Mwenye Kupenda Haoni, Chongo Atasema KengezaTusio na akili wala hiyo sura tufanyeje sasa🥹
Anaweza nunua kila kitu na bado akabaki na akili mbovu tuMkuu inaonekana huna exposure,hebu tembea huko nje uone jinsi wanawake wanavyofanya mambo makubwa
Siku hizi wanawake wananunua viwanja kwa pesa zao wanaamsha mijengo( apartments)ya maana sana
Umepaliwa na nini tena?Ujue nimepaliwa sheinzz😂😂😂
Sawa zoazoa uko uje unipitie hapa..
Am bi😊Binti sayuni
Na maji😂Umepaliwa na nini tena?
Sema kwelii🙄😅Mwenye Kupenda Haoni, Chongo Atasema Kengeza
We umeona nin🤭Bisexuality ama?
😅😅 Bro kaka unataka kunitesea kadogo kanguu eeeh.. anyway unashilingi ngapi nikupigie pande na upo tayari kutoa mahali ya mang'ombe mangapiSawa dada wa miziki! Unipe basi kale kadogo kako nikawowe🤓
Vipi kaka gangsta 😎😎
Siwezi kukatesa ninapenda mimi acha kabisa, kana rangi gani kwanza niweze kusema idadi na mang’ombe si unajua wasukuma😅😅😅 Bro kaka unataka kunitesea kadogo kanguu eeeh.. anyway unashilingi ngapi nikupigie pande na upo tayari kutoa mahali ya mang'ombe mangapi
Mbana madam wako O. Shao anasura, beautiful body na akili?Kaaaazi kweli kweli
😅😅 Kale kana color kama ya Maria T Sarungi .. sema neno sasaa mkaka mwenye six park na hela zake..Siwezi kukatesa ninapenda mimi acha kabisa, kana rangi gani kwanza niweze kusema idadi na mang’ombe si unajua wasukuma😅
Bro kaka, acha kutuwatishaaa 😂😂Am bi😊
Umetumia muda gani kufanya huu utafiti na umefanyia wapi?ukiweka sample ya wanawake 100 wazuri wa umbo na sura ukawafanyia IQ test 5 tu ndio utakuta wana akili sawasawa.
Umejipakulia minyama vizuriThere's exception in this, sio kila mwanamke mwenye sura nzuri na makalio makubwa ni hamnazo.
Wapo wanawake wengi Sana ambao ni full package kuanzia mionekano mpaka kichwani wapo smart.
Hata hapa JF wapo hebu acheni kupotosha
Nina six packs mimi sio six park sio national reserve hii😂 ongea na hawa wajomba kwanza😅😅 Kale kana color kama ya Maria T Sarungi .. sema neno sasaa mkaka mwenye six park na hela zake..