Aaaiiiiii utamu unakuja, utamu unakata - 2026 njoo tuzogoe!

Aaaiiiiii utamu unakuja, utamu unakata - 2026 njoo tuzogoe!

Ujumbe umeupata, sasa km mimi dume si ndo ulete kijambio nikufumue mana unautaka sana..!!

Wewe humu hamna yoyote anayenijua kwa taarifa yako fupi, usichokijua huyo uliyemtag ni member ambaye anapenda kunitania..!! Kumbe huwa unamfatilia??

Wewe kweli ***** 😹😹
Kwahiyo unampenda kalagabao na husemi? Oya mwanangu Kalaga Baho Nongwa kuna mboga huku inakuelewa..!!
Mi huwaga sisahau ujue 😅😅

Umesahau yale ya jukwaa la kujiselfie

Sema tuvunge tu tusifike mbali ila acha UFALA
 
Nilikumiss pia kipenzi 😍
Mimi pia 🤗
Haya ulipotolea wapi?
Mwaka umeaanza na matukio huu, acha tu!
Nani alikuteka huyo bila kuleta kishika uchumba? 😹😹😹
Huyu hapa Shyshka Reinhardt mdai kishika uchumba akupe.
Maka sasa anavyokuulizia kila nikimbembeleza utarudi haelewi..!!
Amekonda naona leo atalala na viatu 😹
Nakuja TSR, achana na Maka, anabembelezwa na mkewe huko anakuektia tu!
 
Mi huwaga sisahau ujue 😅😅

Umesahau yale ya jukwaa la kujiselfie

Sema tuvunge tu tusifike mbali ila acha UFALA
Wewe hunijui na hutokuja kunijua, selfika huko ndio maeneo yangu ya kujidai na mimi ndio malkia wa umbea kwa taarifa yako.

Umesikia wala usivunge elewa hivi nimekukataa sitaki shobo na machoko..!!
Wameshindwa wenzio kunijua itakuwa wewe sungura tope? Na kwanza kwanini Unalazimisha kujua watu ambao wanatumia fake id? Ujue utabakwa wewe!!
 
Jukwaa la kujidai umesahau mapema hiviii😅😅

Sawa tufanye yameisha
 
Back
Top Bottom