Grand Canyon
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 545
- 1,191
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu amewaruhusu Ili tuchanganue, anataka tupambane Hasa kuingia heaven kupitia njia nyembamba.Tatizo watu siku hizi watu wanaabudu manabii na mitume wa mchongo badala ya kumuabudu Mungu
Divai Kingereza ni Wine..Divai Si pombe.
Divai waliyokunywa haikuchachuliwa.
Hawakulewa. Nenda Israel hata Leo, divai hiyo utaikuta.
Kimbia haraka manabii fake,
Wapo manabii wa Kweli nenda kwao.
Unywaji wa pombe unatengeza addiction.Pombe sio dhambi ila ulevi unapelekea dhambi kwa asilimia kubwa ...Dhambi hizo ni shari (ugomvi) na madhara ya kimwili..
Na pia ni haramu kwa vile kuna hasara 90 % na faida 10% ...kwa akili sio nzuri kutumia..
Pombe ni haramu sio nzuri kutumia kwani itakuwepelekea kweny madhambi ina maana pombe ikikupanda kichwani ikakipelekea ukamuua mtu basi hauna exception ya kusema ulikuwa hujitambua ,unaonekana umeua moja kwa moja.
Ukinywa pombe ukakosa aibu mpaka ukafanya uzinifu basi hauna msamaha hata useme ulikuwa hujielewi ,unatambulika umezini ..
Hakuna cha mbinguni ukiliwa na siafu imekwisha.Walevi wanaompambania mlevi mwenzao
Nyie mkiamua kulewa
Leweni tu bila kuanza kutafuta justification,
Fainali Kwa Mungu .
Wewe unakunywa pombe?Divai Kingereza ni Wine..
Haya tuongee kuhusu Hilo Mkuu
Msilewe Kwa mvinyo ambamo Kuna ufisadi, Bali mjazwe Roho (Waefeso 5:18).Divai sio pombe?
Hapana Hata tone lake Siligusi, Japo zaman nilikuwa nakunywa (Nimekunywa kama miaka saba) Ila niliona ni kuchafua tu mwili wangu..Wewe unakunywa pombe?
Unatumia version gani mbona sijaona maneno yanayosema wakati ambapo watu wameingiwa na kileo.?Yohana 2:7
Yesu akawaambia: “Ijazeni mitungi hiyo maji.” Nao wakaijaza pomoni. 8 Akawaambia: “Choteni kidogo na kumpelekea msimamizi wa karamu.” Basi wakampelekea. 9 Msimamizi wa karamu alipoonja maji yaliyokuwa yamegeuzwa kuwa divai, bila kujua divai ilitoka wapi (lakini wahudumu waliokuwa wamechota maji hayo walijua), akamwita bwana harusi 10 akamwambia: “Kila mtu hutoa divai nzuri kwanza, kisha hutoa divai hafifu wakati ambapo watu wameingiwa na kileo. Lakini wewe umehifadhi divai nzuri mpaka sasa.”
Divai ni pombe.
Mungu aliviumba vyote Ili vitumike Kwa kusudi jema.Hapana Hata tone lake Siligusi, Japo zaman nilikuwa nakunywa (Nimekunywa kama miaka saba) Ila niliona ni kuchafua tu mwili wangu..
Na haina faida yoyote kwangu..
Unajua watu tunafanya vitu vile tu vyenye faida!..
Pombe haitanifaa kitu katika Safari ya Kiroho zaidi ya kuharibu Vyombo vya mwili wangu ambavyo naamini Ni vitukufu
1 Timotheo 3:8Msilewe Kwa mvinyo ambamo Kuna ufisadi, Bali mjazwe Roho (Waefeso 5:18).
Soma na uelewe, BIBLIA inasomwa Kwa ujumla kutafuta maana, Si kujikita kwenye FUNGU Moja na kuweka judgement.
Lakini Mkuu Divai ni Wine na Ndo mvinyo hiyo hiyoUnatumia version gani mbona sijaona maneno yanayosema wakati ambapo watu wameingiwa na kileo.?
View attachment 2876703
zipo divai zisizo na kileviDivai ni wine na wine ina kilevi ndani yake.
Kapitie upya maduhuli yako, sema kiwango cha kilevi ndani ya divai sio kikubwa kwa divai ambayo haijakaa muda mrefu.
Unatumia version gani mbona sijaona maneno yanayosema wakati ambapo watu wameingiwa na kileo.?
View attachment 2876703
Ndo nasema, matumizi ya pombe yanaupa mwili nguvu kushinda Roho, mbeleni itatengezwa addiction ambayo itamfanya mtu kuwa mtumwa wa pombe.1 Timotheo 3:8
Vivyo hivyo mashemasi na wawe wastahivu; si wenye kauli mbili, si watu wa kutumia mvinyo sana, si watu wanaotamani fedha ya aibu;..
Likewise must the deacons be grave, not doubletongued, not given to much wine, not greedy of filthy lucre;
Kwahyo wasitumie sana yaani wasiwe walevi ila wanapiga kama kawa
Naelewa unachosema Mkuu lakini Yesu alikuja na Alikunywa Wine ila hakulewaMungu aliviumba vyote Ili vitumike Kwa kusudi jema.
Unywaji wa pombe na addiction yake Ina matokeo mabaya.
Mfano FISI aliumbwa na Mungu, lakini Si Kwa matumizi ya CHAKULA, labda kama huna choice na ndo chakula kilichopo.
BIBLIA tuisome Kwa upana na kuielewa.
Mkuu Mi nakuelewa sana Kwa sababu hakuna mtu anayeenda kwenye ulimwengu wa roho akiwa amelewa hata kidogo na ndo maana hata waislamu mtu aliyekunywa pombe haruhusiwi kuswali wala kuingia msikitini mpaka pombe iisheNdo nasema, matumizi ya pombe yanaupa mwili nguvu kushinda Roho, mbeleni itatengezwa addiction ambayo itamfanya mtu kuwa mtumwa wa pombe.
Ndipo Waefeso 5:18 na 1 Korinthians 6:9-11 unakataza pombe maana kwenye mvinyo mna UFISADI.