- Thread starter
- #121
Hawakulewa.ukinywa pombe mfano kwenye sherehe lazima ulewe, kama sio wewe basi miongoni mwenu; swali kuna sehemu waliandika kuwa waliokunywa mvinyo ule miongoni mwao, kuna waliolewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawakulewa.ukinywa pombe mfano kwenye sherehe lazima ulewe, kama sio wewe basi miongoni mwenu; swali kuna sehemu waliandika kuwa waliokunywa mvinyo ule miongoni mwao, kuna waliolewa?
video please akinywa pombe. Msimtupie mawe kwa kuwa slilusha dongo hewaniKwahiyo Lusekelo alipokunywa na Kutoa lugha chafu hakulewa?
(Waefeso 5:8) says,
Msilewe Kwa mvinyo, mna ufisadi, Bali mjazwe Roho.
Hii ligi leo ngoja nione mshindi!1 Tim 5:23
Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako,l.
Njia ya Mbinguni ni nyembamba na imesonga miiba.Kazi kweli kweli
Kama Unanijua Vizuri huwa nasimama kwnye Ukweli na Sio Conspiracy theorem..ukinywa pombe mfano kwenye sherehe lazima ulewe, kama sio wewe basi miongoni mwenu; swali kuna sehemu waliandika kuwa waliokunywa mvinyo ule miongoni mwao, kuna waliolewa?
Yoshua 1:8 na Zaburi 1:2 says tuitafakari neno la Mungu Mchana na usiku.Wakorinto 5 : 12 - 17
Sijawakataza watu wangu kutumia mvinyo, tumieni kama njia mojawapo ya kuchangamsha bongo zenu ili ziweze kuishi na wake zenu kwa akili. Kwa kuwa naliwaumbiwa wanawake ambao ni pasua kichwa. Kataa ndoa, umiza mwanamke
Unaweza kumweleza kwanini uliacha unywaji wa pombe.Kama Unanijua Vizuri huwa nasimama kwnye Ukweli na Sio Conspiracy theorem..
Na kuna Vitu nisivyojua huwa Siwez kuvisema..
Hakuna mahali imeandikwa walilewa Hakuna mahali nimeelezea kuhusu Harusi ya kana zaidi ya kukupa maana tu..
Na mimi siko miongoni mwa yoyote mkuu..
Jaribu Kumuuliza Rabbon mimi Ni wa calibre gani, Huwa Sipo kusema kitu nisichokuwa na Elimu nacho
Waumini wanapungua anajaribu kujitafutia UPYA.video please akinywa pombe. Msimtupie mawe kwa kuwa slilusha dongo hewani
" KATAA POMBE NA ULEVI 🙏"Ninakubaliana na hili japo ninakunywa bia 2 tu tena hiyo moja ninamalizia kwa shida maana siyo mnywaji!
Mpe mlevi kileo apate kusahau shida zake. Mkumbe daudi alimnywesha uriya kileviDivai Si pombe.
Divai waliyokunywa haikuchachuliwa.
Hawakulewa. Nenda Israel hata Leo, divai hiyo utaikuta.
Kimbia haraka manabii fake,
Wapo manabii wa Kweli nenda kwao.
Kwani alichokisema yeye ni nini hadi uandike hiki?.(1 Wakorintho 6:9-11)
Bali walevi, hawataurithi ufalme wa Mungu.
🤣🤣Unaweza kumweleza kwanini uliacha unywaji wa pombe.
Ukoo wetu ni Watumishi wa Mungu, wote walioamua kufuata pombe, waliokufa empty handed, nusu wehu.
Ungana nasi katika Operation ya
" KATAA POMBE NA ULEVI" 🙏
Nimesoma yote.Kwani alichokisema yeye ni nini hadi uandike hiki?.
Au ndiyo umekariri fungu hilo tu?.
Kwahiyo Lusekelo alipokunywa na Kutoa lugha chafu hakulewa?
(Waefeso 5:8) says,
Msilewe Kwa mvinyo, mna ufisadi, Bali mjazwe Roho.
Sijasema lusekelo hajalewa au alilewa. Hoja yake ni kwamba kunya pombe bila kulewa sio dhambi, dhambi ni kunywa mpaka kulewa.
Ewe msabato divai ni pombeDivai Si pombe,
Divai ni sawa na Juc, ikichachuliwa ndo inakuwa pombe.
Unaona sasa!!🤣🤣
Kuacha pombe inahitaji Commitment kubwa sana..
Inahitaji Kujitoa kafara na kujikana mwenyewe kabisa
Ndugu Rabbon, jifunze kujielimisha kwanza kabla ya kuanza kung'ang'ania jambo ambalo huna uhakika nalo kwa 100%. Haya mambo ndiyo yanafanya watu wadharau Walokole, na kuonekane watu wa hovyo.Divai Si pombe,
Divai ni sawa na Juc, ikichachuliwa ndo inakuwa pombe.
Manabii wa UONGO wapo na walikuwepo,Hakuna Nabii Wa Ukwel Dunia Ya Leo Hata Kama Atasema Pombe Haramu.Manabii Ni Zamani Tu Kila Nabii Alikuja Na Ufunuo Wake,Yesu Injili,Mussa Torat,daud Zabur N.k na ufunuo nyingine ambazo hazijawekwa wazi.Hakuna Nabii Alishea Kitabu Na Mwenzie Hata Paulo Ni Baba Wa Manabii Feki,na Kila Nabii Ana Watu Wa Zama Zake Na Kitabu Chake Ingal Mafunzo Hayapishana Ila Yana Maboresho Kutokana Na Udhaifu Wa Watu Wa Zama Husika.