Aache kazi private anakolipwa 1.6m au aende government atakapolipwa laki 7.6?

Aangalie mambo yafuatayo;
1. Ni professional gani, zipo prof unakata mwezi hujashika mia nje ya mshahara,
2. Anaweza hamia kwenye Mashirika, Mamlaka na Wakala zinazojitegema akawa anafanya kazi bila pressure lkn akaweza pata zaidi ya kiwango ambacho angepata privafe.
3. Akiwa Govt anaweza pia simamia shughuli yyt ya kumwingizia kipato (Muda haubani sana) na hatimaye baadae ikawa rahisi hata kujiajiri!

So pamoja na mitazamo yake pia anaweza tazama hayo!!
 
Sio hivyo kituo cha kwanza Cha kazi kinaweza kuwa Naliendele, hapo ndio sahau ndoa yako kidogo!! Hivyo inaweza kuwa neema ila kituo cha kazi ikawa pigo kwako
Mkuu unapafaham naliendele?? Hii ni Ruangwa eeeh au n nyingine
 
hiyo inajulikana kuwa ajira ni miaka 45, sasa unasameje kuhusu hii conditions ya kwa
 

Attachments

  • Screenshot_20230209-174438.png
    71.1 KB · Views: 15
Aah hiyo yote sababu ni job security ama? Kama anahitaji hivo aende serikalini ila mimi ningeendelea huko private ,tofauti ya mshahara ni 2times duh
Alipoiomba kazi bila shaka alijuwa kwa nini aliiomba na huku akijuwa mshahara ni mdogo kuliko alipo sasa. Kitu cha kuangalia hapa ni: Upeo wa kazi ya sasa na hiyo ya serkali, yaani uwezekano wa kupanda na kupata mshahara mkubwa zaidi; security of employment, kama kazi ya private sdector ni ya mashaka, ambapo mkuu akiamka anaweza kukuambia kwaheri, inabidi atafakari. Je hiyo kazi ya private sector ina "scheme of service? Nguvu na uwezo wa hiyo kampuni kuwepo. Je, mabadiliko ya kiuchumi kitaifa na kidunia yanaweza kuwa na madhara gani na hiyo kampuni? Je kampuni imekaa kimchongomchongo yaani biashara au kazi zake zinategemea saana milango ya nyuma na God Father?
 

Mshahara sio 760k ni 575K ukitoa makato ya PSSSF, PAYE, NHIF na CHAMA.

Sasa nani anataka kupata 500k huku umri unaenda?

#YNWA
 
Kuna Nchi nikienda napata mshahara wa 25xs ya ninaolipwa hapa Sasa hivi- Sasa hivi naendelea kujijazia uzoefu 2026 am off .....natimka salama salmini
 
I wish them good luck, I haven't secured another job but I am an entrepreneur(providing market solutions to the farmers' crops). Thanks.
In other words you are not producing any tangible product. You are like a middle, waiting to be paid whenever you provide consultation.
 

Well said, ila pia hata ukijiajiri utahitaji vijana wa kukusaidia Kazi (kuajiri)
Kwahiyo ajira HAIEPUKIKI.

#YNWA
 
Well said, ila pia hata ukijiajiri uandikishaji vijana wa wajibu Kazi (kuajiri)
Kwahiyo ajira HAIEEPUKIKI.

#YNWA


Nimejitahidi kutaka kujuwa ni nini kinachomtowa mtu kazi ya kawaida tu, kutoka kuajiriwa sekta binafsi na kuwa na wazo la kuajiriwa serikalini kwa mshahara mdogo zaidi.

Jibu nililopata ni hakuna zaidi ya wizi tu unaomfikirisha kuelekea huko. Siyo siri, mijitu inaiba serikalini na inalindana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…