curtis jr2
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 770
- 4,618
Hata mi sijawahi kula miguu ya kuku wa utumbo wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kenge kuna elewa maana ya kupasikia na kupajuaUmasikini mbaya sana.
Kwa maisha ya watanzania yalivyo magumu,mtu akisika stori kama hizi za mtanzania mwenzao wanaona kama anaigiza.
Huyu Binti ukimsikia tu akiongea accent yake ya kiswahili si ile ya kibantu na anachapia sana maneno ya kiwahili,means either hajakulia bongo au ni wale mboga Saba kupitiliza.
Mtu kama huyu akisema hajawahi kusonga ugali mnamshambulia kwa matusi.
Akisema hapajui mburahati na hajawahi kupasikia mnamshambulia. Kuna Binti niliwahi kuwa nae kwa mahusiano anasema hapajui kabisa mbagala na kazaliwa Dar. Mbagala na umaarufu wote lakini Kuna watu hawapajui kabisa na Wala siyo celebrities,sembuse mburahati au kigogo.
Akisema hajawahi kula miguu ya kuku na firigisi mnaona ana pretend,sasa miguu ya kuku nayo ya kujisifia na kuanza kumshambulia mtu akisema hajawahi kula? Kwa nyama Gani iliyonayo mtu ukitafuna utadhani unatafuna peni ya speedo.
Huyu Binti anashambuliwa sana mitandaoni na wabongo ,ila yote hii ni kwa sababu ya kuona vitu kama tulivyo(umasikini) badala ya kuona vitu kama vilivyo.
Shida ya wabongo wanaamini ili uwe mtanzania basi ni lazima upitie shida kama wao.Nilikutana na rafiki yangu mmoja wa Oysterbay akiwa New York. Aliondoka Tanzania mara baada ya kumaliza sekondari kwenda kusoma chuo Marekani akabakia kufanya kazi huko.
Siku moja nikamuuliza kama kashawahi kufika Buguruni, alikuwa hajawahi kufika.
Alikuwa hana sababu ya kwenda Buguruni.
Alisema kwao Oysterbay, alisoma Oysterbay na Tambaza, hakuwa na ndugu wala rafiki Buguruni, sasa angeenda Buguruni kufanya?
Akarudi Tanzania likizo, ikabidi aende kutembea tu Buguruni.
We msengerema semea nafsi yakoShida ya wabongo wanaamini ili uwe mtanzania basi ni lazima upitie shida kama wao.
Niliwahi kuwa na Binti kwenye mahusiano ilikuwa full vichekesho akifika ghetto,ila baadae nikamzoea.
Nikisonga ugali alikuwa hajui jinsi ya kumega Wala kupamba kwenye mboga.
Siku ya kwanza kuingia bafuni akakutana na kopo la kuongea akauuliza hiki kikombe Huku kina kazi gani,nikamwambia huki ni kwa ajili ya kujimwagia maji. Kwao full mvua unatachi tu na kubadilisha maji either yawe ya baridi au ya vuguvugu. Ana gym yake private thamani ya vilivyomo humo ndani ni mtaji wa Biashara wa mtu sinza.
Mwanzoni mwa mahusiano Kila mmoja alikuwa anamwona mwenzie kama anaigiza maisha. Mimi namshangaa na yeye ananishangaa na kunionea huruma, nikimsimulia maisha magumu ya zamani analia.
Huyu Aby chams anashambuliwa na wabongo sana mitandaoni. Sijui kwa nini tunahusudu umasikini kiasi hiki.
Wa kishuaANA MWISHO MBAYA SANA
Watu wengi wanaona haiwezekani Mtanzania asiijue Mburahati.Shida ya wabongo wanaamini ili uwe mtanzania basi ni lazima upitie shida kama wao.
Niliwahi kuwa na Binti kwenye mahusiano ilikuwa full vichekesho akifika ghetto,ila baadae nikamzoea.
Nikisonga ugali alikuwa hajui jinsi ya kumega Wala kupamba kwenye mboga.
Siku ya kwanza kuingia bafuni akakutana na kopo la kuongea akauuliza hiki kikombe Huku kina kazi gani,nikamwambia huki ni kwa ajili ya kujimwagia maji. Kwao full mvua unatachi tu na kubadilisha maji either yawe ya baridi au ya vuguvugu. Ana gym yake private thamani ya vilivyomo humo ndani ni mtaji wa Biashara wa mtu sinza.
Mwanzoni mwa mahusiano Kila mmoja alikuwa anamwona mwenzie kama anaigiza maisha. Mimi namshangaa na yeye ananishangaa na kunionea huruma, nikimsimulia maisha magumu ya zamani analia.
Huyu Aby chams anashambuliwa na wabongo sana mitandaoni. Sijui kwa nini tunahusudu umasikini kiasi hiki.
Akishafikisha 30 mbwembwe zote zitaisha hizo.Akiwa katika kipindi cha Jirani kupitia Crown FM, mwanamuziki Abby Chams anasema hajawahi kula miguu ya kuku wala firigisi hazijui.
Mwijaku akamuuliza unapajua Mburahati? Akamjibu hajawahi kupasikia ndio mara yake ya kwanza kupasikia.
NB
Huyu msanii Abby Chams kipindi cha nyuma aliwahi kusema hajui kusonga ugali.
Hao ndio macelebrity wa Bongo
Mimi kizimkazi nimeanza kuisikia baada ya mama Samia kuingia madarakani.Watu wengi wanaona haiwezekani Mtanzania asiijue Mburahati.
Wakati wao wenyewe nikianza kuwauliza Mwembetogwa ni wapi, Mchafukoge ni wapi, Miburani ni wapi, wengi hawapajui.
Unakatwa na popo bawa.We msengerema semea nafsi yako
Kwa tuliokuwa tunafuatilia TVZ tangu 1987 tunajua Kizimkazi kulikuwa na sherehe za Mwakakogwa.Mimi kizimkazi nimeanza kuisikia baada ya mama Samia kuingia madarakani.
Wewe ni msengerema tu, acha kudakia yasiyo kuhusuUnakatwa na popo bawa.
Kula miguu ya kuku, utumbo wake, ama kichwa chake, nakubaliana naye kwa 100% lkn kwa firigisi. moyo, ama maini ya kuku hapo kapiga fix.Akiwa katika kipindi cha Jirani kupitia Crown FM, mwanamuziki Abby Chams anasema hajawahi kula miguu ya kuku wala firigisi hazijui.
Mwijaku akamuuliza unapajua Mburahati? Akamjibu hajawahi kupasikia ndio mara yake ya kwanza kupasikia.
NB
Huyu msanii Abby Chams kipindi cha nyuma aliwahi kusema hajui kusonga ugali.
Hao ndio macelebrity wa Bongo
Mimi kizimkazi nimeanza kuisikia baada ya mama Samia kuingia madarakani.
Umeiweka kitaalam sana mkuuKula miguu ya kuku, utumbo wake, ama kichwa chake, nakubaliana naye kwa 100% lkn kwa firigisi. moyo, ama maini ya kuku hapo kapiga fix.
Mb'hati, Tandalw, Senze,, Mabibo, Luhanga, ama Kigogo ni chimbo la wana wengi sana. Kujifanya hulifahamu ni kujitoa ufahamu.
Ukisema wana asili wa Masaki, Upanga, ama Posta hawalifahàmu vyema naweza kukubaliana na wewe. Lakini kama historia yako si ya Tanganyika School ya enzi hizo, unatuletea uchwara tu.