Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazeeka yule mchaga bahili achana nayeKaka unataka kunipeperushia mchepuko wangu mimi jamani
Nakutafuta sana mimi
Kakusahau [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu mara hii umesha sahau kitengo changu
Mkuu wa mabaharia [emoji125][emoji125][emoji125] Safari ya PM hii
Nitakupm mkuuFungua pm kwa Dk moja tu kama hutajali..
Umependeza sana Nakuomba Inbox (PM) nikamilishe usahili wako ili huwe Member kamili wa Jamii forum.Hellow wana Jamii Forum mie ni mgen tuu naomben ushirikiano wenu na mapokez mazur,,nawapendaView attachment 1209465
With pressureNitakupm mkuu
TayariWith pressure
Wewe umetokea wapi wewe unatuabisha watu wa mbeya?. Nani amekuambia humu mnaletwa picha? Hii sio sehemu ya kujitangaza. Hayo mambo nenda huko Fb. Unajirengasha na picha ili upate nini?. Humu watu wanajadiri vitu vya msingi. Unasanifiwa ulete picha na wewe unakuja mbio na lipicha lako. Hujui tu hizi dakika chache ulizotumia hapa Jf kuweka weka mapicha picha yako inaweza kuwa ndio majuto yako ya mbele. Hapo tu umejitangaza ni mwanamke wa aina gani? Wameshakusoma tayariDuuuh,,naish Mbeya wilaya ya KyelaView attachment 1209475
Baada ya kuona hayo mapicha picha nimejikuta namkumbuka Husna the boss Lady. Teh teh teh.
All in all karibu mdada.
Itakuwa alighairi na kughairi kukiuza.Sijui kile kitanda alipata mteja?
Hivi yukwapi huyu mdada?Baada ya kuona hayo mapicha picha nimejikuta namkumbuka Husna the boss Lady. Teh teh teh.
All in all karibu mdada.
Amewaaibisha kivipi sasa.. Acha wivu mkuu .. Kwani akijitangaza kuna shida gani? Unampangia cha kupost kwa ume-mnunulia vocha...Wewe umetokea wapi wewe unatuabisha watu wa mbeya?. Nani amekuambia humu mnaletwa picha? Hii sio sehemu ya kujitangaza. Hayo mambo nenda huko Fb. Unajirengasha na picha ili upate nini?. Humu watu wanajadiri vitu vya msingi. Unasanifiwa ulete picha na wewe unakuja mbio na lipicha lako. Hujui tu hizi dakika chache ulizotumia hapa Jf kuweka weka mapicha picha yako inaweza kuwa ndio majuto yako ya mbele. Hapo tu umejitangaza ni mwanamke wa aina gani? Wameshakusoma tayari
Acha kumtisha mgeniWewe umetokea wapi wewe unatuabisha watu wa mbeya?. Nani amekuambia humu mnaletwa picha? Hii sio sehemu ya kujitangaza. Hayo mambo nenda huko Fb. Unajirengasha na picha ili upate nini?. Humu watu wanajadiri vitu vya msingi. Unasanifiwa ulete picha na wewe unakuja mbio na lipicha lako. Hujui tu hizi dakika chache ulizotumia hapa Jf kuweka weka mapicha picha yako inaweza kuwa ndio majuto yako ya mbele. Hapo tu umejitangaza ni mwanamke wa aina gani? Wameshakusoma tayari
[emoji1][emoji1][emoji1] we mi nimekushindwaAmewaaibisha kivipi sasa.. Acha wivu mkuu .. Kwani akijitangaza kuna shida gani? Unampangia cha kupost kwa ume-mnunulia vocha...
Acha wivu mkuu... Jackline embu post picha nyingine jamaa afe kabisa