Ndoanamaanisha nini love???
Ungefanya utafiti wa kutosha kabla ya kukurupuka na kuleta Uzi.View attachment 3539228
wewe ndio huna exposure
MImi ndio yale magari yasiyochagua njia,We ndio wale zoazoa sioš
Hujafanya research yoyote hapa umekurupuka tu baada ya kushiba ugali dagaaView attachment 3539231
unaendelea kufanya kosa hilohilo unauhakika gani kwamba sjafanya research
Ujue nimepaliwa sheinzzšššMImi ndio yale magari yasiyochagua njia,
Mkulima hachagui Jembe akichagua huyo ni mzembe.
Wee sema kweli?????!A woman with a beautiful body and face is good for a night, but a woman with a beautiful mind is good for a lifetime
Mleta mada anataka akili za mwanamke na siyo mwili mzuri...
Akili tuachiwe sisi wanaume...
Tupo hapa tunazeekea kwa wazazi wetu!Mkuu inakuwaje kwa ambao wamekosa vyote?
Unakila kitu hujakosa kitu..