Aaaiiiiii utamu unakuja, utamu unakata - 2026 njoo tuzogoe!

Wazo zuri nitalifanyia kazi nikimpata manzi mpya maana nimeteseka sana hasa kwenye sector ya sex
 
Tuache tuna machungu,Hawafiki wenzako,akigusa Tu kaachia kama Yanga wako kwenye ubora waoπŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²
🀣🀣🀣 Ila wapo wanawake ambao pia Wana upungufu wa nguvu za kike na cha ajabu wanapata watu ambao wako vizuri kwenye hii sector hapo ndio utajua maisha hayako fair
 
Mmmmh kindege, siyo kwamba kunyetuka ndiyo kunawaharibu wengi?

Kumbe miaka yote hii, Mbaga Jr yuko sahihi na nyeto zake?
Ukiona jamii inapinga kitu fulani basi tambua kuwa kitu hicho ndicho kina faida, baraka, fanaka na uzima. Kile kisicho na maana ndicho kina promotiwa/kinapewa Air time.

Amelaaniwa mtu yule aisemaye nyeto kwa ubaya 😎.
 
Ukiona jamii inapinga kitu fulani basi tambua kuwa kitu hicho ndicho kina faida, baraka, fanaka na uzima. Kile kisicho na maana ndicho kina promotiwa/kinapewa Air time.
Basi itakua kweli.
Amelaaniwa mtu yule aisemaye nyeto kwa ubaya 😎.
Mimi ni nani nikubishie mtaalamu wa kuukwea mnazi na mkono mmoja πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…