Mida ya saa tano usiku nikiwa Moshi stendi, nilikutana na mdada, ndipo nikaanza mazungumzo naye, alikuwa anatokea Mwanza, na hapo Moshi amekuja kukabidhi mzigo kwa mteja ili kesho alfajiri aunganishe kwenda kwao Tanga nyumbani!
Basi, nikamsaidia kutafuta lodge hadi tukaipata akalipia kisha nikamsaidia kuingiza begi lake ndani! Tukaanza stori za hapa na pale! Lengo langu kubwa ni nafasi ya kula tunda kimasihara!
Haikuchukua muda nikajikuta namshawishi tufanye mapenzi lisaa limoja tokea tuingia mle ndani! Mwanzoni alikataa kataa ila baadae akakubali, katika harakati za kubaki tulivyozaliwa ndipo nikakuta juu ya papuchi kuna dushee! Moyo ukapiga paaah!! Akaniwahi kunambia yeye ndo alivyo ila hiyo dushee haifanyi kazi, sikuhitaji maelezo mengi nikajikuta naropoka, "nisubiri naenda kuchukua tishu hapo dukani". Suruali nilienda kuivalia kaunta!
Haya, wale mliowahi kuahirisha mechi kimasihara kwenye uwanja wa tukio njooni mtupe mwongozo!!