Hata mi sijawahi kula miguu ya kuku.Kinachokushangaza hapo ni kipi?
Kiumri, huyu ni binti mdogo sana, na kasoma nje ya nchi. Maana yake maeneo mengi ya mji huo wa Dar hajayafaham. Hivyo, ni kweli kutokana na mazingira aliyokulia.
Kuhusu kutokula miguu ya kuku; hilo ni jambo la kawaida kwa watu wanaotoka familia zenye kipato. Kama sisi kijijini kwetu mgeni hawezi kupakuliwa miguu ya kuku au mgongo wa kuku, vipi mtoto aliyezaliwa familia inayojiweza?
Jaribu kuacha negative perceptions kwenye kila jambo
Kawaida alafu huyo ni mdogo bado na kwao mboga saba kweli..kwanza amesoma nje mwanzo mwisho.Akiwa katika kipindi cha Jirani kupitia Crown FM, mwanamuziki Abby Chams anasema hajawahi kula miguu ya kuku wala firigisi hazijui.
Mwijaku akamuuliza unapajua Mburahati? Akamjibu hajawahi kupasikia ndio mara yake ya kwanza kupasikia.
NB
Huyu msanii Abby Chams kipindi cha nyuma aliwahi kusema hajui kusonga ugali.
Hao ndio macelebrity wa Bongo
Kwenda kutoa msaada kituo cha kulelea yatima pale 😄Kwanza mtu uende Mburahati unafuata nini kwa mfano?
Ukiisha shiba miguu ya kuku, unaanza kusifu mama kwa kukuza uchumi.Akiwa katika kipindi cha Jirani kupitia Crown FM, mwanamuziki Abby Chams anasema hajawahi kula miguu ya kuku wala firigisi hazijui.
Mwijaku akamuuliza unapajua Mburahati? Akamjibu hajawahi kupasikia ndio mara yake ya kwanza kupasikia.
NB
Huyu msanii Abby Chams kipindi cha nyuma aliwahi kusema hajui kusonga ugali.
Hao ndio macelebrity wa Bongo
Kwenda kutoa msaada kituo cha kulelea yatima pale 😄
Au nalo hilo ni la kuishia remand home upanga tu pale
Kuna mwanangu kwao Mburahati alikuwa ananizimia sana stories zangu shuleni Tambaza.Kwanza mtu uende Mburahati unafuata nini kwa mfano?
Mkuu ndio leo nimeona umeandika comment, always we mzee wa kutoa like na kuscroll
Kujua tu jina yatoshaMimi sipajui kizimkazi