Kha! bado mnamtetea huyu hitler wa Africa!Watu walikuwa wanaokotwa kwenye viroba tangu enzi za kikwete,usiongope!
Juzi tu hapa tumemuokota ndugu yetu kwenye kiroba,kakatwa na mapanga,alikuwa ni dereva na hakuibiwa chochote huko kitunda,naye utasema ni magufuli?!!
Aliyetudanganya yeye ni Mpenzi wa mungu huku akiua na kutokomeza watoto wa watu! tumbo limepasuka juzi na mafunza wengi wanafaidi.shame on u...wakristo hawana mbegu dizain yako probably uliokokea kilabuni.
🤣 🤣 🤣Kila mara nikikaa kuwaza au kufikiria juu ya Magufuli roho inaniuma sana. Nawaza hivi kwanini watu wema ndio huwa wanatangulia kuliko waovu.
Hayati Magufuli alijitahidi kutuonesha njia sisi Watanzania kuwa tuna nchi ya aina gani.
Aliweza kuongea kwa ujasiri juu ya vile Tanzania imebarikiwa. Lakini hilo wasioitakia mema nchi yetu halikuwapendeza kwa kuwa alizuia maslahi yao yaliyopatikana kwa njia haramu.
Watu wengi walijitokeza kumpinga lakini yeye hilo halikumkatisha tamaa; alizidi kuitumikia nchi yake Tanzania kwa uzalendo wote mpaka pale walipofanikisha adhma yake. Leo wanatamba. Eti legacy ijitetee.
Ukitazama mazingira ya kifo chake kwa kweli sio siri yanasikitisha. Ni kama vile kuna kitu nyuma yake ambayo ilikuwa a long plan ambayo ilihusisha kupoteza roho za watu wengi wasio hatia ili kutimiza lengo lao ionekana ni normal case but i think is not okay.
But I believe kama ni mipango ya watu walitakalo halitafanikiwa.
Tazama: Inafikirisha sana tangu afariki Magufuli Matangazo ya Tanzia yamekwisha, is this a coincidence au? Au planned to justify someone death?
Hapana waliohusika it's better watafutwe haiwezekani wao ndio wawe wanatuamulia nchi iweje!
Narudia tena haiwezekani, Tanzia Tanzia Tanzia, then kimya ina maana ile Corona iliokuwa ikiua viongozi sasa imekwisha au tuingoje hata lini? There is something fish planned and not a coincidence. Sure.
I'll always remember Hayati JPM.
I'm ready kupopolewa na Ufipa.
Muwe na usiku mwema.
The best ever so far! Patriotic and statesman!Magufuli was the best president of our times.
ProMagufuliKila mara nikikaa kuwaza au kufikiria juu ya Magufuli roho inaniuma sana. Nawaza hivi kwanini watu wema ndio huwa wanatangulia kuliko waovu.
Hayati Magufuli alijitahidi kutuonesha njia sisi Watanzania kuwa tuna nchi ya aina gani.
Aliweza kuongea kwa ujasiri juu ya vile Tanzania imebarikiwa. Lakini hilo wasioitakia mema nchi yetu halikuwapendeza kwa kuwa alizuia maslahi yao yaliyopatikana kwa njia haramu.
Watu wengi walijitokeza kumpinga lakini yeye hilo halikumkatisha tamaa; alizidi kuitumikia nchi yake Tanzania kwa uzalendo wote mpaka pale walipofanikisha adhma yake. Leo wanatamba. Eti legacy ijitetee.
Ukitazama mazingira ya kifo chake kwa kweli sio siri yanasikitisha. Ni kama vile kuna kitu nyuma yake ambayo ilikuwa a long plan ambayo ilihusisha kupoteza roho za watu wengi wasio hatia ili kutimiza lengo lao ionekana ni normal case but i think is not okay.
But I believe kama ni mipango ya watu walitakalo halitafanikiwa.
Tazama: Inafikirisha sana tangu afariki Magufuli Matangazo ya Tanzia yamekwisha, is this a coincidence au? Au planned to justify someone death?
Hapana waliohusika it's better watafutwe haiwezekani wao ndio wawe wanatuamulia nchi iweje!
Narudia tena haiwezekani, Tanzia Tanzia Tanzia, then kimya ina maana ile Corona iliokuwa ikiua viongozi sasa imekwisha au tuingoje hata lini? There is something fish planned and not a coincidence. Sure.
