KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Nataka andiko linalosema Yesu alibadili maji kuwa juice sio pombe1 Corinthians 6:9-11)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka andiko linalosema Yesu alibadili maji kuwa juice sio pombe1 Corinthians 6:9-11)
Sijakataa. Pombe ya mnazi ukiigema na kuinywa hapohapo huwezi kulewa ila ukiichachisha utalewa. Sasa sijui kama divai iliyotemgenezwa ilichachishwa na kuwa na kileo au?Lakini Mkuu Divai ni Wine na Ndo mvinyo hiyo hiyo
Zinaitwa fruits of Vine na sio wine mkuu...zipo divai zisizo na kilevi
Hata Mbinguni itakuwepo Divai safi takatifu,Naelewa unachosema Mkuu lakini Yesu alikuja na Alikunywa Wine ila hakulewa
Ili.mpaka iitwe Wine Lazima iwe imechachishwa ila ikiitwa fruits of vine ndo haijachachishwa na hapo imeandikwa wine mkuu..Sijakataa. Pombe ya mnazi ukiigema na kuinywa hapohapo huwezi kulewa ila ukiichachisha utalewa. Sasa sijui kama divai iliyotemgenezwa ilichachishwa na kuwa na kileo au?
Ndivyo unavyojidanganya?Hakuna cha mbinguni ukiliwa na siafu imekwisha.
😁😁 hii iliandikw na wangazija nini? Mama ya yesu?
Nimekupa Hilo 1 Corinthians 6:9-11Nataka andiko linalosema Yesu alibadili maji kuwa juice sio pombe
Sijawah sikia.fruits of wine asante kwa kunifahamishaIli.mpaka iitwe Wine Lazima iwe imechachishwa ila ikiitwa fruits of vine ndo haijachachishwa na hapo imeandikwa wine mkuu..
Hebu nitajie wine ambayo haijachacha?
Luka 7:34Nionyeshe nani atumiaye mvinyo ambaye hajawahi kulewa!!
Thibitisha kuna mbinguniNdivyo unavyojidanganya?
Yohana 2:7
Yesu akawaambia: “Ijazeni mitungi hiyo maji.” Nao wakaijaza pomoni. 8 Akawaambia: “Choteni kidogo na kumpelekea msimamizi wa karamu.” Basi wakampelekea. 9 Msimamizi wa karamu alipoonja maji yaliyokuwa yamegeuzwa kuwa divai, bila kujua divai ilitoka wapi (lakini wahudumu waliokuwa wamechota maji hayo walijua), akamwita bwana harusi 10 akamwambia: “Kila mtu hutoa divai nzuri kwanza, kisha hutoa divai hafifu wakati ambapo watu wameingiwa na kileo. Lakini wewe umehifadhi divai nzuri mpaka sasa.”
Divai ni pombe.
Hata Mimi nikinywa Mucoline silewi.Luka 7:34
Mwana wa Adamu amekuja, anakula na kunywa; nanyi mwasema, Tazama, mlafi huyu, na mnywaji wa divai, rafiki wao watoza ushuru na wenye dhambi.
The Son of man is come eating and drinking; and ye say, Behold a gluttonous man, and a winebibber, a friend of publicans and sinners!
View attachment 2876715
kuna wine zisizo na kileo, yaani alcohol =0Lakini Mkuu Divai ni Wine na Ndo mvinyo hiyo hiyo
Marko 14:25Sijawah sikia.fruits of wine asante kwa kunifahamisha
Anhaa kwahyo hapo.Tumeelewana maana kunywa na kulewa ni vitu viwili tofauti..Hata Mimi nikinywa Mucoline silewi.
Naongelea mzoefu wa pombe mwanadamu ambaye hajawahi lewa na kudhalikika au kudhalilisha.
Haya maneno [emoji849]juu umeongezwa wewe.
Usiongeze Wala kupunguza maandiko, utalaaniwa.
Inayozungumzwa ni Mvinyo..kuna wine zisizo na kileo, yaani alcohol =0
Ni sawa kabisa.Marko 14:25
Amin, nawaambia ninyi, Sitakunywa tena kabisa uzao wa mzabibu (Divai)hata siku ile nitakapounywa mpya katika ufalme wa Mungu.
Verily I say unto you, I will drink no more of the fruit of the vine, until that day that I drink it new in the kingdom of God...