A God can be a mere theory, nothing more

Yaleyale nlokwambia. Amri kumi za Mungu hajakataza kuoa mke zaidi ya mmoja. Amesema tu usizini. Lakini ndo kama nlivyosema, kuna vimjamaa vilijifanya vina ushkaji na Mungu ndo wakaleta hivi visheria vyao vipya kuongezea ukali wa maisha.

Tuseme tu ukweli.... Kama tutalazimika kufuata Amri kumi za Mungu, pamoja na viamri vingine vya nyongeza... Hakuna atakayeweza kwenda mbinguni. Kwanza viamri vingine vinapingana vyenyewe kwa vyenyewe mpaka mtu unajiuliza ufuate ipi?

Mi naamini njia bora na sahihi ya kwenda mbinguni, bila kujali imani sijui ya dini/dhehebu gani..... Ni kutenda wema! Yani ni kuwa na upendo tu baaasi. Vingine vyote ni mikwala tu.

Uzuri wetu wapiga ulabu huwa hatuna maneno na watu. Unapiga ulabu wako kwa upendo unarudi kitandani kwa amani...

Asprin na Mashaxizo

Nina swali moja kwenu!

Dhambi ni nini? Au dhambi ni kukosea nini?

Nawaomba mtoe majibu kwa mujibu Wa biblia!
 
Last edited by a moderator:
Wewe] jamaa utakuwa underage Kama sio kwamba umevurugwa!

Ndiyo Mungu ndiye aliyeumba kila kitu.

Biblia sio kwa ajili ya mataala wa Jografia ficha upumbavu wako.
Ukininukuu Mimi elewa wazi Mimi ni Mkristo lete hoja zako ikijua hilo. Hizo habari za mavitabu sijui na manini gani usiniwekee Mimi .

Sasa kwa ujuha wako ulita horizon ielezewe kwenye biblia ili kiwe nini ?

Wewe ni binadamu au ni msukule?
Hapo Mwanzo Mungu aliumba Mbingu na Nchi
Mbingu haimaanishi anga pekee wala nchi haimaanishi dunia pekee.
Wewe unataka awe professor wa physics at quantum level ili uhangaike kusoma nondo zake kwenye Biblia. Hujui kufikiri na wewe sio critical thinker ndio sababu unaandika pumba hivi.

Kalale ukuwe

Hahahahaaaaa! Mkuu inaonesha ukodeep sana kwenye holly bible. coz miamiati yake mingi unaijua na kuitumia vilivyo. thus why maneno yote uliandika hapo (infact humu) hakuna sehemu umeandika 'galaxies' or 'sayari' kama ktk biblia tu. teh teh teh! Embu jikumbushe neno la Jehova hapa chini huenda utapata msamiati mwengine wa kuwajibu "God haters"

6: 26 Methali. Haleluyya?
 
With impaired reasoning sitegemei chochote chenye hoja ngumu toka kwako.
Umipenda anzia Methali 6:25-27 ili upate mwanga wa mantiki ya hiyo Methali 6:26.
 
Mantiki gani bhana!!!! Nimekwambia uengezee huo msamiati. Usifanye mzaha na maneno ya Jehova wewe! Maneno matakatifu yaliotumika ktk biblia ndio maneno matakatifu unayotumia kuwajibu wadau hapa. naomba uengezee na ule msamiati.
 
Hamna kitu, ulikurupuka kuanzisha thread wakati uko empty headed madhara yake ndo hayo huwezi simamia unachokiamini, wala huwezi amini unachokisimamia umebaki unabwabwaja vile ulivyokariri ama kukaririshwa.
Amka jifunze kutafakari
 
Kimsingi mtoa mada amekurupuka..kwanza haeleweki anapinga uwepo wa mungu au anapinga namna watu wanavyomuabudu mungu..pia anawaambia watu wasali ili kufungua jicho la tatu..sasa kwani watu huwa wanasali I'll iweje...narud kumsaidia
 
Toa jibu mkuu

Mkuu wewe ndie unaeamini biblia na theoy mzima ya dhambi. hicho kitabu mimi sikiamini na wala siamini uwepo wa dhambi. kiaje unataka mimi nitolee maelezo hayo?

