Sawa rafiki.kwahiyo mmeanzisha uzi juu ya uzi,mimi sibagui makabila isipokuwa nafanya hivyo kutokana na status ya mimi,mfano mnyakyusa anawivu sana hawezi kuishi na watoto ambao si wakuwazaa kama familia,wangoni hawapendi ndugu wa mwanaume na wanapenda ngono hawawezi kuvumilia ,mhaya yeye huwa haridhiki sawa na mnyaturu,mjita ni mtu anapenda aongee yeye tu na huwa hayaoni makosa yake sawa na mkurya
Wallah hapana kwanza napenda kukosolewa , Wewe umechemka tu π€£π€£π€£We nyau umefuta eti mbona sipaoni
Loh π π πWe nyau umefuta eti mbona sipaoni
Sijaelewa nielekeze basi labda huko naweza mpata mzee mwenzanguSoma post #60
Uwe serious Mkuu
πππ mimi sipo interested na uzi ila hii comment imenifanya nilie sana baada ya kukumbuka mimi ni mhaya+mnyaturu π€£π€£π€£kwahiyo mmeanzisha uzi juu ya uzi,mimi sibagui makabila isipokuwa nafanya hivyo kutokana na status ya mimi,mfano mnyakyusa anawivu sana hawezi kuishi na watoto ambao si wakuwazaa kama familia,wangoni hawapendi ndugu wa mwanaume na wanapenda ngono hawawezi kuvumilia ,mhaya yeye huwa haridhiki sawa na mnyaturu,mjita ni mtu anapenda aongee yeye tu na huwa hayaoni makosa yake sawa na mkurya
Eeehπππ mimi sipo interested na uzi ila hii comment imenifanya nilie sana baada ya kukumbuka mimi ni mhaya+mnyaturu π€£π€£π€£
ukiutwika confidence level huwa inapanda automatically.Kwanini walevi na wanaume walio changanyikiwa wengi hutumia kiingereza, kujieleza?
Lugha si swala la confidence la sivyo walevi wangekuwa watafsiri wakubwaukiutwika confidence level huwa inapanda automatically.
Nenda kasome post namba #60 hii ya kwako ni namba 69.Sijaelewa nielekeze basi labda huko naweza mpata mzee mwenzangu
....wakifuatia na single mother ππAtakua ameona ajitolee kuokoa jahazi mana wadada tusioolewa mnatutukana sana.
Watuue tu kama vipi mana inaonesha tunawanyima sana usingizi.....wakifuatia na single mother ππView attachment 3127882
Kabisa, tunawanyima amani wakituona hatuna stress na mihemko yaoπWatuue tu kama vipi mana inaonesha tunawanyima sana usingizi.
Ndiooo mkuuMkuu the Forgotten Genius mkuu toka mwaka jana hujapata
Thread 'A woman to marry is needed' A woman to marry is needed
πFursa za Hela hautuiti unatuita Fursa hiz tu
Hela ya faa nini wewe kama huna mumeπFursa za Hela hautuiti unatuita Fursa hiz tu