Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Sawa rafiki.kwahiyo mmeanzisha uzi juu ya uzi,mimi sibagui makabila isipokuwa nafanya hivyo kutokana na status ya mimi,mfano mnyakyusa anawivu sana hawezi kuishi na watoto ambao si wakuwazaa kama familia,wangoni hawapendi ndugu wa mwanaume na wanapenda ngono hawawezi kuvumilia ,mhaya yeye huwa haridhiki sawa na mnyaturu,mjita ni mtu anapenda aongee yeye tu na huwa hayaoni makosa yake sawa na mkurya