Maana ni sawa na mimi kuuliza uelezea kitu ambacho hukiamini na hukikubali.
Ikiwa unahoja hapo ungenipa tu mantiki ya wewe kuuliza hivyo.
 
Hamna kitu, ulikurupuka kuanzisha thread wakati uko empty headed madhara yake ndo hayo huwezi simamia unachokiamini, wala huwezi amini unachokisimamia umebaki unabwabwaja vile ulivyokariri ama kukaririshwa.
Amka jifunze kutafakari

Bwana Yesu asfiwe.
 
Kimsingi mtoa mada amekurupuka..kwanza haeleweki anapinga uwepo wa mungu au anapinga namna watu wanavyomuabudu mungu..pia anawaambia watu wasali ili kufungua jicho la tatu..sasa kwani watu huwa wanasali I'll iweje...narud kumsaidia

Naona umekuja na gia za ushkaji ili upate compan. Simama mwenyewe mtoto wa kiume. ikiwa unahoja niulize direct.

Wewe unajitoa fahamu na kuulizia kusali! unashidwa hata kuelewa maana na tofauti za kusali but ukisoma vizuri nimeandika kusali = kumaditate/ tahajudi.

Anyway. twende vile unataka. ok nimesema kusali. labda nikuulize we mgalatia. Yesu mnasema ni Mungu but mwenyewe alikua akisali. Swali: Alikuwa akimsalia nani?
 
Wote nyie mlikuwa wakristo na ndipo mlipomjuwa mungu, halafu mnakuja hapa na kujifanya kama hamkuwahi kuwa na dini.
 
Asprin na Mashaxizo

Nina swali moja kwenu!

Dhambi ni nini? Au dhambi ni kukosea nini?

Nawaomba mtoe majibu kwa mujibu Wa biblia!

Rafiki yangu Ntuzu,

Dhambi ni kosa. kwenda kinyume na ulichokiapia na kukiahidi.

Kwenda nje ya kiapo.... ni dhambi. Kwa uelewa wangu mdogo ngosha.
 
Last edited by a moderator:
Naona umekuja na gia za ushkaji ili upate compan. Simama mwenyewe mtoto wa kiume. ikiwa unahoja niulize direct.

Wewe unajitoa fahamu na kuulizia kusali! unashidwa hata kuelewa maana na tofauti za kusali but ukisoma vizuri nimeandika kusali = kumaditate/ tahajudi.

Anyway. twende vile unataka. ok nimesema kusali. labda nikuulize we mgalatia. Yesu mnasema ni Mungu but mwenyewe alikua akisali. Swali: Alikuwa akimsalia nani?

Nilikwambia kila andiko huonyesha kiwanjo chako cha juu Sana cha ujuha.
Ona unavyojianika hapa na habari usizozijua kuhusu Bwana Yesu.
Yesu Kristo kuwa Mungu hakuondolrwi na ukosefu wa uelewa wa Waislam. Kilichochema umesema ukweli kuwa wewe ni Mkana Mungu Yesu Kristo.
Yesu alikuwa Mungu 100% na binadam 100% with impaired reasoning hapa utaona kichina Tu.
 
Wote nyie mlikuwa wakristo na ndipo mlipomjuwa mungu, halafu mnakuja hapa na kujifanya kama hamkuwahi kuwa na dini.

Huwexi kuwa Mkristo then ukaamua kuwa atheist kwa kuwa Mkristo anafahamu kuwa Kristo alisisitiza Sana reasoning na sio Kukariri
Kama ukisoma mafundisho yake kupitia vitabu vya Injili utatambua kwamba hakutaka kuwa na wafuasi wanao kariri Bali wenye kufikiri na kuamini wakiona kuna sababu ya msingi iliyojengwa kwwnye ujuzi wa kile wanachokiamini. Faith with reason .
MTU anayefikiri sawa sawa akiwa Muislam ataishia ama kuwa mganga wa kienyeji au kukana uwepo wa Mungu.
 
Mkuu sijui unapinga ili iweje jambo ambalo lipo wazi kabisa!!!hao wengi walikuwa ni wakristo lakini huwa hawapendi kuzungumzia hilo jambo. Na si hao tu wapo wengine ambao wameacha kwenda kanisani ila bado hawajaanza kumkana Mungu.
 
