A living legend: Bado namuomboleza Hayati Magufuli, Shujaa wa Afrika

Kama wewe humtambui basi siwezi kukulazimisha kama katika yote alofanya hakuna uliloona nitakuaminishaje sasa..!
Ndugu acha majibu ya ujanja ujanja, mimi nimeuliza na swal liko open kbs unapaswa unielimishe juu ya unachokipigania kweny bandiko lako. Hiyo tafiti umetoa wap juu ya mtu kua shujaa kuamua tu.
 
Kila mara nikikaa kuwaza au kufikiria juu ya Magufuli roho inaniuma sana. Nawaza hivi kwanini watu wema ndio huwa wanatangulia kuliko waovu.

Hayati Magufuli alijitahidi kutuonesha njia sisi Watanzania kuwa tuna nchi ya aina gani.

Aliweza kuongea kwa ujasiri juu ya vile Tanzania imebarikiwa. Lakini hilo wasioitakia mema nchi yetu halikuwapendeza kwa kuwa alizuia maslahi yao yaliyopatikana kwa njia haramu.

Watu wengi walijitokeza kumpinga lakini yeye hilo halikumkatisha tamaa; alizidi kuitumikia nchi yake Tanzania kwa uzalendo wote mpaka pale walipofanikisha adhma yake. Leo wanatamba. Eti legacy ijitetee.

Ukitazama mazingira ya kifo chake kwa kweli sio siri yanasikitisha. Ni kama vile kuna kitu nyuma yake ambayo ilikuwa a long plan ambayo ilihusisha kupoteza roho za watu wengi wasio hatia ili kutimiza lengo lao ionekana ni normal case but i think is not okay.

But I believe kama ni mipango ya watu walitakalo halitafanikiwa.

Tazama: Inafikirisha sana tangu afariki Magufuli Matangazo ya Tanzia yamekwisha, is this a coincidence au? Au planned to justify someone death?

Hapana waliohusika it's better watafutwe haiwezekani wao ndio wawe wanatuamulia nchi iweje!

Narudia tena haiwezekani, Tanzia Tanzia Tanzia, then kimya ina maana ile Corona iliokuwa ikiua viongozi sasa imekwisha au tuingoje hata lini? There is something fish planned and not a coincidence. Sure.

I'll always remember Hayati JPM.

I'm ready kupopolewa na Ufipa.

Muwe na usiku mwema.
Unapoteza muda kumlilia muuaji.
 
Ndugu acha majibu ya ujanja ujanja, mimi nimeuliza na swal liko open kbs unapaswa unielimishe juu ya unachokipigania kweny bandiko lako. Hiyo tafiti umetoa wap juu ya mtu kua shujaa kuamua tu.
Sasa unadhani hata nikikueleza utanielewa..! Sidhani bora nichill
 
Magufuli amenifanya kuamini kuwa, umaskini wa nchi zetu hizi, ni wa kujitakia!! Ni ushenzi wa viongozi wazembe wasioweza kusimamia rasilimali zetu ndio wanazifanya nchi zetu ziendelee kuwa Masikini na kudhalauliwa na mabeberu
 
ProMagufuli hebu nikupe ushauri mdog wa bure kabisa. Kubali kwamba JPM yuko amekufa na amezikwa futi 6 chini ya ardhi. Hatarudi tena. Kama unataka kendelea kumuomboleza - ruksa. Kwa sisi wengine maisha yanaendelea kama vile sayari dunia inavyozunguka. Tumefungua ukurasa mpya na tunaendelea na Rais Samia. Period!
i 6 chiniKwanini huamini kwenye kile unachokisema? Jenga hoja acha kijihami, tafuta kuna Uzi wa MATAGA humu unaeleza kuwa Magufuli alikiri Mara kadhaa kuwa ni mgonjwa!

Nakushauri watafutie wanao ugali, Magufuli tulimpenda ila ameshapumzika, maisha lazima yaendelee na Mungu akutie nguvu utoke kwenye hii denial.
 