I'll always remember Hayati JPM.
I'm ready kupopolewa na Ufipa.
Muwe na usiku mwema.
Thank you!Tread softly, okay!??? We loved him so much, but the bitter truth is, he is no more. You can choose to live in unforgiving bitterness ama you can choose to move on ^positive-mindednessly.^ The best way to honor his legacy is to emulate his profound spirit of unassuming patriotism, deep & real love for his people, efficient and productive hardwork and creative leadership style.
I love the way he went his way while we still needed him the most. Sounds confusing, yeah!??? Not really!!! In my opinion, the seemingly brief moment has witnessed enormous breakthroughs so much so that individuals of goodwill cannot help but ponder and wonder. He has delivered his best. In the language of a common man, ^Magufuli ametufumbua macho; tumeyajua mengi sana yaliyokuwa yamejificha.^
It is as though the good angels alerted him from the outset of his regime, that he had no time to lose. He worked with dispatch. He worked day in and day out, spending sleepless nights dreaming, as it were, and planning as best as he could for the welbeing, sustainable development & future prosperity of his country and people. He has shed an amazing light never again to be extinguished. The path he trode & traced can never be erased.
Even his vicious enemies know very well that he was an exceptional figure -- not only that he knew what his people needed the most, but he had all it takes to get them there in order to realize their long-delayed desires. He led by example. Nothing, in his opinion, should be allowed to hamper this singular goal. Though very humble, he was tough & undaunted. Though generous, he very well understood mathematics of economization. He was also charismatic, affable, widely loved and lovable. He loved and feared God, too.
He always found opportunity to talk to and with his people in the manner with which close, familiar and mutually respecting friends and companions would usually address each other. He listened to them. He heard their problems and even solved most of them on the very spot. He would jokingly but seriously tell his eager and cheering crowds, ^Ndugu zangu, mambo mengine siyo ya kungoja; tunayamaliza hapahapa. Au nasema uongo ndugu zangu?^ No wonder his successor President Samia has it as her slogan, ^Zege halilali!^
He hired and fired the way a real responsible boss & manager would normally do, or more acurrately, would be expected to do. He took orders from no one. He paid no attention to detractors. Never even once was he cowed into submission nor compliance by selfish imperialists, self-designated super- and hyper-powers of the world, nor their cartels and all their comprehensive channels of exploitation. He fought them like hell left, right, center. And he won!
Sometimes when the goings seemed to get tough and rough, he would eloquently reassure his subjects, ^Jamani, eti na madudu haya nisiyaseme? Kwa kumwogopa nani? Sasa nilichaguliwa ili niwe Rais wa nini? Si afadhali nife lakini ukweli nimeusema?^ He was the true definition of man of, for and by the people. Those who call him the true Son of Africa are clearly unmistaken. He was a Pan-Africanist, the incarnate and embodiment of late Mwalimu Nyerere.
When PLO was asked why he thinks Magufuli ranks as one of the best presidents, the famous law professor replied solidly: ^Magufuli had a clarity of vision that was underpinned by true patriotism. One thing among many that he has taught us is that it matters the most who is at the top -- leadership matters and Magufuli was its doctor. All African leaders should take a benchmarking tour under the tutorship of John Magufuli in order yo learn the finer points of governance.^
That makes me even happier than almost all sadness combined. I would rather honor his glimmering legacy by emulating his much-coveted rare spirit, rather than wailing in an unfathomable, never-ending, fruitless uncertainty.
Everything works together for good...As its written in scripture, let God remain sovereign; He has all answers for the whys. He knows best why He called him home as early as he could and at the moment we all never expected...Perhaps him Magufuli had enough of it and was about to dispair and would have spoiled all the goodness he has done for and to our country and the world at large...God's wisdom is always foolishness to those who are lost...His power shows clearly and strongly at times when none expects...Its a blessed time for my country Tanzania, I wish we could all sing hallelujah...God has never lied and will never do to His prophets I am at peace after getting the answers to my why and I say glory to Him God in His mighty and powerful name Jesus..Am still wondering why our dude gone so early. It's very painful
Let it go; you should forgive and forget, this will be the best healing process other than wailing and mourning all this long...God is here with us and fortunately still at His throne with all His glory and power...He is just, knows the future before it comes to pass, everything including the past and present is open before him...Let him Rest in Eternal Peace!Kila mara nikikaa kuwaza au kufikiria juu ya Magufuli roho inaniuma sana. Nawaza hivi kwanini watu wema ndio huwa wanatangulia kuliko waovu.