Mtu ambaye anatoka nchi maskini ambayo haiwezi hata ku process sindano anaamini ulimwengu uko by nature..milima,mabonde ,oxgen viko by nature wakati hata kutengeneza hydrojen maabara kunaitaji effort....ila ulimwengu ni nature..effortless... reasoning 0%
 
Mkuu sijui unapinga ili iweje jambo ambalo lipo wazi kabisa!!!hao wengi walikuwa ni wakristo lakini huwa hawapendi kuzungumzia hilo jambo. Na si hao tu wapo wengine ambao wameacha kwenda kanisani ila bado hawajaanza kumkana Mungu.

Labda tatizo ni uelewa wa Mkristo ni MTU wa aina gani kwako laweza kuwa ndilo tatizo.
Nieleze wapi umeona prescription ya Mkristo kuhudhuria kanisani ?
MTU kutokwenda kanisani yaweza kuwa njia njema ya kulinda imani yake kwa Kristo kulingana na kile alicho experience kanisani. Hakuna uhusiano wa moja kwa Moja wa MTU kwenda kanisani na kuwa Mkristo kweli.
Sina hakika Kama utanielewa kutegemeana na unavyoelewa Ukristo wewe.
Nakubaliana nawe kwa sababu kuu moja, sitegemei Atheist wengi watokee nchi za Kiislam kwa kuwa utamaduni na mamlaka za nchi za Kiislam na dini inakataza watu kutafakari zaidi Sana ni kukariri sawa na maamlisho ya maandiko ya kidini.
Hilo limefanya watu wengi katika nchi ambazo dini ya Kiislam imetamalaki wabaki ni watu wenye matatizo ya kuwa na uwezo mdogo wa kuyatafakari mazingira yanayowazunguka nje ya walichoandikiwa kwenye vitabu vya dini.
Lakini ninapozungumzia Ukristo sizungumzii majina ya watu Mkuu.
 
Unaongea kihisia sana kwa kudhani kuwa na imani sana kwa unachokiamini ndiyo usahihi wa hiyo imani. Yani unachotaka kueleza ni kwamba huo wingi wa wakristo kuwa atheists ni kwa sababu hawakuwa na imani ya sana,kuna watu wanaabudu masanamu na wanaimani kubwa sana na hiyo misanamu yao.

Kuna watu wanaelimu kubwa ya dini yao ila wanaupungufu wa imani na kuna wenye imani kubwa ya dini ila wanaupungufu wa elimu ya dini yao.wakristo wanajulikana kwa imani kubwa walizonazo ila kibaya imani zao si za kumjua sana mungu. Ukristo umeshindwa kueleza kwa kina kusudio la kuumbwa binadamu na unamueleza Mungu ktk hali ambayo imefanya atheists waulize maswali mengi juu ya uwepo wa Mungu.
 
Nini unasema Mkuu. Sielewi Una maana gani kuweza kuandika "Wakristo wameshindwa kueleza kusudio la kuumbwa binadamu" naamini umeamua kuingiza utani kwenye hili !
Kama wakristo au ukristo umeshindwa kuhusu kuumbwa na sababu za kuumbwa nieleze world view unayoifahamu inayoweza kueleza sio hilo Tu Bali hata maisha baada ya haya .
Ni ukristo pekee na world view yake ndipo mwenye busara yoyote anaweza kuona maana ya "faith with reason " ukiacha imani zingine zote pamoja na atheism ambazo ni faith with no reason au blind faith.
Kama Uislam ndiyo usiseme kabisa maana uislam ni utii hakuna reasoning , hata hiyo maana ya neno lslam ni uti na palipo uti reasoning inauawa.

Kwenye Uislam ndiko kunatakiwa watu kuwa na Elimu kubwa ya dini ili kutii na Elimu kubwa katika Uislam ni kukubali kilichopo pasipo kuhoji. Kwenye Ukristo kinachohitajika ni kufikiri na kuamini au kuamini na kufikiri na hilo ndilo kuu katika mafundisho ya Bwana Yesu.
Narudia Atheist ni wengi nchi unaxoziona za kikristo kwa kuwa Ukristo unataka MTU awe huru kufikiri tofauti na uislam ambapo kufikiri ni dhambi ya mauti.
Freedom of thinking and expression unapatikana palipo na ukristo na sio palipo uislam.
 
Back
Top Bottom