- Thread starter
- #21
Haya maneno šjuu umeongezwa wewe.hutoa divai hafifu wakati ambapo watu wameingiwa na kileo[/B].
Usiongeze Wala kupunguza maandiko, utalaaniwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya maneno šjuu umeongezwa wewe.hutoa divai hafifu wakati ambapo watu wameingiwa na kileo[/B].
Mwanzo 9:20,21Haya maneno šjuu umeongezwa wewe.
Usiongeze Wala kupunguza maandiko, utalaaniwa.
Ndo ujue kutofautisha Divai iliyochachuka na kufikia kuitwa pombe inayolewesha vs Divai inayonywewa kama Juc.Mwanzo 9:20,21
Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu;
21 akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake.
(1 Wakorintho 6:9-11).Pombe sio dhambi ila ulevi unapelekea dhambi kwa asilimia kubwa ...Dhambi hizo ni shari (ugomvi) na madhara ya kimwili..
Na pia ni haramu kwa vile kuna hasara 90 % na faida 10% ...kwa akili sio nzuri kutumia..
Pombe ni haramu sio nzuri kutumia kwani itakuwepelekea kweny madhambi ina maana pombe ikikupanda kichwani ikakipelekea ukamuua mtu basi hauna exception ya kusema ulikuwa hujitambua ,unaonekana umeua moja kwa moja.
Ukinywa pombe ukakosa aibu mpaka ukafanya uzinifu basi hauna msamaha hata useme ulikuwa hujielewi ,unatambulika umezini ..
Kama haina kilevi hiyo si divai. Divai ina kilevi ni pombe. Kama haina kilevi tafuta jina lingine.Ndo ujue kutofautisha Divai iliyochachuka na kufikia kuitwa pombe inayolewesha vs Divai inayonywewa kama Juc.
Situmii wine Wala kilevi chochote...Ukinywa wine hulewi?
Nionyeshe pombe ,elewa tofauti ya pombe na ulevi ...(1 Wakorintho 6:9-11).
Bali walevi... hawataurithi ufalme wa Mungu.
Endelea kujidanganya na kuhalalisha dhambi, utatupwa motoni live.
Mbinguni hawaingii walevi, tutakunywa Divai isochachuliwa, ni Juc type.
Safi sanaMimi sio mlokole na sisali kwake ila pombe sio dhambi,ulevi ni dhambi.Yesu kwenye harusi ya Kana alitengeneza divai na watu walikunywa,kila kitu kinapaswa kuwa kwa kiasi.Anaweza kuwa nabii wa uongo ila ameongea ukweli.
Soma maandiko vizuriii......divai iliyotengenezwa na Yesu sio sawa na hizi pombe za sasa...Yesu ni Mtakatifu hawezi tengeneza kitu kitakachomuangamiza mtuUkinywa wine hulewi?
Yesu alibadili maji kuwa divai je naye ni Yesu wa uongo?Salaam, Shalom!!
Baada ya Pope wa Katoliki kuwadissapoint waumini, Mzee wa Upako,kama anavyojiita, Tingatinga, ametoka hadharani na kuhalalisha pombe Kwa waumini wake.
Ameongea hayo madhabahuni kuwa, BIBLIA haijakataza pombe,Wala kulewa, BIBLIA imekataza ulevi.
Amedai kuwa pombe haijakatazwa kwenye BIBLIA, uliokatazwa ni ulevi, ndo sababu ulevi wa pombe ukazuiwa.
Kwa mliokuwa mnajiuliza mara mbili ikiwa Antony Lusekelo ni Nabii wa uongo au la, uamuzi ni wenu sababu naye ameonyesha RANGI zake halisi tena madhabahuni.
Ni suala la muda tu, manabii matapeli wote, watakiri hadharani kuwa wao Si watumishi wa Mungu, Bali matapeli.
Source: Upako wa Mzee Tv
Karibuniš
Nafikiri wewe ndiye unayepaswa kusoma vizuri maandiko. Tangu zamani divai imekuwa kinywaji cha kawaida. Kuna tofauti ya kunywa divai na kulewa. Yesu alikunywa divai lakini hakuwahi kulewa. Alikuwa na kiasi.Soma maandiko vizuriii......divai iliyotengenezwa na Yesu sio sawa na hizi pombe za sasa...Yesu ni Mtakatifu hawezi tengeneza kitu kitakachomuangamiza mtu
Pombe sio dhambi ila ulevi unapelekea dhambi kwa asilimia kubwa ...Dhambi hizo ni shari (ugomvi) na madhara ya kimwili..
Na pia ni haramu kwa vile kuna hasara 90 % na faida 10% ...kwa akili sio nzuri kutumia..
Pombe ni haramu sio nzuri kutumia kwani itakuwepelekea kweny madhambi ina maana pombe ikikupanda kichwani ikakipelekea ukamuua mtu basi hauna exception ya kusema ulikuwa hujitambua ,unaonekana umeua moja kwa moja.
Ukinywa pombe ukakosa aibu mpaka ukafanya uzinifu basi hauna msamaha hata useme ulikuwa hujielewi ,unatambulika umezini ..
Alibadili maji kuwa Divai isiyochachiliwa, ambayo Si pombe ni Juc.Yesu alibadili maji kuwa divai je naye ni Yesu wa uongo?
Hakuna cha ufalme wala haujui maana ya ulevi(1 Wakorintho 6:9-11)
Bali walevi, hawataurithi ufalme wa Mungu.
Mkimbieni haraka Nabii huyu wa uongo.
Ww unaonaje ni dhambi au sio dhambi?Salaam, Shalom!!
Baada ya Pope wa Katoliki kuwadissapoint waumini, Mzee wa Upako,kama anavyojiita, Tingatinga, ametoka hadharani na kuhalalisha pombe Kwa waumini wake.
Ameongea hayo madhabahuni kuwa, BIBLIA haijakataza pombe,Wala kulewa, BIBLIA imekataza ulevi.
Amedai kuwa pombe haijakatazwa kwenye BIBLIA, uliokatazwa ni ulevi, ndo sababu ulevi wa pombe ukazuiwa.
Kwa mliokuwa mnajiuliza mara mbili ikiwa Antony Lusekelo ni Nabii wa uongo au la, uamuzi ni wenu sababu naye ameonyesha RANGI zake halisi tena madhabahuni.
Ni suala la muda tu, manabii matapeli wote, watakiri hadharani kuwa wao Si watumishi wa Mungu, Bali matapeli.
Source: Upako wa Mzee Tv
Karibuniš
Is wine a juice?Alibadili maji kuwa Divai isiyochachiliwa, ambayo Si pombe ni Juc.
Yesu ni Mungu, hawezi tengeza pombe.
Amen
(Waefeso 5:18)Nionyeshe pombe ,elewa tofauti ya pombe na ulevi ...
Niambie sababu ya kwa nn ulevi umekatazwa?
(1 Corinthians 6:9-11)Ww unaonaje ni dhambi au sio dhambi?
Ni kosa kama kosa?
Na nini tofauti ya dhambi na kosa?
Ni hayo tuuh kwa sasa
Ona sasa umeanza kuharibu tena. Yesu ni Mungu?Alibadili maji kuwa Divai isiyochachiliwa, ambayo Si pombe ni Juc.
Yesu ni Mungu, hawezi tengeza pombe.
Amen