Hayati Magufuli alijitahidi kutuonesha njia sisi Watanzania kuwa tuna nchi ya aina gani.
Aliweza kuongea kwa ujasiri juu ya vile Tanzania imebarikiwa. Lakini hilo wasioitakia mema nchi yetu halikuwapendeza kwa kuwa alizuia maslahi yao yaliyopatikana kwa njia haramu.
Watu wengi walijitokeza kumpinga lakini yeye hilo halikumkatisha tamaa; alizidi kuitumikia nchi yake Tanzania kwa uzalendo wote mpaka pale walipofanikisha adhma yake. Leo wanatamba. Eti legacy ijitetee.
Ukitazama mazingira ya kifo chake kwa kweli sio siri yanasikitisha. Ni kama vile kuna kitu nyuma yake ambayo ilikuwa a long plan ambayo ilihusisha kupoteza roho za watu wengi wasio hatia ili kutimiza lengo lao ionekana ni normal case but i think is not okay.
But I believe kama ni mipango ya watu walitakalo halitafanikiwa.
Tazama: Inafikirisha sana tangu afariki Magufuli Matangazo ya Tanzia yamekwisha, is this a coincidence au? Au planned to justify someone death?
Hapana waliohusika it's better watafutwe haiwezekani wao ndio wawe wanatuamulia nchi iweje!
Narudia tena haiwezekani, Tanzia Tanzia Tanzia, then kimya ina maana ile Corona iliokuwa ikiua viongozi sasa imekwisha au tuingoje hata lini? There is something fish planned and not a coincidence. Sure.
I'll always remember Hayati JPM.
I'm ready kupopolewa na Ufipa.
Muwe na usiku mwema.
I will pray for you to stay alive for the next 100 years to witness if the opposite wont be true...Those who laugh last...The History will record him as an exceptional blunder stateman to ever lived in Tz.
Kitu usichokijua ni kwamba rotting is for us all no matter what you did good things or notKha! bado mnamtetea huyu hitler wa Africa!
Let him rot in hell!
Ben Saanane ni ndugu yangu! turudisheni hata mifupa tuizike huku migombani jamani tumalize kilio!
Kila mara nikikaa kuwaza au kufikiria juu ya Magufuli roho inaniuma sana. Nawaza hivi kwanini watu wema ndio huwa wanatangulia kuliko waovu.
Hayati Magufuli alijitahidi kutuonesha njia sisi Watanzania kuwa tuna nchi ya aina gani.
Aliweza kuongea kwa ujasiri juu ya vile Tanzania imebarikiwa. Lakini hilo wasioitakia mema nchi yetu halikuwapendeza kwa kuwa alizuia maslahi yao yaliyopatikana kwa njia haramu.
Watu wengi walijitokeza kumpinga lakini yeye hilo halikumkatisha tamaa; alizidi kuitumikia nchi yake Tanzania kwa uzalendo wote mpaka pale walipofanikisha adhma yake. Leo wanatamba. Eti legacy ijitetee.
Ukitazama mazingira ya kifo chake kwa kweli sio siri yanasikitisha. Ni kama vile kuna kitu nyuma yake ambayo ilikuwa a long plan ambayo ilihusisha kupoteza roho za watu wengi wasio hatia ili kutimiza lengo lao ionekana ni normal case but i think is not okay.
But I believe kama ni mipango ya watu walitakalo halitafanikiwa.
Tazama: Inafikirisha sana tangu afariki Magufuli Matangazo ya Tanzia yamekwisha, is this a coincidence au? Au planned to justify someone death?
Hapana waliohusika it's better watafutwe haiwezekani wao ndio wawe wanatuamulia nchi iweje!
Narudia tena haiwezekani, Tanzia Tanzia Tanzia, then kimya ina maana ile Corona iliokuwa ikiua viongozi sasa imekwisha au tuingoje hata lini? There is something fish planned and not a coincidence. Sure.
I'll always remember Hayati JPM.
I'm ready kupopolewa na Ufipa.
