Hizi zote ni conspiracy... hakuna alie na uhakika na kupotea kwa hao watu au Lissu kupigwa risasi. Dereva wa Lissu mpaka leo Chadema wamemficha. Lakini hamuulizi kwanini anafichwa ana siri gani? Wanasiasa wamewalazimisha muamini ni magufuli anahusika. Anyway time will tell
Sent from my SM-A730F using
JamiiForums mobile app