A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

I can't wait for the time when AI is everywhere. Trust me, it'll be romantic kama nyama choma ukishushia na bia 🍖🍖🍖+🍻!.

Imagine that, mwaka 2065, AI ziko busy zinasaidia kuendesha nchi (AI-assisted government). Tume ya uchaguzi imeruhusu AI zipige kura kwa niaba ya wamiliki wa hizo AI, rushwa inapungua kwa kasi, mismanagement zinapungua. Ndani ya miaka kadhaa raia wanaziamini AI wanaziruhusu zimshauri rais juu ya masuala ya uchumi, kijeshi n.k kwa hiyo imagine kuna bunge la AIs! Mikataba inajadiliwa na kusainiwa na AIs trained on diplomatic data sets.

Imagine you are a woman in search of romance in this new world. Unasema, “Danga,” and your Soulband glows; the personal AI assistant embedded on the band begins to work. The night before, your empathetic AI ilikutafutia possible madanga matatu. Sasa Soulband yako inakuonesha hi-def hologram ya kila danga... hmmm wote wanaonekana ni madanga ya ukweli! Lakini AI anakuchagulia danga No. 2, a chipsi mayai-loving marioo with a baby face. Yes, you say, and the AI goes off to meet the man’s avatar to decide on a restaurant and time for your real-life meeting. Perhaps your AI will also mention what kind of flowers you like, for future reference.

After years of experience, unagundua AI anaweza kuchagua danga vizuri zaidi kuliko wewe. It predicted you’d be happier if you divorced your husband, which turned out to be true.

I can't wait.😜
 
Tony-stark,
Kwakweli upande wangu sikumpenda Edith.. mimi namkubali Friday na sauti yake ile by kerry kondon
Mwanzo nilikua najua Jarvis na friday ni watu wamekaa sehemu kwenye stark industries. . Ndio nikawa najiuliza baada ya infinity war friday hakufa..?
 
Frankenstein,
Niliwahi kusikia kuwa wana mpango wa kutengeneza Kompyuta inayokua, yaani processor yake iwe na uwezo wa kujiongeza ujuzi yenyewe mithili ya akili au ubongo wa mwanadamu, je mpango huu ulifikia wapi?
 
Bandiko ni zuri, ila sijalimaliza baada ya kukutana na neno "siraha" badala ya neno "silaha" Bandiko ni zuri, ila sijalimaliza baada ya kukutana na neno "siraha" badala ya neno "silaha"
 
Bandiko ni zuri, ila sijalimaliza baada ya kukutana na neno "siraha" badala ya neno "silaha" Bandiko ni zuri, ila sijalimaliza baada ya kukutana na neno "siraha" badala ya neno "silaha"
Wee jamaa vipi wewe.. mimi nimeathiriwa na lugha ya kabila langu..tunatumia ara zaidi hadi kwenye elo.
 
Back
Top Bottom