Sasa unadhani hata nikikueleza utanielewa..! Sidhani bora nichill
Mzee mimi nna akil timamu kbs, tafadhali toa sababu za msingi juu ya ushujaa then uone ntaelewa au la. Otherwise umeandika usichokijua na hii kitu ni mbaya sana kuleta hoja bila kujua jinsi ya kuitetea hoja yako. Think about it
 
Kila mara nikikaa kuwaza au kufikiria juu ya Magufuli roho inaniuma sana. Nawaza hivi kwanini watu wema ndio huwa wanatangulia kuliko waovu.

Hayati Magufuli alijitahidi kutuonesha njia sisi Watanzania kuwa tuna nchi ya aina gani.

Aliweza kuongea kwa ujasiri juu ya vile Tanzania imebarikiwa. Lakini hilo wasioitakia mema nchi yetu halikuwapendeza kwa kuwa alizuia maslahi yao yaliyopatikana kwa njia haramu.

Watu wengi walijitokeza kumpinga lakini yeye hilo halikumkatisha tamaa; alizidi kuitumikia nchi yake Tanzania kwa uzalendo wote mpaka pale walipofanikisha adhma yake. Leo wanatamba. Eti legacy ijitetee.

Ukitazama mazingira ya kifo chake kwa kweli sio siri yanasikitisha. Ni kama vile kuna kitu nyuma yake ambayo ilikuwa a long plan ambayo ilihusisha kupoteza roho za watu wengi wasio hatia ili kutimiza lengo lao ionekana ni normal case but i think is not okay.

But I believe kama ni mipango ya watu walitakalo halitafanikiwa.

Tazama: Inafikirisha sana tangu afariki Magufuli Matangazo ya Tanzia yamekwisha, is this a coincidence au? Au planned to justify someone death?

Hapana waliohusika it's better watafutwe haiwezekani wao ndio wawe wanatuamulia nchi iweje!

Narudia tena haiwezekani, Tanzia Tanzia Tanzia, then kimya ina maana ile Corona iliokuwa ikiua viongozi sasa imekwisha au tuingoje hata lini? There is something fish planned and not a coincidence. Sure.

I'll always remember Hayati JPM.

I'm ready kupopolewa na Ufipa.

Muwe na usiku mwema.
Nadhani ili kumaliza kiu yako nenda Chato kalale kwenye kaburi lake angalau kwa siku 40

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Wewe nae ni Prof??

Duh kweli huo wadhifa umechezewa sana awamu hii ndio maana maprof walimkabidhi jiwe akili zao
 
The so-called Prof Assad alijitumbua mwenyewe. Ile ripoti ilikuwa seconded na the then president Magufuli. Akaambiwa waichambue in and out kwa kuwapatia semina viongozi husika. Yeye akaelewa kuwa alitakiwa kwenda kuitukania nchi yetu huko USA. Hakuna mtu mwenye busara ambaye angemvumilia hata kidogo.
Ujinga mtupu ulio andika hapa na unaonekaka hujui hata ni kwa namna gani mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serikali anavyo fanya kazi mtu wenu hakuwa masafi na kwa kulijua hilo akajificha kwenye mgongo wa kuita watu wanyonge
 
Nadhani ili kumaliza kiu yako nenda Chato kalale kwenye kaburi lake angalau kwa siku 40

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
Dr Magufuli stands out in his humility and self-deprecation. He shuns wealth, and fame. In a country where thieves are celebrated, and murderers elevated — Dr Magufuli is the one public servant who forsook worldly possessions. Mark 8:38 asks: “For what shall it profit a man, if he shall gain the whole world and lose his own soul?” Methinks the author in the good book must have had Dr Magufuli in mind.

The simplicity of this Societal and moral giant is the one thing that remains an enigma to me and many. He always roots for the little guy. He abhors hierarchy and disdains flamboyance,he’s ruthlessly self-critical, and accepts the harshest critiques of himself. He always puts himself last. He’s a rare breed.

Folks should know that Dr Magufuli didn’t want to become President. He laughed off the idea when it was first suggested to him. He was dead serious. And even after he was convinced to put his name to apply for the job, he almost backed out.
 
