A.Lusekelo( Mzee wa Upako, Pombe Si DHAMBI, ni kosa.

A.Lusekelo( Mzee wa Upako, Pombe Si DHAMBI, ni kosa.

Zinaitwa fruits of Vine na sio wine mkuu...
Biblia imetaja wine na fruits of vine mara moja kwa yesu tu aliposema mbinguni kitakuwa na Hiyo fruits of vine!
Hujasoma kitu kama hiki kwenye chupa za wine za shampene, hasa zile kwenue sherehe mbslimbali; alcohl=0 Ma Mc huwa wanasaidia kusoma kwa wale wasiokunywa vileo waelewe
 
Soma maandiko vizuriii......divai iliyotengenezwa na Yesu sio sawa na hizi pombe za sasa...Yesu ni Mtakatifu hawezi tengeneza kitu kitakachomuangamiza mtu
Haina tofauti mkuu Msichanganye mambo me huwa nachukia mtu kupindisha Mambo kwa manufaa yake
 
Anhaa kwahyo hapo.Tumeelewana maana kunywa na kulewa ni vitu viwili tofauti..

Ulevi ndo mbaya ila kunywa hakujakatazwa..

1 Timotheo 5:23

Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara.

Drink no longer water, but use a little wine for thy stomach's sake and thine often infirmities.
Nimeelewa kabisa kuwa, ndani ya pombe mna ufisadi hivyo compaign ni kuwa,

"KATAA POMBE NA ULEVI WA POMBE🙏"
 
Hujasoma kitu kama hiki kwenye chupa za wine za shampene, hasa zile kwenue sherehe mbslimbali; alcohl=0 Ma Mc huwa wanasaidia kusoma kwa wale wasiokunywa vileo waelewe
Mkuu nakuelewa usemalo ila technolojia hiyo haukuwepo kipindi cha yesu
 
Mimi sio mlokole na sisali kwake ila pombe sio dhambi,ulevi ni dhambi.Yesu kwenye harusi ya Kana alitengeneza divai na watu walikunywa,kila kitu kinapaswa kuwa kwa kiasi.Anaweza kuwa nabii wa uongo ila ameongea ukweli.
Si kunywa tu bali walifurahi na kuburudika
 
Nimeelewa kabisa kuwa, ndani ya pombe mna ufisadi hivyo compaign ni kuwa,

"KATAA POMBE NA ULEVI WA POMBE🙏"
Vipi kuhusu

Sira 31:27-29

27.Pombe ni kama uhai kwa mtu ukinywa kwa kiasi. Maisha yafaa nini bila pombe? Imeumbwa iwafurahishe watu.

28 Kunywa pombe wakati wake na kwa kiasi, kwaleta shangwe moyoni na furaha rohoni.

29 Lakini kunywa pombe kupita kiasi, kunaleta kuumwa kichwa. uchungu na fedheha.
 
(1 Wakorintho 6:9-11)

Bali walevi, hawataurithi ufalme wa Mungu.

Mkimbieni haraka Nabii huyu wa uongo.
Nawe akili zako nzito mnoo. Nabii kasema ulevi ni dhambi sasa wamkimbie kwa lipi?
Mlevi wewe!
 
Mimi sio mlokole na sisali kwake ila pombe sio dhambi,ulevi ni dhambi.Yesu kwenye harusi ya Kana alitengeneza divai na watu walikunywa,kila kitu kinapaswa kuwa kwa kiasi.Anaweza kuwa nabii wa uongo ila ameongea ukweli.
Ninakubaliana na hili japo ninakunywa bia 2 tu tena hiyo moja ninamalizia kwa shida maana siyo mnywaji!
 
Divai Si pombe.

Divai waliyokunywa haikuchachuliwa.

Hawakulewa. Nenda Israel hata Leo, divai hiyo utaikuta.

Kimbia haraka manabii fake,

Wapo manabii wa Kweli nenda kwao.
Divai ni pombe halisi
 
Ile Divai alioitengeza Yesu kimiujiza, ilikuwa supa, haijachacha wala, kuchachuka
maana yake alcohol ilikuwa 0
Mkuu ngoja nikusahihishe kidogo..

Fungu hilo kwa kigiriki ni..(Yohana 2:3)

"καὶ ὑστερήσαντος οἴνου λέγει ἡ μήτηρ τοῦ Ἰησοῦ πρὸς αὐτόν· οἶνον οὐκ ἔχουσιν."
Inatamkwa..

kaì hysterántos oínou légei hē mḗtēr toû Iēsoû pròs autón: oînon ouk échousin."

Sasa nenda tafuta maana ya "οἶνον" (oinon)...

Hiyo maana yake ni Mvinyo au Pombe..

Kwahyo msidanganye watu
 
Nimekupa Hilo 1 Corinthians 6:9-11
Inasema walevi hawataurithi ufalme wa Mungu.

Mbinguni walevi hawaingii sababu kule hakuna kulewa.

ELEWA MAANDIKO basi.
Wewe una bongo maji. Unaambiwa maneno yako uliyoyasema kwamba Yesu alitengeneza juice yatolee maandiko, unaruka na irrelevant verse.

Malikole mengi kichwani hamna kitu
 
(1 Wakorintho 6:9-11)

Bali walevi, hawataurithi ufalme wa Mungu.

Mkimbieni haraka Nabii huyu wa uongo.
Bado unamsapoti lusekelo. Yeye anahalilisha kunywa pombe ila usilewe. Na huo mstari umeongelea ulevi aka kulewa sio kunywa pombe.
 
Bado unamsapoti lusekelo. Yeye anahalilisha kunywa pombe ila usilewe. Na huo mstari umeongelea ulevi aka kulewa sio kunywa pombe.
Kwahiyo Lusekelo alipokunywa na Kutoa lugha chafu hakulewa?

(Waefeso 5:8) says,

Msilewe Kwa mvinyo, mna ufisadi, Bali mjazwe Roho.
 
Mkuu ngoja nikusahihishe kidogo..

Fungu hilo kwa kigiriki ni..(Yohana 2:3)

"καὶ ὑστερήσαντος οἴνου λέγει ἡ μήτηρ τοῦ Ἰησοῦ πρὸς αὐτόν· οἶνον οὐκ ἔχουσιν."
Inatamkwa..

kaì hysterántos oínou légei hē mḗtēr toû Iēsoû pròs autón: oînon ouk échousin."

Sasa nenda tafuta maana ya "οἶνον" (oinon)...

Hiyo maana yake ni Mvinyo au Pombe..

Kwahyo msidanganye watu
ukinywa pombe mfano kwenye sherehe lazima ulewe, kama sio wewe basi miongoni mwenu; swali kuna sehemu waliandika kuwa waliokunywa mvinyo ule miongoni mwao, kuna waliolewa?
 
Ameongea hayo madhabahuni kuwa, BIBLIA haijakataza pombe,Wala kulewa, BIBLIA imekataza ulevi.😳😳

Amedai kuwa pombe haijakatazwa kwenye BIBLIA, uliokatazwa ni ulevi, ndo sababu ulevi wa pombe ukazuiwa.
Kazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom