A living legend: Bado namuomboleza Hayati Magufuli, Shujaa wa Afrika

Nna swali ningependa nipate elimu juu ya hili.. Ili uwe shujaa wa bara lolote duniani lazima uwe kuna jambo la manufaa au ukombozi umelifanyia bara husika. Je ili nami nisiejua kitu na ili nijue nihabarishe, kalifanyia nn bara la Africa mpaka akapewa tunu ya shujaa! Ahsnt
 
Alikuwa ni masieh aliyekuja kukamilisha yale yalioonekana hayawwzekani tena na yametushinda kisha aondoke. Namfananisha na manabii wote, kuwepo kwao kulikuwa na sababu na ikiisha kamilika wote waliondoka iwe mapema ama kwa muda mrefu.

Tizama kuhamia Dodoma kumengoja 40 yrs

Bwawa la Nyerere 40yrs

Hospital ya Mara ilikwama toka enzi za Nyerere ila JPM aliijenga kwa mwaka 1

MV Bkb ilizama tokea 1996 na kukaa miaka 25 pasipo kuwa na usafiri hadi alipokuja masieh huyu ndani ya miaka 2 kakarabati Victoria na mpya inaelekea kuisha.

Kule Arusha treni ilisimama zaidi ya miaka 25 lakini mwamba huyu ndani ya miaka 2 aliwarudishia wachagga wanyonge Furaha zao.

Duniani kuna watu waliletwa kufanya yale yaliyoonekana yameshindikana na hayawezekaniki tena na ndo ujio wa JPM. Tutapoteza muda mwingi kujilinganisha ni kwasababu ya kudharauliana tu japo ukweli ni kwamba watu wanazaliwa hivyo na karama zao. Hata mkitaka kumtukana matusi ya nguoni, huyu bwana kazi yake aliimaliza na daima udongo na ardhi ya Tz itaenzi kazi za mtu huyu, mimi na wewe tupo tu tunapiga maneno ila hiatoria yake itaenziwa.

Wajerumani wana A. Hilter na wachina wana Mao, hawa watu watakuwa wanasemwa kwa mengi ila nchi na vizazi vya wakati wao wanasimulia ni nini ilikuwa kazi yao kwa maendeleo ya sasa ya mataifa yao
 
sasa mbona bado unaishi kama shetani tu!!!

kushindwa kubaya kwa umasikini binafsi ni kuamini kuna mtu anakusababishia.

mind you utakuganda huo mpaka unuke nao.
Hahahaha mimi ni maskini? Hahahaaaa haya asante
 



The so-called Prof Assad alijitumbua mwenyewe. Ile ripoti ilikuwa seconded na the then president Magufuli. Akaambiwa waichambue in and out kwa kuwapatia semina viongozi husika. Yeye akaelewa kuwa alitakiwa kwenda kuitukania nchi yetu huko USA. Hakuna mtu mwenye busara ambaye angemvumilia hata kidogo.
 


They don't understand this. They only thing they may I agree with you ni palee ukiwaambia kuna deals za kukwepua pesa za umma. Pathetic!!!
 
Kama wewe humtambui basi siwezi kukulazimisha kama katika yote alofanya hakuna uliloona nitakuaminishaje sasa..!
 
shetani yule, kaumiza watu wengi sana,
angekua shetani asingewachukia mafisadi, wauza unga wapiga madili bali angewafanya marafiki na kuendeleza ushetani huo.

wasichokijua waliotekeleza mauaji ya magufuli wamejenga kisasi cha kudumu katika mioyo ya watanzania wengi na ipo siku kisasi hiki kitawagharimu sana.
 
Limejiua lenyewe, ww una maradhi ya moyo, then Bado huchukui tahadhali unategemea kinga za waganga wa jadi
 
Lilijifia lenyewe huko tu wala hakuna shida. Kwani yeye ni nani? Huyo mpumbavu mwenzio hapo juu anataka neno tanzia liwepo tu kila siku. Mwambie kuna maisha mengine baada ya Tanzia
 
Hata mwenda zake kule twita kwa wenye akili alikuwa anatukanwa sana kwenye twiti zake. Huko insta ni kwa ma choko wa sukuma gang na FB ni kwa watoto so usishangae. Tz tuna amani baada ya lile dubuwasha kwenda zake asee
 
Nani achunguze wakati aliyerithi kiti chake anachekelea?

Aliyerithi kiti chake anajitahidi kuua legacy ya Magufuri utafikiri yeye hakuwa sehemu ya hiyo serikali?
Aliyerithi kiti chake anamwacha Magufuri anatukanwa utafakari hakumpendekeza kuwa makamu wa Rais?
Aliyerithi kiti chake anawafukuza akina Bashiru harakaharaka kama vile hawajawahi kufanya mema katika utendaji wake?

Kwa kazi aliyofanya Magufuri nchi, sikutegemea Samia angeanza kufumua serikali ya awamu ya 5 hata kabla ya siku 21 za maombolezo kuisha!

Kama ni kweli wamefanya kitu kibaya kwenye mwili wa Magufuri,ili kutukomoa watanzania, Mungu wetu atatufuta machozi
La sivyo mapenzi yake Mungu yatimie
 
Amina. Kama kuna uhusika wa watu. Basi kitokee kitu kuwawajibisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…