Kila mara nikikaa kuwaza au kufikiria juu ya Magufuli roho inaniuma sana. Nawaza hivi kwanini watu wema ndio huwa wanatangulia kuliko waovu.

Hayati Magufuli alijitahidi kutuonesha njia sisi Watanzania kuwa tuna nchi ya aina gani.

Aliweza kuongea kwa ujasiri juu ya vile Tanzania imebarikiwa. Lakini hilo wasioitakia mema nchi yetu halikuwapendeza kwa kuwa alizuia maslahi yao yaliyopatikana kwa njia haramu.

Watu wengi walijitokeza kumpinga lakini yeye hilo halikumkatisha tamaa; alizidi kuitumikia nchi yake Tanzania kwa uzalendo wote mpaka pale walipofanikisha adhma yake. Leo wanatamba. Eti legacy ijitetee.

Ukitazama mazingira ya kifo chake kwa kweli sio siri yanasikitisha. Ni kama vile kuna kitu nyuma yake ambayo ilikuwa a long plan ambayo ilihusisha kupoteza roho za watu wengi wasio hatia ili kutimiza lengo lao ionekana ni normal case but i think is not okay.

But I believe kama ni mipango ya watu walitakalo halitafanikiwa.

Tazama: Inafikirisha sana tangu afariki Magufuli Matangazo ya Tanzia yamekwisha, is this a coincidence au? Au planned to justify someone death?

Hapana waliohusika it's better watafutwe haiwezekani wao ndio wawe wanatuamulia nchi iweje!

Narudia tena haiwezekani, Tanzia Tanzia Tanzia, then kimya ina maana ile Corona iliokuwa ikiua viongozi sasa imekwisha au tuingoje hata lini? There is something fish planned and not a coincidence. Sure.

I'll always remember Hayati JPM.

I'm ready kupopolewa na Ufipa.

Muwe na usiku mwema.
Ahahahaaaa [emoji16][emoji23][emoji1787]. Endelea. Mama Janet mwenyewe keshajiendea Dsm, we endelea kuomboleza .

Yeye mwenyewe alikuwa muumini wasirini na wasiojulikana . Halafu unataka kifo chake kiwekwe wazi ?!. Hatorudi zoea.

Mwisho siku huyo nchi ilikuwa imemharibikia . Ilimharibikia Nyerere sembuse na Maghufuli ! ProMagufuli
 
Time will tell, nimeshajiapiza moyoni mwangu, endapo itajulikana wazi kabisa alomuua rais wangu. Basi mimi binafsi kwa juhudi zangu binafsi na kwa njia yoyote ile uchawi, ama hadharani, lazima nimuue.

Mimi sio mchawi ila nitautafuta kwa gharama yoyote popote hapa duniani ili niue ikiwezekana kwa mkono wangu mwenyewe.
Waulize waChina wa Wuhan ni kwanini waliviachia !!
 
Time will tell, nimeshajiapiza moyoni mwangu, endapo itajulikana wazi kabisa alomuua rais wangu. Basi mimi binafsi kwa juhudi zangu binafsi na kwa njia yoyote ile uchawi, ama hadharani, lazima nimuue.

Mimi sio mchawi ila nitautafuta kwa gharama yoyote popote hapa duniani ili niue ikiwezekana kwa mkono wangu mwenyewe.
Aliomuua ni ujinga wa kuona nyungu inazuia na kuponya corona. Pambana umuue ujinga kama ule aliokuwa nao marehemu
 
Habari

Inasikitisha sana ukifuatilia page na post mbalimbali za Chadema wanavyotukanwa kwenye comments na wachangiaji.

Kuna group linaitwa Chadema in blood kule facebook yani kila wanachopost ni kutukanwa tu na watu, huko instagram ndiyo balaa kabisa, njoo Jamii forum hali ni hiyo hiyo!