Muwe na usiku mwema.
Ooh! Mara mbowe kafanya hivi . sijui amesema hivi. Mara chadema imekufa .Maneno yote hayo ya nini? Kama mnauhakika wapinzani wenu hawapendwi na wananchi kwa nini mnaogopa tume huru ya uchaguzi?.Habari
Inasikitisha sana ukifuatilia page na post mbalimbali za Chadema wanavyotukanwa kwenye comments na wachangiaji.
Kuna group linaitwa Chadema in blood kule facebook yani kila wanachopost ni kutukanwa tu na watu, huko instagram ndiyo balaa kabisa, njoo Jamii forum hali ni hiyo hiyo!
Nimeangalia comments za kwenye hotuba ya Mbowe aliyoitoa akisema vibaya utawala wa hayati Magufuli, kwa kweli ni huzuni raia walivyomtukana Mbowe. Swali la kujiuliza Chadema imefikaje huku?
Enzi za Dr Slaa ulikuwa unavaa gwanda la Chadema kwa maringo yote, leo tuvae kwa aibu ya kujifichaficha?
Je, Tundu Lisu ameharibu image ya chama baada ya kuanza kutetea mabeberu?
Je, ni Mbowe ameharibu image ya chama baada ya kuwa anaangushwa na konyagi anasingizia amepigwa na wasiojulikana? au ule uongo wake wa kuibia familia inapompeleka mahakamani anasingizia amefungiwa akaunti zake na serikali?
Kiukweli inahitajika tathimini ya haraka sana kuikoa na kuirudisha Chadema kwa wananchi ili waiamini tena kama zamani.
Tushamsahau huyu muhutu sisi
Unajua kuna wakati najiuliza nakosa majibu kuhusu mwendazake.
Hivi najiuliza kwanini alikua mkabila kiasi kile?Hivi inaingia akilini unateua watu wa kwenu tu na kupeleka miradi yote kwenu tu
Alinishangaza zaidi alivyobomoa nyumba kimara huku akizuia za mwanza akisema ni wapiga kura wake!!hapo najiuliza jee kwa kauli hii aliamini ukanda wake ndo wanaostahili kupewa kipaumbele?
Mwendazake hakua binadamu wa kawaida kama hakua binadam wa kawaida jamaa nahisi alikua mrundi duuuh
Mimi sijui hata ilikuaje akawa rais najiulizaga hadi leo, miaka michache tu nchi ikageuka jehanam ya kushughulika na wapinzani nchi ikayumba sekunde kadhaa
Haki ya mungu nawaambia angeendelea kuwepo hii nchi miaka michache mbeleni ingekuja kugeuka uwanja wa fujo au vita vya wenyewe kwa wenyewe sipachi picha huo uchato ungekuwaje km idea ya ukabila
Ilikua imefikia hatua hadi baadhi ya watu wa jamii yake ukimkosoa jpm wanakufuata inbox wanakutishia kifo kama ni mtandaoni au live ndo usiseme nilishawahi kutishiwa maisha na watu wa jamii yake mara nyingi tu yaani walijiona wao ndo raia na wenye haki wengine tulionekana kama wadudu tu ,takataka,wahujumu uchumi,mawakala wa mabeberu na maadui wa taifa
Asante mungu kwa kila hatua sijui ingekuaje.. eti mwendazake alikua na legacy acheni kuchekesha ndugu legacy ipi?
Hakua mtu wa kawaida, jamaa sidhan km ni mtanzania kamili ile roho hapana.
Akufweee huko
Ninajua sana! LAKINI Heshima na thamani ya ubinadamu ni muhimu wakati ukiwa hai!Kitu usichokijua ni kwamba rotting is for us all no matter what you did good things or not
Ukiachilia mbali mema mengi uliyoyaongea kuhusu huyu MWAMBA ambaye taifa la wenye utimamu na afya njema ya akili litamkumbuka milele na kwa wale waliobakia kujutia daima dhihaka wanazozifanya sasa,Tread softly, okay!??? We loved him so much, but the bitter truth is, he is no more. You can choose to live in unforgiving bitterness ama you can choose to move on ^positive-mindednessly.^ The best way to honor his legacy is to emulate his profound spirit of unassuming patriotism, deep & real love for his people, efficient and productive hardwork and creative leadership style.