu ili ujione uko sahihi,hii yote ni kujifariji tu ....ukiamua kujifunza utapata ukweli.......
Kwanza sisi wanadamu ndo tunaona ke ni wengi kuliko me, na hata ukiangalia hapo zamani(Bible)me ndo walikuwa wengi kuliko ke ndo maana hata walikuwa hawaesabiwi ila manabii waliona hilo la wanawake wengi ndo maana Isaya akasema akatabiri siku zaja ambapo wanawake 7 wataenda kwa mwanaume mmoja na kusema tuoe tu angalau tuitwe kwa jina lako tu.
Hakuna Ke ambaye hana me wake,kila mmoja ana wake peke yake, pia katika hao tuliopo ndoa siyo lazima kwao, Wapo wasiotaka kuolewa na kuoa,sababu ya ubinafsi wetu wanadamu(hasa nyie wanaume) tulipelekea kuona jambo hilo la Wake wengi ni sahihi, hujajiuliza kwanini isiwe wanaume wengi mke mmoja (usingizie eti me mko wengi).
Ukitafuta ukamilifu kwa mwanadamu hutaupata hata kidogo hata angekuwa ni Mtakatifu kiasi gani bado ana madhaifu yake, ndo maana Daudi katika toba yake Zaburi 51 akasema nalichukuliwa mimba hatiani, akimaanisha hata kabla hajazaliwa asili ya dhambi ilikuwepo kwake......hapa ndo Mungu anaponiacha hoi akimaanisha yeye si kama wanadamu tumfikiriavyo anasema Daudi mpendwa wangu rafiki yangu.........sisi twaona Daudi mdhambi hafai tena, kiongozi gani,Daudi mwenyewe anajiona hafai kesha mkosea Mungu wake lakini Mungu anaona Daudi ni mtumishi wake,chombo chake kitakatifu bado kifaacho kwa kazi yake anasema huyu ni rafiki yangu......kuna somo kubwa hapo.
Suleimani kama
Mashaxizo katika kile kipaji cha hekima na busara aliyopewa wengi walimpenda wakaenda kutafuta hekima kwake, wake kwa waume wakajaa,halafu Biblia inatuambia alikuwa HB kweli kweli akaona ajitafutie fursa hapo ya kugegeda sana tu kwa raha zake akala mema ya nchi haswaa hadi kina malkia Bathsheba akaenda kujilengesha kwake unafikiri mchezo na Suleiman akafanya yake!!!! Basi nini hatma ya Suleiman anatuambia mambo yote ni ubatili mtupu na kujilisha upepo halafu akasema hakuna jipya chini ya jua........manake hakuna faida yoyote aliyoiona zaid ya hasara tu......