Nimeangalia comments za kwenye hotuba ya Mbowe aliyoitoa akisema vibaya utawala wa hayati Magufuli, kwa kweli ni huzuni raia walivyomtukana Mbowe. Swali la kujiuliza Chadema imefikaje huku?

Enzi za Dr Slaa ulikuwa unavaa gwanda la Chadema kwa maringo yote, leo tuvae kwa aibu ya kujifichaficha?

Je, Tundu Lisu ameharibu image ya chama baada ya kuanza kutetea mabeberu?

Je, ni Mbowe ameharibu image ya chama baada ya kuwa anaangushwa na konyagi anasingizia amepigwa na wasiojulikana? au ule uongo wake wa kuibia familia inapompeleka mahakamani anasingizia amefungiwa akaunti zake na serikali?

Kiukweli inahitajika tathimini ya haraka sana kuikoa na kuirudisha Chadema kwa wananchi ili waiamini tena kama zamani.
Pole sana,
Utenzi huu unafaa sana kwenye kukusaidia kupata usingizi unaozidi kukukimbia ilhali umri wako u mdogo kabisa.
Ukweli u wazi kuwa, wale waliojaribu kutambia niaovu zao za kuiua CHADEMA sasa hivi wako juu ya mawe.
Wapo ambao wanaendela kuishi wakitia huruma; kama mmoja wa watunzi wa kelele hizo, Mzee Wasira wa Bunda.
Lakini pia wapo ambao wamekwisha enda zao kama yule aliyekuwa anajiandalia kwenda kuongoza malaika, lakini tabia/matendo hovyo aliyoyaonyesha hapa duniani, labda watakuwa wa kule kwa shetani.
Hayo 'matusi' unayodai wanaandamwa 'wapinzani', yaonekana ni yale ambayo unayatamani na kuyaotea ndoto kuyasikia.
Katika hali hiyo nadhani sio mbaya ukiuendelea kujiliwaza, kwani yaweza kuja kukusaidia kurekebisha afya yako katika kipindi kirefu kijacho cha kuishi bila mungu wa Burigi.
 
Kila mara nikikaa kuwaza au kufikiria juu ya Magufuli roho inaniuma sana. Nawaza hivi kwanini watu wema ndio huwa wanatangulia kuliko waovu.

Hayati Magufuli alijitahidi kutuonesha njia sisi Watanzania kuwa tuna nchi ya aina gani.

Aliweza kuongea kwa ujasiri juu ya vile Tanzania imebarikiwa. Lakini hilo wasioitakia mema nchi yetu halikuwapendeza kwa kuwa alizuia maslahi yao yaliyopatikana kwa njia haramu.

Watu wengi walijitokeza kumpinga lakini yeye hilo halikumkatisha tamaa; alizidi kuitumikia nchi yake Tanzania kwa uzalendo wote mpaka pale walipofanikisha adhma yake. Leo wanatamba. Eti legacy ijitetee.

Ukitazama mazingira ya kifo chake kwa kweli sio siri yanasikitisha. Ni kama vile kuna kitu nyuma yake ambayo ilikuwa a long plan ambayo ilihusisha kupoteza roho za watu wengi wasio hatia ili kutimiza lengo lao ionekana ni normal case but i think is not okay.

But I believe kama ni mipango ya watu walitakalo halitafanikiwa.

Tazama: Inafikirisha sana tangu afariki Magufuli Matangazo ya Tanzia yamekwisha, is this a coincidence au? Au planned to justify someone death?

Hapana waliohusika it's better watafutwe haiwezekani wao ndio wawe wanatuamulia nchi iweje!

Narudia tena haiwezekani, Tanzia Tanzia Tanzia, then kimya ina maana ile Corona iliokuwa ikiua viongozi sasa imekwisha au tuingoje hata lini? There is something fish planned and not a coincidence. Sure.

I'll always remember Hayati JPM.

I'm ready kupopolewa na Ufipa.

Muwe na usiku mwema.
Umefanya la maana kujiweka tayari, maana kwa ugoro uliouweka hapa, kwa mwenye akili timifu lazima akutwange
 
Back
Top Bottom