Aaaiiiiii utamu unakuja, utamu unakata - 2026 njoo tuzogoe!

Aaaiiiiii utamu unakuja, utamu unakata - 2026 njoo tuzogoe!

Achana naye, naona kakutolea mood.
Nilikumiss mwaya!
Nilikumiss pia kipenzi 😍
Haya ulipotolea wapi?
Nani alikuteka huyo bila kuleta kishika uchumba? 😹😹😹

Maka sasa anavyokuulizia kila nikimbembeleza utarudi haelewi..!!
Amekonda naona leo atalala na viatu 😹
 
Unaanza kutaja sifa zako? Mtoto wa Kinondoni?

Tufukue makaburi au? Umemsahau Kalaga Baho Nongwa

Dume zima kutumia ID ya kidemu ni ushamba
Ujumbe umeupata, sasa km mimi dume si ndo ulete kijambio nikufumue mana unautaka sana..!!

Wewe humu hamna yoyote anayenijua kwa taarifa yako fupi, usichokijua huyo uliyemtag ni member ambaye anapenda kunitania..!! Kumbe huwa unamfatilia??

Wewe kweli ***** 😹😹
Kwahiyo unampenda kalagabao na husemi? Oya mwanangu Kalaga Baho Nongwa kuna mboga huku inakuelewa..!!
 
Back
Top Bottom