Aache kazi private anakolipwa 1.6m au aende government atakapolipwa laki 7.6?

Kila walipotawala wakoloni elimu yao na utawala wao ulilenga kutujaza fikra (brainwashed) kuwa watumwa wa kuutumikia utawala wa mfalme/malkia daima. Kwa bahati nzuri au mbaya, tumeurithi mfumo huo na tumeuendeleza kwa miaka zaidi ya 60 ya uhuru.

Tutaendelea kuwa watumwa daima kama hatujabadilika kifikra.
 
Asee aendelee kupokea hizo 1.6 asiziache mkuu
 
Ooh ukijua hivo ni nzuri ila usirelax private sector kuna surprises nyingi, siku wanaweza kumtoa mtu hivo hivo hata kama pengo lake lilikua halizibiki🤔
Ni kweli usemalo sema kwa baadhi ya kazi yani ili wakutoe lazima wapeleke mtu training kwanza otherwise wakukomoe wakuondoe alafu operations zisimame kwa muda
 
You have a point, ila nini kifanyike kubadili fikra?, ushauri wako ni upi kweli suala la mleta uzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…